Kimatwek Betty Chepkogei, Nilson Isaac Opande, Ezra Nyakundi Mose
{"title":"Uainishaji wa Mbinu na Viwango vya Usimulizi katika Uendelezaji wa Riwaya ya Kiswahili:Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu!","authors":"Kimatwek Betty Chepkogei, Nilson Isaac Opande, Ezra Nyakundi Mose","doi":"10.37284/jammk.6.2.1620","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala haya yanaainisha mbinu na viwango vya usimulizi katika riwaya ya Kiswahili. Uchunguzi huu ulichanganua riwaya mbili za Kiswahili zilizoteuliwa kimaksudi kwa uchunguzi wa matumizi ya mbinu ya usimulizi kama mtindo wa uendelezaji wa hadithi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili ya kisasa. Riwaya zilizoteuliwa ni Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka. Uchunguzi uliongozwa na nadharia ya Naratolojia iliyoongoza uchanganuzi wa mbinu na viwango vya usimulizi vinavyochangia katika uendelezaji wa malengo ya matunzi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usimulizi uliowasiliswa kwa vielelezo vya visanduku vya kichina vilivyowakilisha aina mbalimbali za usimulizi ndani ya usimulizi. Data ilikusanywa na kuchanganuliwa kithamano kutokana na riwaya teule kwa kusoma na kudondoa nukuu muhimu za usimulizi wa viwango mbalimbali. Matokeo ya utafiti yaliasilishwa kimaelezo na kwa michoro kuwakilisha viwango mbalimbali vya usimulizi wa hadithi ndogo ndani ya hadithi kuu. Utafiti ulibaini kuwa usimulizi katika mtindo wa viwango mbalimbali vya kidaraja ulitumika kujenga umbo la kipekee la hadithi. Usimulizi katika viwango au daraja mbalimbali ulihusisha hadithi ndogo za aina ya visasili zilizosimuliwa ndani ya hadithi kuu ambao ni mtindo wa utunzi wa riwaya mpya ya Kiswahili na mtindo huo ulichangia katika kuendeleza, kukuza na kuhifadhi mbinu za kijadi ya Fasihi Simulizi katika Fasihi Andishi ya kisasa","PeriodicalId":500309,"journal":{"name":"East African journal of Swahili studies","volume":"25 2","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-12-12","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Uainishaji wa Mbinu na Viwango vya Usimulizi katika Uendelezaji wa Riwaya ya Kiswahili: Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka\",\"authors\":\"Kimatwek Betty Chepkogei, Nilson Isaac Opande, Ezra Nyakundi Mose\",\"doi\":\"10.37284/jammk.6.2.1620\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Makala haya yanaainisha mbinu na viwango vya usimulizi katika riwaya ya Kiswahili. Uchunguzi huu ulichanganua riwaya mbili za Kiswahili zilizoteuliwa kimaksudi kwa uchunguzi wa matumizi ya mbinu ya usimulizi kama mtindo wa uendelezaji wa hadithi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili ya kisasa. Riwaya zilizoteuliwa ni Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka. Uchunguzi uliongozwa na nadharia ya Naratolojia iliyoongoza uchanganuzi wa mbinu na viwango vya usimulizi vinavyochangia katika uendelezaji wa malengo ya matunzi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usimulizi uliowasiliswa kwa vielelezo vya visanduku vya kichina vilivyowakilisha aina mbalimbali za usimulizi ndani ya usimulizi. Data ilikusanywa na kuchanganuliwa kithamano kutokana na riwaya teule kwa kusoma na kudondoa nukuu muhimu za usimulizi wa viwango mbalimbali. Matokeo ya utafiti yaliasilishwa kimaelezo