Dhima za Umatinishaji-upya1 katika Fasihi:Uchunguzi Kifani wa Nyimbo za Muziki wa Dansi na Ngano

Kioo cha Lugha Pub Date : 2023-03-24 DOI:10.4314/kcl.v20i2.4
A. Mnenuka
{"title":"Dhima za Umatinishaji-upya1 katika Fasihi:Uchunguzi Kifani wa Nyimbo za Muziki wa Dansi na Ngano","authors":"A. Mnenuka","doi":"10.4314/kcl.v20i2.4","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Kila jamii ina utamaduni ambao hurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Njia mojawapo ya urithishaji wa utamaduni katika jamii inayobadilika ni umatinishaji-upya wa matini. Huu ni mchakato wa kuichopoa matini kutoka katika muktadha wake asilia na kuichopeka katika muktadha mpya. Nchini Tanzania, kumekuwa na utaratibu huu pia ambapo hotuba mbalimbali za Mwalimu Julius K. Nyerere hurushwa na kituo cha TBC Taifa kila siku katika kipindi kijulikanacho kama 'Wosia wa Baba‘. Halikadhalika, nyimbo mbalimbali zilizopigwa miaka iliyopita huendelea kupigwa ili kurithisha tunu mbalimbali kwa kizazi cha sasa. Makala hii inajadili hotuba ya Mwalimu Nyerere iliyohusisha utambaji wa ngano. Ngano hii inahusu wanaume waliogeuka kuwa mawe baada ya kutetereka kimsimamo. Hotuba hii ilienea na kusambazwa mwanzoni mwa mwaka 2016 wakati Rais John P. Magufuli wa Tanzania alipokuwa akifichua uozo serikalini muda mfupi baada ya kuapishwa. Sambamba na hotuba hiyo, wimbo wa ―Wahujumu na Walanguzi‖ ulioimbwa na bendi ya Asilia Jazz ulisambaa katika mitandaopepe ya kijamii. Katika makala hii, inaelezwa kuwa kusambaa kwa kipande hicho cha hotuba na wimbo huu, mahususi katika kipindi tajwa, ni sehemu ya umatinishaji-upya wa matini wenye lengo la kuibua kumbukumbu na kuwatia moyo viongozi katika vita dhidi ya ufisadi na kuleta matumaini mapya ya kutetea wanyonge.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"285 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-24","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Dhima za Umatinishaji-upya1 katika Fasihi: Uchunguzi Kifani wa Nyimbo za Muziki wa Dansi na Ngano\",\"authors\":\"A. Mnenuka\",\"doi\":\"10.4314/kcl.v20i2.4\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Kila jamii ina utamaduni ambao hurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Njia mojawapo ya urithishaji wa utamaduni katika jamii inayobadilika ni umatinishaji-upya wa matini. Huu ni mchakato wa kuichopoa matini kutoka katika muktadha wake asilia na kuichopeka katika muktadha mpya. Nchini Tanzania, kumekuwa na utaratibu huu pia ambapo hotuba mbalimbali za Mwalimu Julius K. Nyerere hurushwa na kituo cha TBC Taifa kila siku katika kipindi kijulikanacho kama 'Wosia wa Baba‘. Halikadhalika, nyimbo mbalimbali zilizopigwa miaka iliyopita huendelea kupigwa ili kurithisha tunu mbalimbali kwa kizazi cha sasa. Makala hii inajadili hotuba ya Mwalimu Nyerere iliyohusisha utambaji wa ngano. Ngano hii inahusu wanaume waliogeuka kuwa mawe baada ya kutetereka kimsimamo. Hotuba hii ilienea na kusambazwa mwanzoni mwa mwaka 2016 wakati Rais John P. Magufuli wa Tanzania alipokuwa akifichua uozo serikalini muda mfupi baada ya kuapishwa. Sambamba na hotuba hiyo, wimbo wa ―Wahujumu na Walanguzi‖ ulioimbwa na bendi ya Asilia Jazz ulisambaa katika mitandaopepe ya kijamii. Katika makala hii, inaelezwa kuwa kusambaa kwa kipande hicho cha hotuba na wimbo huu, mahususi katika kipindi tajwa, ni sehemu ya umatinishaji-upya wa matini wenye lengo la kuibua kumbukumbu na kuwatia moyo viongozi katika vita dhidi ya ufisadi na kuleta matumaini mapya ya kutetea wanyonge.\",\"PeriodicalId\":208716,\"journal\":{\"name\":\"Kioo cha Lugha\",\"volume\":\"285 1\",\"pages\":\"0\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2023-03-24\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"Kioo cha Lugha\",\"FirstCategoryId\":\"1085\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i2.4\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Kioo cha Lugha","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i2.4","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

