坦桑尼亚(2000-2019 年)Utamaduni na Udhibiti wa Nyimbo za Bongo Fleva Nchini

Edson Z. Thomas, J. Bulaya
{"title":"坦桑尼亚(2000-2019 年)Utamaduni na Udhibiti wa Nyimbo za Bongo Fleva Nchini","authors":"Edson Z. Thomas, J. Bulaya","doi":"10.56279/jk.v86i2.6","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Udhibiti wa nyimbo ni changamoto inayowakumba wasanii wa nyimbo za Bongo Fleva. Hali hiyo imechangiwa na kukua kwa tasnia hiyo pamoja na kukua kwa TEHAMA ambapo wasanii wanaweza kujifunza na kuiga kwa haraka mitindo kutoka nje ya utamaduni wa Watanzania pamoja na kufikisha kazi zao kwenye hadhira kwa haraka kabla upungufu wa nyimbo hizo haujagunduliwa. Makala hii imechunguza suala hili kwa kuangalia chimbuko, usuli pamoja na sababu zinazochochea udhibiti wa nyimbo hizo. Data za makala hii zilikusanywa kwa njia ya hojaji na usaili. Wasanii wa Bongo Fleva na viongozi wa taasisi za udhibiti wa sanaa nchini Tanzania walihojiwa. Aidha, baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu waliosomea masuala ya udhibiti wa sanaa walijaza hojaji ili kutoa mawazo yao kuhusu utamaduni na udhibiti. Data zilichambuliwa kwa kuongozwa na Nadharia ya Maadili iliyoasisiwa na Plato. Kutokana na uchunguzi uliofanyika, sababu za kitamaduni za kudhibitiwa kwa nyimbo za Bongo Fleva ni: mosi, kuiga tamaduni za kigeni zilizo kinyume na mila na desturi za Kitanzania. Pili, matumizi ya lugha isiyo na staha katika miktadha mbalimbali pamoja na sababu za kidini. Mjadala wa makala hii umejikita katika kipindi cha kuanzia mwaka 2000-2019 kutokana na wimbi kubwa la udhibiti wa nyimbo hizo ikilinganishwa na kipindi cha nyuma.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"350 3","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-04-10","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Utamaduni na Udhibiti wa Nyimbo za Bongo Fleva Nchini Tanzania (2000-2019)\",\"authors\":\"Edson Z. Thomas, J. Bulaya\",\"doi\":\"10.56279/jk.v86i2.6\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Udhibiti wa nyimbo ni changamoto inayowakumba wasanii wa nyimbo za Bongo Fleva. Hali hiyo imechangiwa na kukua kwa tasnia hiyo pamoja na kukua kwa TEHAMA ambapo wasanii wanaweza kujifunza na kuiga kwa haraka mitindo kutoka nje ya utamaduni wa Watanzania pamoja na kufikisha kazi zao kwenye hadhira kwa haraka kabla upungufu wa nyimbo hizo haujagunduliwa. Makala hii imechunguza suala hili kwa kuangalia chimbuko, usuli pamoja na sababu zinazochochea udhibiti wa nyimbo hizo. Data za makala hii zilikusanywa kwa njia ya hojaji na usaili. Wasanii wa Bongo Fleva na viongozi wa taasisi za udhibiti wa sanaa nchini Tanzania walihojiwa. Aidha, baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu waliosomea masuala ya udhibiti wa sanaa walijaza hojaji ili kutoa mawazo yao kuhusu utamaduni na udhibiti. Data zilichambuliwa kwa kuongozwa na Nadharia ya Maadili iliyoasisiwa na Plato. Kutokana na uchunguzi uliofanyika, sababu za kitamaduni za kudhibitiwa kwa nyimbo za Bongo Fleva ni: mosi, kuiga tamaduni za kigeni zilizo kinyume na mila na desturi za Kitanzania. Pili, matumizi ya lugha isiyo na staha katika miktadha mbalimbali pamoja na sababu za kidini. Mjadala wa makala hii umejikita katika kipindi cha kuanzia mwaka 2000-2019 kutokana na wimbi kubwa la udhibiti wa nyimbo hizo ikilinganishwa na kipindi cha nyuma.\",\"PeriodicalId\":411809,\"journal\":{\"name\":\"Jarida la Kiswahili\",\"volume\":\"350 3\",\"pages\":\"\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2024-04-10\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"Jarida la Kiswahili\",\"FirstCategoryId\":\"1085\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.56279/jk.v86i2.6\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v86i2.6","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

