Mercy Moraa Motanya, Stephen Njihia Kamau, Boniface Ngugi
{"title":"Athari za Mtagusano wa Lugha ya Kiswahili na Kikuyu kwa Lugha ya Kishona","authors":"Mercy Moraa Motanya, Stephen Njihia Kamau, Boniface Ngugi","doi":"10.37284/jammk.7.1.1703","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Utafiti huu unalenga kuchunguza athari zinazotokana na mtagusano wa lugha ya Kiswahili na Kikuyu kwa lugha ya Kishona. Shona ni kabila mojawapo la Wabantu ambao asili yao ni nchini Zimbabwe na walifika nchini Kenya zaidi ya miaka sitini iliyopita kama wamishenari. Kufikia sasa, Washona wametagusana na jamiilugha mbalimbali nchini Kenya katika Kaunti ya Kiambu inayojulikana kwa wingilugha hasa kwenye mitaa ya Kinoo, Kikuyu, Kiambaa, Gitaru, na Githurai. Mtagusano wa lugha unapotokea, lugha husika huathirika kwa viwango mbalimbali kama vile kwenye fonetiki, kifonolojia, kimofolojia, kisintaksia na hata kisemantiki. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya uthabiti wa kiisimujamii wa lugha iliyoasisiwa na Giles, Bourhis na Taylor (1977) na kuendelezwa na Landweer (2000) na nadharia ya uzalishaji kijamii ya Bourdieu (1977). Mawanda mawili yalihusishwa ambayo ni utafiti wa maktabani na wa nyanjani. Utafiti wa nyanjani ulifanyika katika makazi ya wanajamiilugha ya Kishona ili kupata data ya moja kwa moja iliyojibu swali la utafiti. Jumuiya ya utafiti ilikuwa kabila la Washona wanaoishi katika mitaa mitano ya kaunti ya Kiambu.Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kimaksudi na kwa njia elekezi. Mbinu zilizotumiwa katika ukusanyaji data ni pamoja na hojaji, mahojiano, uchunzaji, mijadala ya vikundi vidogovidogo na maswali mepesi yaliyoandaliwa kimbele. Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kwa kutumia mbinu changamano. Matokeo yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo, takwimu na asilimia huku yakiongozwa na nadharia mbili za utafiti. Kufuatia juhudi za UNESCO za kudumisha lugha asilia, utafiti huu ulikuwa wa manufaa kwa taifa la Kenya na mataifa mengine kwa kuwa uliongezea data muhimu katika kuhifadhi utamaduni wa Washona na mwelekeo wa udumishaji kwa lugha za kabila mbalimbali","PeriodicalId":504864,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"15 2","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-01-22","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Athari za Mtagusano wa Lugha ya Kiswahili na Kikuyu kwa Lugha ya Kishona\",\"authors\":\"Mercy Moraa Motanya, Stephen Njihia Kamau, Boniface Ngugi\",\"doi\":\"10.37284/jammk.7.1.1703\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Utafiti huu unalenga kuchunguza athari zinazotokana na mtagusano wa lugha ya Kiswahili na Kikuyu kwa lugha ya Kishona. Shona ni kabila mojawapo la Wabantu ambao asili yao ni nchini Zimbabwe na walifika nchini Kenya zaidi ya miaka sitini iliyopita kama wamishenari. Kufikia sasa, Washona wametagusana na jamiilugha mbalimbali nchini Kenya katika Kaunti ya Kiambu inayojulikana kwa wingilugha hasa kwenye mitaa ya Kinoo, Kikuyu, Kiambaa, Gitaru, na Githurai. Mtagusano wa lugha unapotokea, lugha husika huathirika kwa viwango mbalimbali kama vile kwenye fonetiki, kifonolojia, kimofolojia, kisintaksia na hata kisemantiki. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya uthabiti wa kiisimujamii wa lugha iliyoasisiwa na Giles, Bourhis na Taylor (1977) na kuendelezwa na Landweer (2000) na nadharia ya uzalishaji kijamii ya Bourdieu (1977). Mawanda mawili yalihusishwa ambayo ni utafiti wa maktabani na wa nyanjani. Utafiti wa nyanjani ulifanyika katika makazi ya wanajamiilugha ya Kishona ili kupata data ya moja kwa moja iliyojibu swali la utafiti. Jumuiya ya utafiti ilikuwa kabila la Washona wanaoishi katika mitaa mitano ya kaunti ya Kiambu.Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kimaksudi na kwa njia elekezi. Mbinu zilizotumiwa katika ukusanyaji data ni pamoja na hojaji, mahojiano, uchunzaji, mijadala ya vikundi vidogovidogo na maswali mepesi yaliyoandaliwa kimbele. Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kwa kutumia mbinu changamano. Matokeo yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo, takwimu na asilimia huku yakiongozwa na nadharia mbili za utafiti. Kufuatia juhudi za UNESCO za kudumisha lugha asilia, utafiti huu ulikuwa wa manufaa kwa taifa la Kenya na mataifa mengine kwa kuwa uliongezea data muhimu katika kuhifadhi utamaduni wa Washona na mwelekeo wa udumishaji kwa lugha za kabila mbalimbali\",\"PeriodicalId\":504864,\"journal\":{\"name\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"volume\":\"15 2\",\"pages\":\"\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2024-01-22\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"FirstCategoryId\":\"1085\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1703\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1703","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
在基什纳语和斯瓦希里语之间,在基库尤语和基什纳语之间,存在着一个共同的问题,那就是基什纳语和斯瓦希里语之间的关系。绍纳语和瓦班图语在津巴布韦和肯尼亚的语言中都有很高的地位,在肯尼亚,绍纳语和瓦班图语在津巴布韦和肯尼亚的语言中都有很高的地位,在肯尼亚,绍纳语和瓦班图语在津巴布韦和肯尼亚的语言中都有很高的地位。在肯尼亚的基安布省,沃索纳在基诺族、基库尤族、基安巴族、吉塔鲁族和吉图赖族等族群中建立了友好关系。我们的工作就是要让人们了解自己的工作,让他们知道自己在做什么、怎么做、如何做。吉尔斯、布尔希斯和泰勒(1977 年)、兰德韦尔(2000 年)、布迪厄(1977 年)的研究成果。Mawanda mawili yalihusishwa ambayo ni utafiti wa maktabani na wa nyanjani.在 "基肖纳 "的 "狩猎 "中,"对自然资源的利用 "与 "对自然资源的利用 "是相辅相成的,而 "对自然资源的利用 "与 "对自然资源的利用 "是互为补充的。在基安布省,基什纳省的瓦索纳地区有大量的数据,这些数据都是基什纳省的数据,而在基安布省,这些数据都是基什纳省的数据。在基亚姆布,有许多数据,如数据、数据、数据、数据分析、数据挖掘、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析、数据分析等。Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kwa kutumia mbinu changamano.在 "悔过书"(maelezo)中,"悔过"(takwimu na asilimia huku yakiongozwa na nadharia mbili za utafiti)的意思是 "悔过"。在联合国教科文组织的支持下,肯尼亚将继续努力,为肯尼亚的教育事业做出贡献。
Athari za Mtagusano wa Lugha ya Kiswahili na Kikuyu kwa Lugha ya Kishona
Utafiti huu unalenga kuchunguza athari zinazotokana na mtagusano wa lugha ya Kiswahili na Kikuyu kwa lugha ya Kishona. Shona ni kabila mojawapo la Wabantu ambao asili yao ni nchini Zimbabwe na walifika nchini Kenya zaidi ya miaka sitini iliyopita kama wamishenari. Kufikia sasa, Washona wametagusana na jamiilugha mbalimbali nchini Kenya katika Kaunti ya Kiambu inayojulikana kwa wingilugha hasa kwenye mitaa ya Kinoo, Kikuyu, Kiambaa, Gitaru, na Githurai. Mtagusano wa lugha unapotokea, lugha husika huathirika kwa viwango mbalimbali kama vile kwenye fonetiki, kifonolojia, kimofolojia, kisintaksia na hata kisemantiki. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya uthabiti wa kiisimujamii wa lugha iliyoasisiwa na Giles, Bourhis na Taylor (1977) na kuendelezwa na Landweer (2000) na nadharia ya uzalishaji kijamii ya Bourdieu (1977). Mawanda mawili yalihusishwa ambayo ni utafiti wa maktabani na wa nyanjani. Utafiti wa nyanjani ulifanyika katika makazi ya wanajamiilugha ya Kishona ili kupata data ya moja kwa moja iliyojibu swali la utafiti. Jumuiya ya utafiti ilikuwa kabila la Washona wanaoishi katika mitaa mitano ya kaunti ya Kiambu.Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kimaksudi na kwa njia elekezi. Mbinu zilizotumiwa katika ukusanyaji data ni pamoja na hojaji, mahojiano, uchunzaji, mijadala ya vikundi vidogovidogo na maswali mepesi yaliyoandaliwa kimbele. Data iliyokusanywa ilichanganuliwa kwa kutumia mbinu changamano. Matokeo yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo, takwimu na asilimia huku yakiongozwa na nadharia mbili za utafiti. Kufuatia juhudi za UNESCO za kudumisha lugha asilia, utafiti huu ulikuwa wa manufaa kwa taifa la Kenya na mataifa mengine kwa kuwa uliongezea data muhimu katika kuhifadhi utamaduni wa Washona na mwelekeo wa udumishaji kwa lugha za kabila mbalimbali