Nafasi Ya Fasihi Andishi Ya Watoto Kama Chombo Cha Malezi Kwa Watoto Wa Kisasa

N. N. Musembi, Peter Karanja
{"title":"Nafasi Ya Fasihi Andishi Ya Watoto Kama Chombo Cha Malezi Kwa Watoto Wa Kisasa","authors":"N. N. Musembi, Peter Karanja","doi":"10.37284/jammk.7.1.1924","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Fasihi andishi ya watoto ina nafasi kubwa ya kuwasaidia watoto kuelewa mazingira yao pamoja na kujenga mwonoulimwengu wao kulingana na wanachosoma. Hii ni kutokana na sababu kwamba watoto hubwia wasomacho kuwa kiwakilishi cha uhalisia katika jamii. Fasihi ya watoto huchokoza fikra zao na kuwachochea kufikiria, kuimarisha msamiati wao, na pia huwasaidia kujifahamu kando na kuwafahamu watu wengine. Fasihi hii hivyo basi inajitokeza kama kioo ambacho watoto wanajiona kwacho na pia dirisha la kuwawezesha kuutalii ulimwengu unaowazunguka. Fasihi andishi ya watoto vilevile ina uwezo wa kuonyesha kuwa, watu tofauti wanaweza kufanya kazi pamoja bila ubaguzi wa aina yoyote. Waandishi wa fasihi ya watoto hivyo basi hubuni ulimwengu ambao watoto wanaweza kuutambua kwa urahisi na kujinasibisha nao. Kwa msomaji mtoto, hali hii hurahisisha uvushaji wa maarifa na kuifanya fasihi andishi yao kuwa nyenzo muhimu ya kuimarisha mtagusano wa kijamii pamoja na uvushaji wa maarifa ya kiakademia. Lengo la makala hii ni kubainisha kuwa, kupitia fasihi andishi ya watoto ya Kiswahili, msomaji mtoto anaweza kufafanukiwa na hali halisi ya maisha yake na wakati huo huo kupata suluhu ya kutatua matatizo yanayomkumba na ya jamii yake. Kazi hii itafanya hivyo kwa kuhakiki vitabu vya fasihi andishi ya watoto vifuatavyo:  Momanyi, C (2006) Tumaini, Momanyi, C.  (2005), Siku ya Wajinga, Musembi, N. (2009) Nipe Sababu, Musembi, N. (2019) Dhiki Yangu Ngugi, P. (2003) Usicheze na Moto Mdari, A. (2001) Alitoroka kwao. Ndoto ya Mwanafunzi, Manji, M (2013), na Safari ya Sungura Omusikoyo T, ( 2021).  Makala hii inatoa mwito kwa waandishi wa fasihi ya watoto watunge vitabu vitakavyo wasaidia watoto kukabiliana na hali zote za maisha yao wanapoendelea kukua katika dunia hii inayobadilika kila uchao","PeriodicalId":504864,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"28 14","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-05-13","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Nafasi Ya Fasihi Andishi Ya Watoto Kama Chombo Cha Malezi Kwa Watoto Wa Kisasa\",\"authors\":\"N. N. Musembi, Peter Karanja\",\"doi\":\"10.37284/jammk.7.1.1924\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Fasihi andishi ya watoto ina nafasi kubwa ya kuwasaidia watoto kuelewa mazingira yao pamoja na kujenga mwonoulimwengu wao kulingana na wanachosoma. Hii ni kutokana na sababu kwamba watoto hubwia wasomacho kuwa kiwakilishi cha uhalisia katika jamii. Fasihi ya watoto huchokoza fikra zao na kuwachochea kufikiria, kuimarisha msamiati wao, na pia huwasaidia kujifahamu kando na kuwafahamu watu wengine. Fasihi hii hivyo basi inajitokeza kama kioo ambacho watoto wanajiona kwacho na pia dirisha la kuwawezesha kuutalii ulimwengu unaowazunguka. Fasihi andishi ya watoto vilevile ina uwezo wa kuonyesha kuwa, watu tofauti wanaweza kufanya kazi pamoja bila ubaguzi wa aina yoyote. Waandishi wa fasihi ya watoto hivyo basi hubuni ulimwengu ambao watoto wanaweza kuutambua kwa urahisi na kujinasibisha nao. Kwa msomaji mtoto, hali hii hurahisisha uvushaji wa maarifa na kuifanya fasihi andishi yao kuwa nyenzo muhimu ya kuimarisha mtagusano wa kijamii pamoja na uvushaji wa maarifa ya kiakademia. Lengo la makala hii ni kubainisha kuwa, kupitia fasihi andishi ya watoto ya Kiswahili, msomaji mtoto anaweza kufafanukiwa na hali halisi ya maisha yake na wakati huo huo kupata suluhu ya kutatua matatizo yanayomkumba na ya jamii yake. Kazi hii itafanya hivyo kwa kuhakiki vitabu vya fasihi andishi ya watoto vifuatavyo:  Momanyi, C (2006) Tumaini, Momanyi, C.  (2005), Siku ya Wajinga, Musembi, N. (2009) Nipe Sababu, Musembi, N. (2019) Dhiki Yangu Ngugi, P. (2003) Usicheze na Moto Mdari, A. (2001) Alitoroka kwao. Ndoto ya Mwanafunzi, Manji, M (2013), na Safari ya Sungura Omusikoyo T, ( 2021).  Makala hii inatoa mwito kwa waandishi wa fasihi ya watoto watunge vitabu vitakavyo wasaidia watoto kukabiliana na hali zote za maisha yao wanapoendelea kukua katika dunia hii inayobadilika kila uchao\",\"PeriodicalId\":504864,\"journal\":{\"name\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"volume\":\"28 14\",\"pages\":\"\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2024-05-13\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"FirstCategoryId\":\"1085\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1924\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1924","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