摘要

我们的国家在邦戈-弗莱瓦(Bongo Fleva)的国家计划中占有重要地位。在坦桑尼亚,有很多人都有这样的经历,他们都有一个共同的梦想,那就是在坦桑尼亚的大草原上建立自己的家园。在 "钦布科"(chimbuko)一词中,"我们 "的意思是 "我们",而 "我们 "的意思是 "我们"。这些数据将帮助我们更好地应对未来的挑战。邦戈-弗莱瓦(Bongo Fleva)和他的朋友们都在坦桑尼亚的 "坦桑尼亚"(Walihojiwa)。此外,在坦桑尼亚的一些地区,还存在着一些亟待解决的问题,其中包括:(a)在坦桑尼亚的教育资源匮乏;(b)在坦桑尼亚的教育资源不足;(c)在坦桑尼亚的教育资源匮乏;(d)在坦桑尼亚的教育资源匮乏。柏拉图的 "马拉迪里的纳达里亚"(Nadharia ya Maadili iliyoasisiwa na Plato)数据。在邦戈-弗莱瓦(Bongo Fleva)的年鉴中,有这样一段话:"在北 坦桑尼亚,我们的祖先是最伟大的。因此,要想在基坦尚尼亚取得成功,就必须对基坦尚尼亚进行彻底的改革。在 2000 年至 2019 年期间,在坦桑尼亚,有许多人都在为自己的未来而努力。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
Utamaduni na Udhibiti wa Nyimbo za Bongo Fleva Nchini Tanzania (2000-2019)
Udhibiti wa nyimbo ni changamoto inayowakumba wasanii wa nyimbo za Bongo Fleva. Hali hiyo imechangiwa na kukua kwa tasnia hiyo pamoja na kukua kwa TEHAMA ambapo wasanii wanaweza kujifunza na kuiga kwa haraka mitindo kutoka nje ya utamaduni wa Watanzania pamoja na kufikisha kazi zao kwenye hadhira kwa haraka kabla upungufu wa nyimbo hizo haujagunduliwa. Makala hii imechunguza suala hili kwa kuangalia chimbuko, usuli pamoja na sababu zinazochochea udhibiti wa nyimbo hizo. Data za makala hii zilikusanywa kwa njia ya hojaji na usaili. Wasanii wa Bongo Fleva na viongozi wa taasisi za udhibiti wa sanaa nchini Tanzania walihojiwa. Aidha, baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu waliosomea masuala ya udhibiti wa sanaa walijaza hojaji ili kutoa mawazo yao kuhusu utamaduni na udhibiti. Data zilichambuliwa kwa kuongozwa na Nadharia ya Maadili iliyoasisiwa na Plato. Kutokana na uchunguzi uliofanyika, sababu za kitamaduni za kudhibitiwa kwa nyimbo za Bongo Fleva ni: mosi, kuiga tamaduni za kigeni zilizo kinyume na mila na desturi za Kitanzania. Pili, matumizi ya lugha isiyo na staha katika miktadha mbalimbali pamoja na sababu za kidini. Mjadala wa makala hii umejikita katika kipindi cha kuanzia mwaka 2000-2019 kutokana na wimbi kubwa la udhibiti wa nyimbo hizo ikilinganishwa na kipindi cha nyuma.
求助全文
通过发布文献求助,成功后即可免费获取论文全文。 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信