Upembezwaji wa Mwanamke kama Kihunzi cha Ufanisi wa Ujenzi wa Ujitambuzinafsia Katika Baadhi ya Bunilizi za Clara Momanyi

Kawira Kamwara
{"title":"Upembezwaji wa Mwanamke kama Kihunzi cha Ufanisi wa Ujenzi wa Ujitambuzinafsia Katika Baadhi ya Bunilizi za Clara Momanyi","authors":"Kawira Kamwara","doi":"10.37284/jammk.7.1.1978","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Jamii nyingi za Kiafrika ni za kuumeni na humpembeza mwanamke kwa kumweka katika ngazi za chini akilinganishwa na mwanamume. Upembezwaji wa mwanamke katika tungo za kifasihi na katika maendeleo ya jamii ni matokeo ya mwingiliano wa fahamu tambuzi na fahamu bwete za mtunzi hasa kwa mujibu wa utamaduni wa jamii lengwa. Mwingiliano huu wa ufahamu tambuzi na ufahamu bwete unaekezwa kwa makusudi katika utunzi wa tungo mahususi kama ilivyo kwenye tungo za Momanyi ‘Ngome ya Nafsi’ katika Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine (2004), Tumaini (2006) na Nakuruto (2010). Nadharia tuliyotumia ni ya  Ubaada wa Ufeministi wa Kiafrika iliyoasisiwa na Steady (1981). Mwanaufeministi huyu alisema kuwa Ubaada wa Ufeministi wa Kiafrika huweka masuala pamoja ya kijinsia, ubaguzi, mielekeo ya kiutamaduni na tabaka ili kumwangalia mwanamke kama kiumbe mtegamewa bali sio mtegemezi. Data ya usomi huu ilitokana na usomaji wa bunilizi hizi maktabani. Tuliweza vilevile kutumia mitandao kurutubisha utafiti wetu. Hivyo, ni kwa jinsi gani ambavyo utamaduni unatinga ufanisi wa mwanamke kisanii katika jamii? Ni mikakati ipi ambayo jamii imeweka kupigania ufanisi wa mwanamke? Mwanamke anachangia vipi upembezwaji wa kijinsia? Maswali haya ndiyo tulipania kuyajibu katika Makala haya.","PeriodicalId":504864,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":" 16","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-06-10","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Upembezwaji wa Mwanamke kama Kihunzi cha Ufanisi wa Ujenzi wa Ujitambuzinafsia Katika Baadhi ya Bunilizi za Clara Momanyi\",\"authors\":\"Kawira Kamwara\",\"doi\":\"10.37284/jammk.7.1.1978\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Jamii nyingi za Kiafrika ni za kuumeni na humpembeza mwanamke kwa kumweka katika ngazi za chini akilinganishwa na mwanamume. Upembezwaji wa mwanamke katika tungo za kifasihi na katika maendeleo ya jamii ni matokeo ya mwingiliano wa fahamu tambuzi na fahamu bwete za mtunzi hasa kwa mujibu wa utamaduni wa jamii lengwa. Mwingiliano huu wa ufahamu tambuzi na ufahamu bwete unaekezwa kwa makusudi katika utunzi wa tungo mahususi kama ilivyo kwenye tungo za Momanyi ‘Ngome ya Nafsi’ katika Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine (2004), Tumaini (2006) na Nakuruto (2010). Nadharia tuliyotumia ni ya  Ubaada wa Ufeministi wa Kiafrika iliyoasisiwa na Steady (1981). Mwanaufeministi huyu alisema kuwa Ubaada wa Ufeministi wa Kiafrika huweka masuala pamoja ya kijinsia, ubaguzi, mielekeo ya kiutamaduni na tabaka ili kumwangalia mwanamke kama kiumbe mtegamewa bali sio mtegemezi. Data ya usomi huu ilitokana na usomaji wa bunilizi hizi maktabani. Tuliweza vilevile kutumia mitandao kurutubisha utafiti wetu. Hivyo, ni kwa jinsi gani ambavyo utamaduni unatinga ufanisi wa mwanamke kisanii katika jamii? Ni mikakati ipi ambayo jamii imeweka kupigania ufanisi wa mwanamke? Mwanamke anachangia vipi upembezwaji wa kijinsia? Maswali haya ndiyo tulipania kuyajibu katika Makala haya.\",\"PeriodicalId\":504864,\"journal\":{\"name\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"volume\":\" 16\",\"pages\":\"\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2024-06-10\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"FirstCategoryId\":\"1085\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1978\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1978","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