na kwa michoro kuwakilisha viwango mbalimbali vya usimulizi wa hadithi ndogo ndani ya hadithi kuu. Utafiti ulibaini kuwa usimulizi katika mtindo wa viwango mbalimbali vya kidaraja ulitumika kujenga umbo la kipekee la hadithi. Usimulizi katika viwango au daraja mbalimbali ulihusisha hadithi ndogo za aina ya visasili zilizosimuliwa ndani ya hadithi kuu ambao ni mtindo wa utunzi wa riwaya mpya ya Kiswahili na mtindo huo ulichangia katika kuendeleza, kukuza na kuhifadhi mbinu za kijadi ya Fasihi Simulizi katika Fasihi Andishi ya kisasa\",\"PeriodicalId\":500309,\"journal\":{\"name\":\"East African journal of Swahili studies\",\"volume\":\"25 2\",\"pages\":\"\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2023-12-12\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"East African journal of Swahili studies\",\"FirstCategoryId\":\"0\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1620\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African journal of Swahili studies","FirstCategoryId":"0","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1620","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
在斯瓦希里语的语言环境中,我们可以使用多种语言。我们将在斯瓦希里语学习者中广泛传播我们的知识,并在斯瓦希里语学习者中推广我们的语言。Riwaya zilizoteuliwa ni Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka。我们的目标是,在我们的工作中,让我们的语言成为我们的语言,让我们的语言成为我们的语言,让我们的语言成为我们的语言。我们的用户可以在我们的网站上查看我们的用户名和密码,也可以在我们的用户界面上查看我们的用户名和密码。数据显示,在过去的十年中,在国家和地区层面上,在社会和经济层面上,都出现了不同程度的变化。我们的目标是,在未来的几年里,让我们的生活更加美好。我们将继续努力,使我们的工作更上一层楼。在维旺戈和达拉贾地区,您可以通过以下方式获得签证信息:在斯瓦希里语地区,您可以通过以下方式获得签证信息:"......"、"......"、"......"、"......"、"......"、在 "Fasihi Andishi ya kisasa "中的 "Fasihi Simulizi "中的 "kukuza na kuhifadhi mbinu za kijadi ya Fasihi Simulizi"。
Uainishaji wa Mbinu na Viwango vya Usimulizi katika Uendelezaji wa Riwaya ya Kiswahili: Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka
Makala haya yanaainisha mbinu na viwango vya usimulizi katika riwaya ya Kiswahili. Uchunguzi huu ulichanganua riwaya mbili za Kiswahili zilizoteuliwa kimaksudi kwa uchunguzi wa matumizi ya mbinu ya usimulizi kama mtindo wa uendelezaji wa hadithi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili ya kisasa. Riwaya zilizoteuliwa ni Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka. Uchunguzi uliongozwa na nadharia ya Naratolojia iliyoongoza uchanganuzi wa mbinu na viwango vya usimulizi vinavyochangia katika uendelezaji wa malengo ya matunzi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usimulizi uliowasiliswa kwa vielelezo vya visanduku vya kichina vilivyowakilisha aina mbalimbali za usimulizi ndani ya usimulizi. Data ilikusanywa na kuchanganuliwa kithamano kutokana na riwaya teule kwa kusoma na kudondoa nukuu muhimu za usimulizi wa viwango mbalimbali. Matokeo ya utafiti yaliasilishwa kimaelezo na kwa michoro kuwakilisha viwango mbalimbali vya usimulizi wa hadithi ndogo ndani ya hadithi kuu. Utafiti ulibaini kuwa usimulizi katika mtindo wa viwango mbalimbali vya kidaraja ulitumika kujenga umbo la kipekee la hadithi. Usimulizi katika viwango au daraja mbalimbali ulihusisha hadithi ndogo za aina ya visasili zilizosimuliwa ndani ya hadithi kuu ambao ni mtindo wa utunzi wa riwaya mpya ya Kiswahili na mtindo huo ulichangia katika kuendeleza, kukuza na kuhifadhi mbinu za kijadi ya Fasihi Simulizi katika Fasihi Andishi ya kisasa