Vince Arasa Nyabunga, Miriam Osore, Leonard Chacha Mwita
{"title":"Tathmini ya Matatizo ya Kiisimu na Kimtindo katika Matini Tafsiri za Kidini:Mfano Wa Njia Salama, Walioteliwa Na Vita Kuu","authors":"Vince Arasa Nyabunga, Miriam Osore, Leonard Chacha Mwita","doi":"10.37284/jammk.6.2.1639","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala haya yalitathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika vitabu vya kidini: Njia Salama (1977), Walioteuliwa (2009) na Vita Kuu (1952), (White). Lengo la makala hii lilikuwa kutathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika matini teule na kuonyesha namna yaliathiri uelewaji na ufasiri wa mafunzo tafsiri miongoni mwa waumini wa SDA. Matatizo ya kiisimu yaliyochunguzwa yalikuwa pamoja na ya kisematiki, kisintaksia, na kimofolojia. Nayo ya kimtindo yalikuwa urudiaji, uradidi, na tofauti za kipolisemia. Utafiti huu ulitumia mbinu za kimaelezo na kitakwimu katika kukusanya na kuchanganua data. Nyanjani, sampuli tarajiwa ilikuwa washiriki 140. Kwa hivyo, viongozi 42 na waumini 98 katika makanisa saba ya SDA waliteuliwa na kutoa sampuli ya utafiti. Maktabani, vitabu teule vilisomwa na vifungu vyenye matatizo ya kiisimu na kimtindo viliainishwa, kuteuliwa na kuunda data ya utafiti. Nadharia ya skopos ilitumiwa katika utafiti huu. Nadharia ya skopos, inaeleza tafsiri kama mchakato wa tafsiri unadhamiriwa kuwa na uamilifu wa zao lenyewe na jukumu hilo hubainishwa na hadhira. Matokeo ya utafiti huu yalionyesha kuwa mikakati iliyotumiwa na watafsiri ilikumbwa na matatizo ya kiisimu na kimtindo yaliayoathiri uelewaji na ufasiri wa ujumbe tafsiri miongoni mwa wasomaji wa vitabu teule. Matatizo hayo yalisabishwa na tafsiri huru, sisisi, mkopo wa moja kwa moja, udondoshaji, unukuzi, uenyeshaji, ugenishaji, na ufidiaji uliofanya matini kuwa aidha finyu au pana. Kwa hivyo, utafiti huu ulichangia na kupanua taaluma ya tafsiri hasa namna ya kuchambua matatizo ya kiisimu na kimtindo katika matini tafsiri za kidini","PeriodicalId":500309,"journal":{"name":"East African journal of Swahili studies","volume":" 5","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-12-19","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Tathmini ya Matatizo ya Kiisimu na Kimtindo katika Matini Tafsiri za Kidini: Mfano Wa Njia Salama, Walioteliwa Na Vita Kuu\",\"authors\":\"Vince Arasa Nyabunga, Miriam Osore, Leonard Chacha Mwita\",\"doi\":\"10.37284/jammk.6.2.1639\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Makala haya yalitathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika vitabu vya kidini: Njia Salama (1977), Walioteuliwa (2009) na Vita Kuu (1952), (White). Lengo la makala hii lilikuwa kutathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika matini teule na kuonyesha namna yaliathiri uelewaji na ufasiri wa mafunzo tafsiri miongoni mwa waumini wa SDA. Matatizo ya kiisimu yaliyochunguzwa yalikuwa pamoja na ya kisematiki, kisintaksia, na kimofolojia. Nayo ya kimtindo yalikuwa urudiaji, uradidi, na tofauti za kipolisemia. Utafiti huu ulitumia mbinu za kimaelezo na kitakwimu katika kukusanya na kuchanganua data. Nyanjani, sampuli tarajiwa ilikuwa washiriki 140. Kwa hivyo, viongozi 42 na waumini 98 katika makanisa saba ya SDA waliteuliwa na kutoa sampuli ya utafiti. Maktabani, vitabu teule vilisomwa na vifungu vyenye matatizo ya kiisimu na kimtindo viliainishwa, kuteuliwa na kuunda data ya utafiti. Nadharia ya skopos ilitumiwa katika utafiti huu. Nadharia ya skopos, inaeleza tafsiri kama mchakato wa tafsiri unadhamiriwa kuwa na uamilifu wa zao lenyewe na jukumu hilo