摘要

基亚弗里亚是一个有着丰富发展历史的基亚弗里亚国家。在基法西语中,"Upembezwaji wa mwanamkei "指的是 "maendeleo ya jamii ni matokeo ya mwingiliano wa fahamu tambuzi na fahamu bwete za mtunzi hasa kwa mujibu wa utamaduni wa jamii lengwa"。在马雅伊-瓦兹里-瓦拉迪(Mayai Waziri wa Maradhi)和哈迪提-宁因(Hadithi Nyingine,2004 年)、图马伊尼(Tumaini,2006 年)和纳库鲁托(Nakuruto,2010 年)的 "Ngome ya Nafsi "项目中,都出现了这种情况。纳达利亚关于 Ubaada wa Ufeministi wa Kiafrika iliyoasisiwa na Steady 的论文(1981 年)。基亚弗里亚女权运动的主要特点是 "女权"、"女权"、"女权运动"、"女权运动"、"女权运动"、"女权运动"、"女权运动"、"女权运动"、"女权运动"、"女权运动"、"女权运动"、"女权运动"、"女权运动 "和 "女权运动"。关于使用 usomi huu ilitokana na usomaji wa bunilizi hizi maktabani 的数据。这些数据表明,在使用 "usomi "的过程中,存在着许多问题,其中包括 "usomaji wa bunilizi hizi maktabani"。在未来,我们是否会继续在劳动力市场上寻找新的合作伙伴?您是否知道如何将这些信息传递到其他地方?您是说,您的工作是什么?在 "Makala "中的 "Maswali haya ndiyo tulipania kuyajibu katika Makala haya"。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
Upembezwaji wa Mwanamke kama Kihunzi cha Ufanisi wa Ujenzi wa Ujitambuzinafsia Katika Baadhi ya Bunilizi za Clara Momanyi
Jamii nyingi za Kiafrika ni za kuumeni na humpembeza mwanamke kwa kumweka katika ngazi za chini akilinganishwa na mwanamume. Upembezwaji wa mwanamke katika tungo za kifasihi na katika maendeleo ya jamii ni matokeo ya mwingiliano wa fahamu tambuzi na fahamu bwete za mtunzi hasa kwa mujibu wa utamaduni wa jamii lengwa. Mwingiliano huu wa ufahamu tambuzi na ufahamu bwete unaekezwa kwa makusudi katika utunzi wa tungo mahususi kama ilivyo kwenye tungo za Momanyi ‘Ngome ya Nafsi’ katika Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine (2004), Tumaini (2006) na Nakuruto (2010). Nadharia tuliyotumia ni ya  Ubaada wa Ufeministi wa Kiafrika iliyoasisiwa na Steady (1981). Mwanaufeministi huyu alisema kuwa Ubaada wa Ufeministi wa Kiafrika huweka masuala pamoja ya kijinsia, ubaguzi, mielekeo ya kiutamaduni na tabaka ili kumwangalia mwanamke kama kiumbe mtegamewa bali sio mtegemezi. Data ya usomi huu ilitokana na usomaji wa bunilizi hizi maktabani. Tuliweza vilevile kutumia mitandao kurutubisha utafiti wetu. Hivyo, ni kwa jinsi gani ambavyo utamaduni unatinga ufanisi wa mwanamke kisanii katika jamii? Ni mikakati ipi ambayo jamii imeweka kupigania ufanisi wa mwanamke? Mwanamke anachangia vipi upembezwaji wa kijinsia? Maswali haya ndiyo tulipania kuyajibu katika Makala haya.
求助全文
通过发布文献求助,成功后即可免费获取论文全文。 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信