East African journal of Swahili studies最新文献

筛选
英文 中文
Upambanuzi wa Mikakati ya Kitashtiti katika Vibonzo vya Kisiasa Vya Gado 从 "Vibonzo "到 "Kisiasa "再到 "Gado "的 "Mikakati ya Kitashtiti Upambanuzi wa Mikakatia Kitashtiti
East African journal of Swahili studies Pub Date : 2024-01-08 DOI: 10.37284/jammk.7.1.1685
Kerryann Wanjiku Mburu, Sheila Wandera-Simwa, Nabea Wendo
{"title":"Upambanuzi wa Mikakati ya Kitashtiti katika Vibonzo vya Kisiasa Vya Gado","authors":"Kerryann Wanjiku Mburu, Sheila Wandera-Simwa, Nabea Wendo","doi":"10.37284/jammk.7.1.1685","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1685","url":null,"abstract":"Taalumu ya uchoraji na uchapishaji wa vibonzo vya kisiasa umekuwepo tangu karne ya kumi na nane. Saana hii huwavutia watafiti wengi kutokana na uwezo wake wa kusimba jumbe zisizoweza kusemwa wazi wazi. Ifahamike kuwa sifa kuu ya vibonzo vya kisiasa ni kuwa vinapaswa kuwa cheshi na vyenye tashtiti ndiposa viweze kuwasilisha masuala tata kwa njia ya kimzaha. Kutokana na hali hii, utafiti huu ulichunguza tashtiti katika vibonzo vya kisiasa vya Gado vilivyochapishwa katika mwaka wa 2017 kwenye tovuti yake. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kupambanua mikakati iliyotumika katika kuendeleza maudhui ya kitashtiti katika vibonzo vilivyoteuliwa. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Semiotiki iliyoasisiwa na Ferdinand De Saussure, na baadaye kuhakikiwa na Chandler na pia Wamitila. Mihimili ya nadharia hii ilitumika kuchambua mikakati iliyotumiwa na Gado katika vibonzo vyake kwa minajili ya kuendeleza maudhui ya kitashtiti. Utafiti huu ni wa kimaelezo na ulifanyika mtandaoni, pale ambapo mtafiti alipekua tovuti ya Gado (www.gadocartoons.com) na kuteua kimaksudi vibonzo vinane kutokana na jumla ya vibonzo ishirini vilivyokuwa vimechapishwa katika mwaka wa 2017. Uteuzi huu ulijikita katika vibonzo vilivyofungamana na madhumuni ya utafiti huu. Kwa jumla, utafiti huu ulidhibitisha kuwa mwanakibonzo Gado alitumia mbinu za lugha kama vile; kinaya, kejeli, metonimia, sitiara, analojia na mwingiliano matini kama mikakati ya kuibua kitashtiti katika vibonzo vyake. Vilevile, utafiti huu ulionyesha kuwa Gado alitumia ishara kama vile; matumizi ya rangi mbalimbali, pamoja na alama kama vile; heshtegi, mviringo na nyota kama mikakati ya kuibua tashtiti katika vibonzo vyake. Mwishowe, utafiti huu ulidhibitisha kuwa vibonzo vilivyochapishwa kwenye mtandao, vilidhihirisha uhuru na ukali mwingi katika usawiri wa masuala mbalimbali, jambo ambalo lilisaidia katika kufanikisha lengo kuu la tashtiti; ambalo ni ushambulizi unaochochea mabadiliko. Mwishowe, matokeo ya utafiti huu yalitarajiwa kuwanufaisha wanamawasiliano, wanasemiotiki na wasomi wa masuala ya kisiasa kwa kuwapa mtazamo mpya kuhusiana na matumizi ya maneno na ishara katika kusimba jumbe tata zinazochapishwa kwenye mtandao ambapo kuna uhuru mwingi wa kuelezea masuala tata bila kudhibitiwa.","PeriodicalId":500309,"journal":{"name":"East African journal of Swahili studies","volume":"38 2","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2024-01-08","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"139447933","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Tathmini ya Matatizo ya Kiisimu na Kimtindo katika Matini Tafsiri za Kidini: Mfano Wa Njia Salama, Walioteliwa Na Vita Kuu Tathmini ya Matatizo ya Kiisimu na Kimtindo katika Matini Tafsiri za Kidini:Mfano Wa Njia Salama, Walioteliwa Na Vita Kuu
East African journal of Swahili studies Pub Date : 2023-12-19 DOI: 10.37284/jammk.6.2.1639
Vince Arasa Nyabunga, Miriam Osore, Leonard Chacha Mwita