hubainishwa na hadhira. Matokeo ya utafiti huu yalionyesha kuwa mikakati iliyotumiwa na watafsiri ilikumbwa na matatizo ya kiisimu na kimtindo yaliayoathiri uelewaji na ufasiri wa ujumbe tafsiri miongoni mwa wasomaji wa vitabu teule. Matatizo hayo yalisabishwa na tafsiri huru, sisisi, mkopo wa moja kwa moja, udondoshaji, unukuzi, uenyeshaji, ugenishaji, na ufidiaji uliofanya matini kuwa aidha finyu au pana. Kwa hivyo, utafiti huu ulichangia na kupanua taaluma ya tafsiri hasa namna ya kuchambua matatizo ya kiisimu na kimtindo katika matini tafsiri za kidini\",\"PeriodicalId\":500309,\"journal\":{\"name\":\"East African journal of Swahili studies\",\"volume\":\" 5\",\"pages\":\"\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2023-12-19\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"East African journal of Swahili studies\",\"FirstCategoryId\":\"0\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1639\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African journal of Swahili studies","FirstCategoryId":"0","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1639","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
这些作品包括:《Njia Salama》(1977 年)、《Walioteuliwa》(2009 年)和《Vita Kuu》(1952 年)(White)。这些人都是基督教自律会的成员,他们都有自己的宗教信仰。我们的目标是:在我们的生活中,让我们的生活更美好,让我们的世界更美好。在金廷多,我们还可以使用 "urudiaji"、"uradidi "和 "tofauti za kipolisemia"。在数据方面,Utafiti huu ulitumia mbinu za kimaelezo na kitakwimu katika kukusanya na kuchanganua data.Nyanjani, sampuli tarajiwa ilikuwa washiriki 140.在过去几年中,SDA 的数据有 42 项和 98 项。在这些数据中,我们可以看到,有的数据是由国家统计局提供的,有的数据是由国家统计局提供的,有的数据是由国家统计局提供的,有的数据是由国家统计局提供的。在实用程序中使用数据。在数据分析的过程中,需要对数据进行分析,并对数据进行分析。我们的目标是,在我们的国家,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区。我们还将继续努力,以实现我们的目标,包括:"我们的目标"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"。在今后的日子里,我们将继续加强对儿童的教育。
Tathmini ya Matatizo ya Kiisimu na Kimtindo katika Matini Tafsiri za Kidini: Mfano Wa Njia Salama, Walioteliwa Na Vita Kuu
Makala haya yalitathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika vitabu vya kidini: Njia Salama (1977), Walioteuliwa (2009) na Vita Kuu (1952), (White). Lengo la makala hii lilikuwa kutathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika matini teule na kuonyesha namna yaliathiri uelewaji na ufasiri wa mafunzo tafsiri miongoni mwa waumini wa SDA. Matatizo ya kiisimu yaliyochunguzwa yalikuwa pamoja na ya kisematiki, kisintaksia, na kimofolojia. Nayo ya kimtindo yalikuwa urudiaji, uradidi, na tofauti za kipolisemia. Utafiti huu ulitumia mbinu za kimaelezo na kitakwimu katika kukusanya na kuchanganua data. Nyanjani, sampuli tarajiwa ilikuwa washiriki 140. Kwa hivyo, viongozi 42 na waumini 98 katika makanisa saba ya SDA waliteuliwa na kutoa sampuli ya utafiti. Maktabani, vitabu teule vilisomwa na vifungu vyenye matatizo ya kiisimu na kimtindo viliainishwa, kuteuliwa na kuunda data ya utafiti. Nadharia ya skopos ilitumiwa katika utafiti huu. Nadharia ya skopos, inaeleza tafsiri kama mchakato wa tafsiri unadhamiriwa kuwa na uamilifu wa zao lenyewe na jukumu hilo hubainishwa na hadhira. Matokeo ya utafiti huu yalionyesha kuwa mikakati iliyotumiwa na watafsiri ilikumbwa na matatizo ya kiisimu na kimtindo yaliayoathiri uelewaji na ufasiri wa ujumbe tafsiri miongoni mwa wasomaji wa vitabu teule. Matatizo hayo yalisabishwa na tafsiri huru, sisisi, mkopo wa moja kwa moja, udondoshaji, unukuzi, uenyeshaji, ugenishaji, na ufidiaji uliofanya matini kuwa aidha finyu au pana. Kwa hivyo, utafiti huu ulichangia na kupanua taaluma ya tafsiri hasa namna ya kuchambua matatizo ya kiisimu na kimtindo katika matini tafsiri za kidini