{"title":"在皮利路的斯瓦希里语国家语言学习中心(Mawasiliano ya Wajifunzaji wa Kiswahili Sanifu kama Lugha ya Pili)的 \"语言学习\"(Lafudhi ya Kihehe na Athari zake)中的 \"语言 \"部分","authors":"Mwaija Ngenzi","doi":"10.56279/jk.v86i2.2","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inachunguza uhawilishaji wa lafudhi ya Kihehe na athari zake katika mawasiliano ya wajifunzaji wa Kiswahili sanifu kama lugha ya pili (L2). Sababu iliyochochea kufanyika kwa utafiti huu ni kuwa uhawilishwaji wa lafudhi ya Kihehe umebainika kupotosha maana na kukwamisha mawasiliano miongoni mwa wajifunzaji lugha ya Kiswahili sanifu wa jamii ya Wahehe. Data za makala hii zilikusanywa kutoka kwa wajifunzaji wa lugha ya Kiswahili sanifu wa jamii ya Wahehe ambao Kihehe ni lugha mama yao. Data za msingi za makala hii zilikusanywa kwa mbinu za masimulizi ya hadithi na uchambuzi wa nyaraka. Uchambuzi wa data uliongozwa kwa Nadharia za Usasanyuzi Linganishi na Arifu ya Mawasiliano. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa uhawilishwaji wa lafudhi ya Kihehe katika Kiswahili sanifu husababisha athari za kifonolojia na kisemantiki. Athari zilizobainika ni udondoshaji, uchopekaji, ubadilishanaji na urefushwaji wa fonimu katika maneno ya Kiswahili sanifu. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa michakato ya udondoshaji, uchopekaji, ubadilishanaji na urefushwaji wa fonimu katika maneno ya Kiswahili sanifu husababisha mabadiliko ya maneno kimatamshi na kimaana.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"267 2‐3","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-04-10","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Uhawilishaji wa Lafudhi ya Kihehe na Athari zake katika Mawasiliano ya Wajifunzaji wa Kiswahili Sanifu kama Lugha ya Pili\",\"authors\":\"Mwaija Ngenzi\",\"doi\":\"10.56279/jk.v86i2.2\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Makala hii inachunguza uhawilishaji wa lafudhi ya Kihehe na athari zake katika mawasiliano ya wajifunzaji wa Kiswahili sanifu kama lugha ya pili (L2). Sababu iliyochochea kufanyika kwa utafiti huu ni kuwa uhawilishwaji wa lafudhi ya Kihehe umebainika kupotosha maana na kukwamisha mawasiliano miongoni mwa wajifunzaji lugha ya Kiswahili sanifu wa jamii ya Wahehe. Data za makala hii zilikusanywa kutoka kwa wajifunzaji wa lugha ya Kiswahili sanifu wa jamii ya Wahehe ambao Kihehe ni lugha mama yao. Data za msingi za makala hii zilikusanywa kwa mbinu za masimulizi ya hadithi na uchambuzi wa nyaraka. Uchambuzi wa data uliongozwa kwa Nadharia za Usasanyuzi Linganishi na Arifu ya Mawasiliano. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa uhawilishwaji wa lafudhi ya Kihehe katika Kiswahili sanifu husababisha athari za kifonolojia na kisemantiki. Athari zilizobainika ni udondoshaji, uchopekaji, ubadilishanaji na urefushwaji wa fonimu katika maneno ya Kiswahili sanifu. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa michakato ya udondoshaji, uchopekaji, ubadilishanaji na urefushwaji wa fonimu katika maneno ya Kiswahili sanifu husababisha mabadiliko ya maneno kimatamshi na kimaana.\",\"PeriodicalId\":411809,\"journal\":{\"name\":\"Jarida la Kiswahili\",\"volume\":\"267 2‐3\",\"pages\":\"\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2024-04-10\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"Jarida la Kiswahili\",\"FirstCategoryId\":\"1085\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.56279/jk.v86i2.2\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v86i2.2","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
Makala hii inachunguza uhawilishaji wa lafudhi ya Kihehe na athari zake katika mawasiliano ya wajifunzaji wa Kiswahili sanifu kama lugha ya pili (L2)。数据与斯瓦希里语词典(L2)的数据相同。Data za makala hii zilikusanywa kutoka kwa wajifunzaji wa lugha ya Kiswahili sanifu wa jamii ya Wahehe ambao Kihehe ni lugha mama yao.Data is the most important part of your life, and it is the most important part of your life.Uchambuzi wa data uliongozwa kwa Nadharia za Usasanyuzi Linganishi na Arifu ya Mawasiliano.在斯瓦希里语的环境中,你可以使用多种语言,包括英语、法语和西班牙语。在斯瓦希里语教育机构中,可提供的服务有:"学习"(udondoshaji)、"学习"(uchopekaji)、"学习"(ubadilishanaji)和 "学习"(urefushwaji)。我们的目标是,在我们的国家里,通过我们的努力,使我们的国家成为世界上最强大的国家之一,使我们的国家成为世界上最强大的国家之一。
Uhawilishaji wa Lafudhi ya Kihehe na Athari zake katika Mawasiliano ya Wajifunzaji wa Kiswahili Sanifu kama Lugha ya Pili
Makala hii inachunguza uhawilishaji wa lafudhi ya Kihehe na athari zake katika mawasiliano ya wajifunzaji wa Kiswahili sanifu kama lugha ya pili (L2). Sababu iliyochochea kufanyika kwa utafiti huu ni kuwa uhawilishwaji wa lafudhi ya Kihehe umebainika kupotosha maana na kukwamisha mawasiliano miongoni mwa wajifunzaji lugha ya Kiswahili sanifu wa jamii ya Wahehe. Data za makala hii zilikusanywa kutoka kwa wajifunzaji wa lugha ya Kiswahili sanifu wa jamii ya Wahehe ambao Kihehe ni lugha mama yao. Data za msingi za makala hii zilikusanywa kwa mbinu za masimulizi ya hadithi na uchambuzi wa nyaraka. Uchambuzi wa data uliongozwa kwa Nadharia za Usasanyuzi Linganishi na Arifu ya Mawasiliano. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa uhawilishwaji wa lafudhi ya Kihehe katika Kiswahili sanifu husababisha athari za kifonolojia na kisemantiki. Athari zilizobainika ni udondoshaji, uchopekaji, ubadilishanaji na urefushwaji wa fonimu katika maneno ya Kiswahili sanifu. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa michakato ya udondoshaji, uchopekaji, ubadilishanaji na urefushwaji wa fonimu katika maneno ya Kiswahili sanifu husababisha mabadiliko ya maneno kimatamshi na kimaana.