{"title":"Nafasi ya Muktadha katika Utendaji wa Mivigha ya Olubeko Miongoni mwa Abanyala wa Kakamega, Kenya","authors":"Benard Waswa, Furaha Chai, A. Buliba","doi":"10.37284/jammk.5.2.898","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Mivigha mara nyingi huangaziwa kwa mtazamo wa kidini au swala la imani. Mtazamo huu umejengwa kwa imani kwamba binadamu hutamani bila kifani kuhusiana na wahenga wake, Mungu wake, na mwishowe nguvu zaidi zilizoko juu yake. Matambiko katika jamii ya Kiafrika ni mengi. Kuna matambiko ya kuzaliwa, matambiko ya kupeana majina, matambiko ya tohara, matambiko ya harusi, matambiko ya kifo, matambiko ya kidini, na matambiko ya kisiasa miongoni mwa mengine katika jamii pana za Kiafrika. Olubeko ni tambiko la kifo linalofanyika siku tatu baada ya mazishi ya mwanamume mwenye umri au mwenye hadhi ya kutambuliwa miongoni mwa Abanyala wa Kakamega. Mivigha hii huhusisha utendaji mbalimbali. Mojawapo ya utendaji unaohusishwa katika tambiko hili ni nyimbo. Kazi hii inapambanua nafasi ya muktadha katika uteuzi na uwasilishaji wa nyimbo husika kwa kuzingatia miktadha mahususi ya utendaji wa mivigha ya Olubeko miongoni mwa Abanyala wa Kakamega. Nadharia ya utendaji ndio kurunzi ya kazi hii. Nadharia hii inasisitiza kuwa kupitia utendaji, ujumbe huwafikia watu wengi. Matokeo yanaonyesha kuwa kuna miktadha tano mahususi katika mivigha ya Olubeko: omusee (baraza), khusirindwa (kaburi), olukendo (safari) na hango (nyumbani). Kutokana na miktadha hii fanani aliweza kuteua na kuwasilisha nyimbo faafu za kila hatua ya mivigha hii. Muktadha ndio uliongoza fanani katika uteuzi wa wimbo husika","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"109 4","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-10-21","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.2.898","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
我的孩子,我的母亲,我的母亲,我的母亲,我的母亲,我的母亲......"。我们的目标是,在未来的日子里,让我们的生活更加美好,让我们的孩子更加聪明,让我们的社会更加和谐。在卡夫里卡,没有什么比 "唤醒 "更重要的了。基亚弗里亚没有 "库扎利瓦"(kuzaliwa),没有 "库佩阿纳"(kupeana majina),没有 "托哈拉"(tohara),没有 "穆斯蒂"(musti),没有 "基弗"(kifo),没有 "基迪尼"(kidini),也没有 "米翁尼"(miongoni mwa mengine)。在卡卡梅加,没有 "基弗"(kifo),也没有 "基蒂尼"(kidini),更没有 "阿巴尼亚拉"(Abanyala wa Kakamega)的 "阿巴尼亚拉"(miongoni mwa mengine)。 Mivigha hii huhusisha utendaji mbalimbali.我们的目标是,让我们的员工在他们的工作岗位上尽职尽责。毫无疑问,你们需要对自己的生活方式做出自己的决定。你的生活方式需要你自己来决定。在你的生活中,你需要对自己的行为负责。在奥卢贝科,我们还可以看到各种不同的 "马库锡":omusee(巴拉扎)、khusirindwa(卡布里)、olukendo(野生动物园)和hango(尼姆巴尼)。我相信你们都知道这一点,但我不确定你们是否知道。Muktadha ndio uliongoza fanani katika uteuzi wa wimbo husika
Nafasi ya Muktadha katika Utendaji wa Mivigha ya Olubeko Miongoni mwa Abanyala wa Kakamega, Kenya
Mivigha mara nyingi huangaziwa kwa mtazamo wa kidini au swala la imani. Mtazamo huu umejengwa kwa imani kwamba binadamu hutamani bila kifani kuhusiana na wahenga wake, Mungu wake, na mwishowe nguvu zaidi zilizoko juu yake. Matambiko katika jamii ya Kiafrika ni mengi. Kuna matambiko ya kuzaliwa, matambiko ya kupeana majina, matambiko ya tohara, matambiko ya harusi, matambiko ya kifo, matambiko ya kidini, na matambiko ya kisiasa miongoni mwa mengine katika jamii pana za Kiafrika. Olubeko ni tambiko la kifo linalofanyika siku tatu baada ya mazishi ya mwanamume mwenye umri au mwenye hadhi ya kutambuliwa miongoni mwa Abanyala wa Kakamega. Mivigha hii huhusisha utendaji mbalimbali. Mojawapo ya utendaji unaohusishwa katika tambiko hili ni nyimbo. Kazi hii inapambanua nafasi ya muktadha katika uteuzi na uwasilishaji wa nyimbo husika kwa kuzingatia miktadha mahususi ya utendaji wa mivigha ya Olubeko miongoni mwa Abanyala wa Kakamega. Nadharia ya utendaji ndio kurunzi ya kazi hii. Nadharia hii inasisitiza kuwa kupitia utendaji, ujumbe huwafikia watu wengi. Matokeo yanaonyesha kuwa kuna miktadha tano mahususi katika mivigha ya Olubeko: omusee (baraza), khusirindwa (kaburi), olukendo (safari) na hango (nyumbani). Kutokana na miktadha hii fanani aliweza kuteua na kuwasilisha nyimbo faafu za kila hatua ya mivigha hii. Muktadha ndio uliongoza fanani katika uteuzi wa wimbo husika