Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA)最新文献

筛选
英文 中文
Uchanganuzi wa uhamishaji msimbo wa Kiswahili-Kiingereza: mkabala wa Kiunzi cha Lugha Msingi Uchanganuzi wa uhamishaji msimbo wa Kiswahili-Kiingereza: mkabala wa Kiunzi cha Lugha Msingi
Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA) Pub Date : 2024-01-25 DOI: 10.4314/jclfkt.v4i4.1
Shadrack Kirimi Nyagah, Patrick Iribe Mwangi, Basilio Gichobi Mungania
{"title":"Uchanganuzi wa uhamishaji msimbo wa Kiswahili-Kiingereza: mkabala wa Kiunzi cha Lugha Msingi","authors":"Shadrack Kirimi Nyagah, Patrick Iribe Mwangi, Basilio Gichobi Mungania","doi":"10.4314/jclfkt.v4i4.1","DOIUrl":"https://doi.org/10.4314/jclfkt.v4i4.1","url":null,"abstract":"Binadamu anapokuwa na ujuzi wa lugha zaidi ya moja huzitumia zote katika mazungumzo yake. Hali hii hujulikana kuwa ni uhamishaji msimbo. Uchanganyaji wa mofimu na elementi za Kiswahili na Kiingereza hufanyika kwa haraka bila kumtatiza mzungumzaji au kukwamiza mawasiliano. Hali hii ndiyo imetupa ari ya kuutafitia uhamishaji huu. Tumeegemea mkabala wa kisarufi kubainisha sifa za kiisimu zinazodhihirika wakati lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutumika katika sentensi moja. Makala hii inalenga kudhihirisha ikiwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutekeleza majukumu sawa na pili, kutathmini iwapo uhamishaji msimbo hudhibitiwa na sheria za aina yoyote. Tumetumia modeli ya Kiunzi cha Lugha Msingi (K.L.M) ya Myers-Scotton (1993) kusaidia kutimiza malengo hayo. Data ya makala hii imetokana na mazungumzo ya vipindi viwili kutoka kwenye runinga. Uchanganuzi wa data umeonesha kwamba, lugha ya Kiswahili huwa na majukumu mengi ikilinganishwa na lugha ya Kiingereza. Pia, mofimu na elementi za lugha ya Kiingereza huchopekwa kwenye muundo wa Kiswahili kuambatana na sheria za lugha ya Kiswahili.","PeriodicalId":518580,"journal":{"name":"Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA)","volume":"58 3","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2024-01-25","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"140530857","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
相关产品
×
本文献相关产品
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信