肯尼亚基肖纳的乌杜米沙吉-米卡卡蒂(Mikakati ya Udumishaji wa Lugha ya Kishona Nchini Kenya

Mercy Moraa Motanya, Boniface Ngugi, Stephen Njihia Kamau
{"title":"肯尼亚基肖纳的乌杜米沙吉-米卡卡蒂(Mikakati ya Udumishaji wa Lugha ya Kishona Nchini Kenya","authors":"Mercy Moraa Motanya, Boniface Ngugi, Stephen Njihia Kamau","doi":"10.37284/jammk.7.1.1824","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala haya yanalenga kuchunguza mikakati mbalimbali inayotumiwa na Washona katika kudumisha lugha ya Kishona nchini Kenya. Washona ni Wabantu ambao asili yao ni nchi ya Zimbabwe na walifika nchini Kenya kuanzia mwaka wa 1959 kwa lengo la kuhubiri injili kupitia kwa dhehebu la Gospel of God. Washona wametagusana na jamiilugha mbalimbali nchini Kenya hasa katika kaunti ya Kiambu iliyo na hali ya wingilugha hasa kwenye mitaa ya Kinoo, Kikuyu, Kiambaa, Gitaru, na Githurai ambayo ni makazi ya Washona wengi wanaoishi nchini Kenya. Mtagusano wa lugha mbalimbali waweza kuhatarisha uthabiti wa kiisimujamii wa lugha ambayo ina idadi ndogo ya wazungumzaji na ambayo haina usaidizi kutoka asasi mbalimbali za kiserikali. Hali hii ndiyo inayoikabili jamiilugha ya Washona nchini Kenya. Makala haya yaliongozwa na nadharia ya uzalishaji kijamii ya Bourdieu (1977) ambayo iliendelezwa na O’Riagain (1994). Kupitia kwa mhimili wake wa kwanza unaosema kwamba kila kizazi hubuni na kuweka mikakati ya kurithisha kizazi kinachofuata utamaduni wake, nadharia hii inasisitiza mikakati ambayo jamiilugha huweka ili kudumisha lugha ambayo ni kipengele muhimu cha utamaduni. Utafiti huu ulifanyikia maktabani na nyanjani. Utafiti wa nyanjani ulifanyikia kwenye maeneo ambayo wanajamiilugha wa Kishona huishi ili kupata data iliyobainisha mikakati ambayo Washona wanatumia ili kudumisha lugha yao ya Kishona nchini Kenya. Jumuiya ya utafiti ilikuwa jamiilugha ya Washona wanaoishi katika mitaa mitano ya kaunti ya Kiambu. Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kimaksudi na kwa njia elekezi. Mbinu zilizotumiwa katika ukusanyaji wa data ni mahojiano, uchunzaji na mijadala ya vikundi vidogovidogo. Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kwa kutumia mbinu changamano. Matokeo yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo na kuongozwa na nadharia ya uzalishaji kijamii. Kufuatia juhudi za UNESCO za kudumisha lugha asilia, utafiti huu ni wa manufaa kwa Washona wenyewe, taifa la Kenya na mataifa mengine kwa kuwa uliongezea data muhimu katika kuhifadhi lugha ya Kishona nchini Kenya","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"11 4","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-03-14","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Mikakati ya Udumishaji wa Lugha ya Kishona Nchini Kenya\",\"authors\":\"Mercy Moraa Motanya, Boniface Ngugi, Stephen Njihia Kamau\",\"doi\":\"10.37284/jammk.7.1.1824\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Makala haya yanalenga kuchunguza mikakati mbalimbali inayotumiwa na Washona katika kudumisha lugha ya Kishona nchini Kenya. Washona ni Wabantu ambao asili yao ni nchi ya Zimbabwe na walifika nchini Kenya kuanzia mwaka wa 1959 kwa lengo la kuhubiri injili kupitia kwa dhehebu la Gospel of God. Washona wametagusana na jamiilugha mbalimbali nchini Kenya hasa katika kaunti ya Kiambu iliyo na hali ya wingilugha hasa kwenye mitaa ya Kinoo, Kikuyu, Kiambaa, Gitaru, na Githurai ambayo ni makazi ya Washona wengi wanaoishi nchini Kenya. Mtagusano wa lugha mbalimbali waweza kuhatarisha uthabiti wa kiisimujamii wa lugha ambayo ina idadi ndogo ya wazungumzaji na ambayo haina usaidizi kutoka asasi mbalimbali za kiserikali. Hali hii ndiyo inayoikabili jamiilugha ya Washona nchini Kenya. Makala haya yaliongozwa na nadharia ya uzalishaji kijamii ya Bourdieu (1977) ambayo iliendelezwa na O’Riagain (1994). Kupitia kwa mhimili wake wa kwanza unaosema kwamba kila kizazi hubuni na kuweka mikakati ya kurithisha kizazi kinachofuata utamaduni wake, nadharia hii inasisitiza mikakati ambayo jamiilugha huweka ili kudumisha lugha ambayo ni kipengele muhimu cha utamaduni. Utafiti huu ulifanyikia maktabani na nyanjani. Utafiti wa nyanjani ulifanyikia kwenye maeneo ambayo wanajamiilugha wa Kishona huishi ili kupata data iliyobainisha mikakati ambayo Washona wanatumia ili kudumisha lugha yao ya Kishona nchini Kenya. Jumuiya ya utafiti ilikuwa jamiilugha ya Washona wanaoishi katika mitaa mitano ya kaunti ya Kiambu. Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kimaksudi na kwa njia elekezi. Mbinu zilizotumiwa katika ukusanyaji wa data ni mahojiano, uchunzaji na mijadala ya vikundi vidogovidogo. Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kwa kutumia mbinu changamano. Matokeo yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo na kuongozwa na nadharia ya uzalishaji kijamii. Kufuatia juhudi za UNESCO za kudumisha lugha asilia, utafiti huu ni wa manufaa kwa Washona wenyewe, taifa la Kenya na mataifa mengine kwa kuwa uliongezea data muhimu katika kuhifadhi lugha ya Kishona nchini Kenya\",\"PeriodicalId\":112928,\"journal\":{\"name\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"volume\":\"11 4\",\"pages\":\"\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2024-03-14\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"FirstCategoryId\":\"1085\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1824\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1824","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