摘要

在水源和水源管理方面,我们的经验表明,在水源管理的过程中,我们需要对水源进行管理,并对水源的水质和水量进行监测。我们还将继续努力,以实现我们的目标。我们的工作是:在我们的工作岗位上,我们的工作是:在我们的工作岗位上,我们的工作是:在我们的工作岗位上,为我们的工作创造条件,为我们的工作创造条件,为我们的工作创造条件。在未来的日子里,我们将继续努力,以实现我们的目标。在 "鄙视 "和 "蔑视 "的概念中,"鄙视 "和 "蔑视 "的意思是 "鄙视"、"蔑视"、"蔑视"、"蔑视"、"蔑视"、"蔑视 "和 "蔑视"。在今后的工作中,我们将继续加强我们的工作。在这些问题上,我们可以看到的是,在大学里,我们的学生和教师都有自己的想法。在斯瓦希里语的语言环境中,我们可以看到,我们的学生在学习斯瓦希里语的同时,也在学习其他语言。Kazi hii itafanya hivyo kwa kuhakiki vitabu vya fasihi andishi ya watoto vifuatavyo: Momanyi, C. (2006) Tumaini, Momanyi, C. (2005), Siku ya Wajinga, Musembi, N. (2009) Nipe Sababu, Musembi, N. (2019) Dhiki Yangu Ngugi, P. (2003) Usicheze na Moto Mdari, A. (2001) Alitoroka kwao.Ndoto ya Mwanafunzi, Manji, M (2013), na Safari ya Sungura Omusikoyo T, ( 2021). Makala hii inatoa mwito kwa waandishi wa fasihi ya watoto watunge vitabu vitakavyo wasaidia watoto kukabiliana na hali zote za maisha yao wanapoendelea kukua katika Dunia hii inayobadilika kila uchao
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
Nafasi Ya Fasihi Andishi Ya Watoto Kama Chombo Cha Malezi Kwa Watoto Wa Kisasa
Fasihi andishi ya watoto ina nafasi kubwa ya kuwasaidia watoto kuelewa mazingira yao pamoja na kujenga mwonoulimwengu wao kulingana na wanachosoma. Hii ni kutokana na sababu kwamba watoto hubwia wasomacho kuwa kiwakilishi cha uhalisia katika jamii. Fasihi ya watoto huchokoza fikra zao na kuwachochea kufikiria, kuimarisha msamiati wao, na pia huwasaidia kujifahamu kando na kuwafahamu watu wengine. Fasihi hii hivyo basi inajitokeza kama kioo ambacho watoto wanajiona kwacho na pia dirisha la kuwawezesha kuutalii ulimwengu unaowazunguka. Fasihi andishi ya watoto vilevile ina uwezo wa kuonyesha kuwa, watu tofauti wanaweza kufanya kazi pamoja bila ubaguzi wa aina yoyote. Waandishi wa fasihi ya watoto hivyo basi hubuni ulimwengu ambao watoto wanaweza kuutambua kwa urahisi na kujinasibisha nao. Kwa msomaji mtoto, hali hii hurahisisha uvushaji wa maarifa na kuifanya fasihi andishi yao kuwa nyenzo muhimu ya kuimarisha mtagusano wa kijamii pamoja na uvushaji wa maarifa ya kiakademia. Lengo la makala hii ni kubainisha kuwa, kupitia fasihi andishi ya watoto ya Kiswahili, msomaji mtoto anaweza kufafanukiwa na hali halisi ya maisha yake na wakati huo huo kupata suluhu ya kutatua matatizo yanayomkumba na ya jamii yake. Kazi hii itafanya hivyo kwa kuhakiki vitabu vya fasihi andishi ya watoto vifuatavyo:  Momanyi, C (2006) Tumaini, Momanyi, C.  (2005), Siku ya Wajinga, Musembi, N. (2009) Nipe Sababu, Musembi, N. (2019) Dhiki Yangu Ngugi, P. (2003) Usicheze na Moto Mdari, A. (2001) Alitoroka kwao. Ndoto ya Mwanafunzi, Manji, M (2013), na Safari ya Sungura Omusikoyo T, ( 2021).  Makala hii inatoa mwito kwa waandishi wa fasihi ya watoto watunge vitabu vitakavyo wasaidia watoto kukabiliana na hali zote za maisha yao wanapoendelea kukua katika dunia hii inayobadilika kila uchao
求助全文
通过发布文献求助,成功后即可免费获取论文全文。 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信