{"title":"Tathmini ya Matatizo ya Kiisimu na Kimtindo katika Matini Tafsiri za Kidini: Mfano Wa Njia Salama, Walioteliwa Na Vita Kuu","authors":"Vince Arasa Nyabunga, Miriam Osore, Leonard Chacha Mwita","doi":"10.37284/jammk.6.2.1639","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1639","url":null,"abstract":"Makala haya yalitathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika vitabu vya kidini: Njia Salama (1977), Walioteuliwa (2009) na Vita Kuu (1952), (White). Lengo la makala hii lilikuwa kutathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika matini teule na kuonyesha namna yaliathiri uelewaji na ufasiri wa mafunzo tafsiri miongoni mwa waumini wa SDA. Matatizo ya kiisimu yaliyochunguzwa yalikuwa pamoja na ya kisematiki, kisintaksia, na kimofolojia. Nayo ya kimtindo yalikuwa urudiaji, uradidi, na tofauti za kipolisemia. Utafiti huu ulitumia mbinu za kimaelezo na kitakwimu katika kukusanya na kuchanganua data. Nyanjani, sampuli tarajiwa ilikuwa washiriki 140. Kwa hivyo, viongozi 42 na waumini 98 katika makanisa saba ya SDA waliteuliwa na kutoa sampuli ya utafiti. Maktabani, vitabu teule vilisomwa na vifungu vyenye matatizo ya kiisimu na kimtindo viliainishwa, kuteuliwa na kuunda data ya utafiti. Nadharia ya skopos ilitumiwa katika utafiti huu. Nadharia ya skopos, inaeleza tafsiri kama mchakato wa tafsiri unadhamiriwa kuwa na uamilifu wa zao lenyewe na jukumu hilo hubainishwa na hadhira. Matokeo ya utafiti huu yalionyesha kuwa mikakati iliyotumiwa na watafsiri ilikumbwa na matatizo ya kiisimu na kimtindo yaliayoathiri uelewaji na ufasiri wa ujumbe tafsiri miongoni mwa wasomaji wa vitabu teule. Matatizo hayo yalisabishwa na tafsiri huru, sisisi, mkopo wa moja kwa moja, udondoshaji, unukuzi, uenyeshaji, ugenishaji, na ufidiaji uliofanya matini kuwa aidha finyu au pana. Kwa hivyo, utafiti huu ulichangia na kupanua taaluma ya tafsiri hasa namna ya kuchambua matatizo ya kiisimu na kimtindo katika matini tafsiri za kidini","PeriodicalId":500309,"journal":{"name":"East African journal of Swahili studies","volume":" 5","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-12-19","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"138961651","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Tathmini ya Mbinu za Ufundishaji wa Masuala Mtambuko katika Mtaala wa Umilisi: Mfano wa Shule za Msingi Nchini Kenya Tathmini ya Mbinu za Ufundishaji wa Masuala Mtambuko katika Mtaala wa Umilisi:肯尼亚的 "Mfano wa Shule za Msingi Nchini
East African journal of Swahili studies Pub Date : 2023-12-19 DOI: 10.37284/jammk.6.2.1645
Ann Wambui Gitau, Eric W. Wamalwa, Stanley Adika Kevogo
{"title":"Tathmini ya Mbinu za Ufundishaji wa Masuala Mtambuko katika Mtaala wa Umilisi: Mfano wa Shule za Msingi Nchini Kenya","authors":"Ann Wambui Gitau, Eric W. Wamalwa, Stanley Adika Kevogo","doi":"10.37284/jammk.6.2.1645","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1645","url":null,"abstract":"Masuala mtambuko ni baadhi ya mambo muhimu yanayofundishwa katika mtaala wa elimu. Taasisi ya Ukuzaji wa Mitaala nchini Kenya imejumuisha na kusisitiza ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi. Isitoshe, masuala mtambuko yanajitokeza kuwa muhimu sana katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili katika shule za msingi. Hata hivyo, tafiti zimebaini kuwa ufundishaji haujatekelezwa inavyostahili. Makala haya yanatathmini ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili wa shule za msingi za kaunti ndogo ya Kimilili. Nadharia ya Utekelezaji wa Uvumbuzi iliyoasisiwa na Gross na wenzie (1971) imetumika. Walimu 38 walishirikishwa katika utafiti. Data ilikusanywa kwa kutumia hojaji na uchunzaji. Matokeo ya utafiti yamebainisha kwamba, walimu walitumia mbinu mbalimbali za ufundishaji kwa viwango tofauti. Asilimia100 ya walimu walitumia mbinu ya maswali na majibu kufundisha masuala mtambuko. Aidha, asilimia 63 walitumia