摘要

我们的目标是,在我们的工作中,让我们的生活更美好。我们的目标是,在我们的工作中,为我们的社区提供更多的服务。在坦桑尼亚,有很多人都在为自己的未来而努力。在坦桑尼亚,朱利叶斯-尼雷尔(Mwalimu Julius K. Nyerere)先生的 "Wosia wa Baba"("Wosia wa Baba")是一个非常好的例子。我们的目标是,在我们的工作中,让更多的人了解我们,让更多的人了解我们,让更多的人了解我们。Makala hii inajadili hotuba ya Mwalimu Nyerere iliyohusisha utambaji wa ngano.2016年,坦桑尼亚总统约翰-马古富力(Rais John P. Magufuli wa Tanzania)将在坦桑尼亚举行的 "2016年坦桑尼亚发展论坛 "上发表讲话。在坦桑尼亚,"Wahujumu na Walanguzi "计划与 "Asilia Jazz "爵士乐队合作,将在坦桑尼亚开展活动。在此背景下,"WaWahujum na Walanguzi"("WaWahujum na Walanguzi")与 "Asilia Jazz"("Asilia Jazz")一起,成为 "爵士乐"("Asilia Jazz")的新成员、我们的目标是,在我们的国家,在我们的民族,在我们的人民,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
Dhima za Umatinishaji-upya1 katika Fasihi: Uchunguzi Kifani wa Nyimbo za Muziki wa Dansi na Ngano
Kila jamii ina utamaduni ambao hurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine. Njia mojawapo ya urithishaji wa utamaduni katika jamii inayobadilika ni umatinishaji-upya wa matini. Huu ni mchakato wa kuichopoa matini kutoka katika muktadha wake asilia na kuichopeka katika muktadha mpya. Nchini Tanzania, kumekuwa na utaratibu huu pia ambapo hotuba mbalimbali za Mwalimu Julius K. Nyerere hurushwa na kituo cha TBC Taifa kila siku katika kipindi kijulikanacho kama 'Wosia wa Baba‘. Halikadhalika, nyimbo mbalimbali zilizopigwa miaka iliyopita huendelea kupigwa ili kurithisha tunu mbalimbali kwa kizazi cha sasa. Makala hii inajadili hotuba ya Mwalimu Nyerere iliyohusisha utambaji wa ngano. Ngano hii inahusu wanaume waliogeuka kuwa mawe baada ya kutetereka kimsimamo. Hotuba hii ilienea na kusambazwa mwanzoni mwa mwaka 2016 wakati Rais John P. Magufuli wa Tanzania alipokuwa akifichua uozo serikalini muda mfupi baada ya kuapishwa. Sambamba na hotuba hiyo, wimbo wa ―Wahujumu na Walanguzi‖ ulioimbwa na bendi ya Asilia Jazz ulisambaa katika mitandaopepe ya kijamii. Katika makala hii, inaelezwa kuwa kusambaa kwa kipande hicho cha hotuba na wimbo huu, mahususi katika kipindi tajwa, ni sehemu ya umatinishaji-upya wa matini wenye lengo la kuibua kumbukumbu na kuwatia moyo viongozi katika vita dhidi ya ufisadi na kuleta matumaini mapya ya kutetea wanyonge.
求助全文
通过发布文献求助,成功后即可免费获取论文全文。 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信