摘要

在肯尼亚的基绍纳(Kishona)地区,有一个名叫瓦索纳(Washona)的人。1959 年,沃休娜与瓦班图(Wabantu Washona ni Wabantu)一起,在肯尼亚的 "上帝的福音"(Gospel of God)网站上发表了一篇题为 "沃休娜与津巴布韦"(Washona ni Wabantu ambao asili yao ni nchi ya Zimbabwe na walifika nchini Kenya)的文章。在肯尼亚,有很多人都在努力实现自己的目标。在肯尼亚的沃索纳,有一个 "狩猎者"(jamiilugha)。布迪厄(Bourdieu)(1977 年)和奥瑞甘(O'Riagain)(1994 年)都曾在肯尼亚的洗礼中留下足迹。我们的目标是,让我们的生活更加美好。在肯尼亚的基绍纳地区,用户可以通过 Washona wanatumia ili kudumisha lugha yao Kishona huishi ili kupata data iliyobainisha mikakati 获取数据。在基安布省的社区中,Washona 的用户数量在不断增加。该计划的目标是在基亚姆布省建立一个新的社区。在基亚姆布的数据库中,有大量的数据,其中有许多是关于维京人的信息。这些数据将在未来的变化中发挥作用。这些数据可以帮助我们更好地理解和管理我们的工作。在联合国教科文组织的支持下,在肯尼亚的基绍纳河流域,肯尼亚政府正在努力收集有关基绍纳河流域的数据。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
Mikakati ya Udumishaji wa Lugha ya Kishona Nchini Kenya
Makala haya yanalenga kuchunguza mikakati mbalimbali inayotumiwa na Washona katika kudumisha lugha ya Kishona nchini Kenya. Washona ni Wabantu ambao asili yao ni nchi ya Zimbabwe na walifika nchini Kenya kuanzia mwaka wa 1959 kwa lengo la kuhubiri injili kupitia kwa dhehebu la Gospel of God. Washona wametagusana na jamiilugha mbalimbali nchini Kenya hasa katika kaunti ya Kiambu iliyo na hali ya wingilugha hasa kwenye mitaa ya Kinoo, Kikuyu, Kiambaa, Gitaru, na Githurai ambayo ni makazi ya Washona wengi wanaoishi nchini Kenya. Mtagusano wa lugha mbalimbali waweza kuhatarisha uthabiti wa kiisimujamii wa lugha ambayo ina idadi ndogo ya wazungumzaji na ambayo haina usaidizi kutoka asasi mbalimbali za kiserikali. Hali hii ndiyo inayoikabili jamiilugha ya Washona nchini Kenya. Makala haya yaliongozwa na nadharia ya uzalishaji kijamii ya Bourdieu (1977) ambayo iliendelezwa na O’Riagain (1994). Kupitia kwa mhimili wake wa kwanza unaosema kwamba kila kizazi hubuni na kuweka mikakati ya kurithisha kizazi kinachofuata utamaduni wake, nadharia hii inasisitiza mikakati ambayo jamiilugha huweka ili kudumisha lugha ambayo ni kipengele muhimu cha utamaduni. Utafiti huu ulifanyikia maktabani na nyanjani. Utafiti wa nyanjani ulifanyikia kwenye maeneo ambayo wanajamiilugha wa Kishona huishi ili kupata data iliyobainisha mikakati ambayo Washona wanatumia ili kudumisha lugha yao ya Kishona nchini Kenya. Jumuiya ya utafiti ilikuwa jamiilugha ya Washona wanaoishi katika mitaa mitano ya kaunti ya Kiambu. Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kimaksudi na kwa njia elekezi. Mbinu zilizotumiwa katika ukusanyaji wa data ni mahojiano, uchunzaji na mijadala ya vikundi vidogovidogo. Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kwa kutumia mbinu changamano. Matokeo yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo na kuongozwa na nadharia ya uzalishaji kijamii. Kufuatia juhudi za UNESCO za kudumisha lugha asilia, utafiti huu ni wa manufaa kwa Washona wenyewe, taifa la Kenya na mataifa mengine kwa kuwa uliongezea data muhimu katika kuhifadhi lugha ya Kishona nchini Kenya
求助全文
通过发布文献求助,成功后即可免费获取论文全文。 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信