majadiliano; nayo asilimia 49 ya walimu walitumia mbinu ya vikundi vya ushirika  Baadhi ya mbinu zilitumika kwa uchache tu na nyingine hazikutumika kabisa. Licha ya hayo, mbinu zilizotumiwa katika ufundishaji hazikutumiwa kwa ufanisi mkubwa. Aidha matokeo yameonesha kwamba walimu walikumbwa na changamoto katika uteuzi na matumizi ya mbinu mwafaka za ufundishaji wa masuala mtambuko. Kutokana na matokeo haya, inapendekezwa kuwa, warsha za mara kwa mara ziandaliwe kwa walimu walio nyanjani kwa minajili ya kuwanoa na kuwapiga msasa kuhusu utekelezaji wa ufundishaji wa mtaala wa elimu ya umilisi, na matumizi ya vifaa mwafaka vya kufundishia vikiwemo vifaa halisi na vya kielektroniki. Pili, inapendekezwa kuwepo kwa tathmini ya mara kwa mara kuhusu ubora na kiwango cha ufundishaji wa masuala mtambuko na utekelezaji wa mtaala wa umilisi  katika shule za msingi","PeriodicalId":500309,"journal":{"name":"East African journal of Swahili studies","volume":" January","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-12-19","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"138960616","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Uainishaji wa Mbinu na Viwango vya Usimulizi katika Uendelezaji wa Riwaya ya Kiswahili: Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka Uainishaji wa Mbinu na Viwango vya Usimulizi katika Uendelezaji wa Riwaya ya Kiswahili:Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu!
East African journal of Swahili studies Pub Date : 2023-12-12 DOI: 10.37284/jammk.6.2.1620
Kimatwek Betty Chepkogei, Nilson Isaac Opande, Ezra Nyakundi Mose
{"title":"Uainishaji wa Mbinu na Viwango vya Usimulizi katika Uendelezaji wa Riwaya ya Kiswahili: Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka","authors":"Kimatwek Betty Chepkogei, Nilson Isaac Opande, Ezra Nyakundi Mose","doi":"10.37284/jammk.6.2.1620","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1620","url":null,"abstract":"Makala haya yanaainisha mbinu na viwango vya usimulizi katika riwaya ya Kiswahili. Uchunguzi huu ulichanganua riwaya mbili za Kiswahili zilizoteuliwa kimaksudi kwa uchunguzi wa matumizi ya mbinu ya usimulizi kama mtindo wa uendelezaji wa hadithi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili ya kisasa. Riwaya zilizoteuliwa ni Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka. Uchunguzi uliongozwa na nadharia ya Naratolojia iliyoongoza uchanganuzi wa mbinu na viwango vya usimulizi vinavyochangia katika uendelezaji wa malengo ya matunzi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usimulizi uliowasiliswa kwa vielelezo vya visanduku vya kichina vilivyowakilisha aina mbalimbali za usimulizi ndani ya usimulizi. Data ilikusanywa na kuchanganuliwa kithamano kutokana na riwaya teule kwa kusoma na kudondoa nukuu muhimu za usimulizi wa viwango mbalimbali. Matokeo ya utafiti yaliasilishwa kimaelezo na kwa michoro kuwakilisha viwango mbalimbali vya usimulizi wa hadithi ndogo ndani ya hadithi kuu. Utafiti ulibaini kuwa usimulizi katika mtindo wa viwango mbalimbali vya kidaraja ulitumika kujenga umbo la kipekee la hadithi. Usimulizi katika viwango au daraja mbalimbali ulihusisha hadithi ndogo za aina ya visasili zilizosimuliwa ndani ya hadithi kuu ambao ni mtindo wa utunzi wa riwaya mpya ya Kiswahili na mtindo huo ulichangia katika kuendeleza, kukuza na kuhifadhi mbinu za kijadi ya Fasihi Simulizi katika Fasihi Andishi ya kisasa","PeriodicalId":500309,"journal":{"name":"East African journal of Swahili studies","volume":"25 2","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-12-12","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"139009462","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
相关产品
×
本文献相关产品
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信