{"title":"Mabadiliko Ya Hadithi Fupi Teule Za Kiswahili : Mkabala Wa Usasaleo","authors":"Paul I. Mwiti Bundi, O. Ntiba, Allan Mugambi","doi":"10.37284/jammk.5.2.882","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inachunguza mabadiliko katika hadithi fupi kwa mkabala wa usasaleo. Inaangazia athari za usasaleo katika hadithi fupi za kimapokeo. Kwa kuwa athari ya kiusasaleo inaendelea kujitokeza katika hadithi fupi za kisasa kila kukicha, kulikuwepo na haja ya kutafiti juu ya mabadiliko haya. Katika makala hii mtafiti alichunguza vile baadhi ya hadithi zilivyoegemea uhalisia na umapokeo na jinsi waandishi wengine walivyotumia majaribio ya kimuundo, kimtindo na kimaudhui kuandika hadithi fupi za kisasa. Mtafiti alikusanya data katika diwani tatu za hadithi fupi za: Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine, Mizungu ya Manabii na Hadithi Nyingine na Homa ya Nyumbani na Hadithi Nyingine. Data iliteuliwa, kupangwa na kujadiliwa kulingana na maswali na madhumuni ya utafiti. Makala hii iliongozwa na nadharia ya umuundoleo iliyoasisiwa na Jacques Derrida na Michel Foucalt mwaka wa 1960. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa: Kubainisha mabadiliko ya kimuundo ya kiusasaleo katika hadithi fupi teule za Kiswahili, kudhihirisha mabadiliko ya kimtindo yaliyosababishwa na usasaleo katika hadithi fupi teule za Kiswahili na kufafanua mabadiliko ya kimaudhui yaliyotokana na usasaleo katika hadithi fupi teule za Kiswahili. Katika hadithi sita teule zenye mbinu za kiusasaleo waandishi walitumia mabadiliko majaribio na upya katika muundo mtindo na maudhui. Sampuli maksudi ilitumika kuteua hadithi zilizofaa utafiti huu. Madhumuni na maswali ya utafiti yalitumika kuteua kupanga na kueleza data. Matokeo ya utafiti yalitolewa kimaelezo katika sura ya nne, tano na sita na hitimisha kutolewa katika sura ya saba. Matokeo ya utafiti yanatarajiwa kufaa wanafunzi wa fasihi wa shule za upili,watafiti wa baadaye, wahakiki na wasomi wa fasihi kwa kuwapa uelewa mpana wa mabadiliko yanayotokea katika uandikaji wa hadithi fupi za Kisasa. Zaidi ya haya, utafiti huu ulichangia kuziba pengo lililopo katika utafiti juu ya mabadiliko katika hadithi fupi mkabala wa usasaleo. Maarifa yanayotokana na utafiti huu ni mchango muhimu katika fasihi andishi hasa hadithi fupi za Kiswahili.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"92 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-10-12","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.2.882","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
我们的目标是,在我们的国家,在我们的社区,在我们的社会,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中。如果您是 "hadithi fupi "的粉丝,请点击 "阅读原文"。如果您是 "hadithi fupi za kisasa kila kukicha "的粉丝,请点击 "kulikuwepo na haja ya kutafiti juu ya mabadiliko haya"。在这种情况下,对数据进行分析就显得尤为重要。Mtafiti alikusanya data when diwani tatu za hadithi fupi za:Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine, Mizungu ya Manabii na Hadithi Nyingine na Homa ya Nyumbani na Hadithi Nyingine。数据、数据、数据、数据、数据、数据、数据、数据、数据、数据、数据、数据、数据、数据、数据、数据、数据雅克-德里达(Jacques Derrida)和米歇尔-福柯特(Michel Foucalt)在 1960 年的著作中都提到了这一点。Madhumuni是重点:库巴伊尼沙(Kubainisha)的 "斯瓦希里语"(Kiswahili)和 "金廷多语"(Kimtindo)的 "语言"(Yaliyosabishwa),以及 "斯瓦希里语"(Kiswahili)和 "斯瓦希里语"(Kimaudhui)的 "语言"(Yaliyotokana),都是 "斯瓦希里语"(Kiswahili)和 "斯瓦希里语"(Kiswahili)的 "语言"(Kufafanua)。如果您是斯瓦希里语使用者,您可以使用斯瓦希里语版本的斯瓦希里语。如果您是一名 hadithi zilizofaa utafiti huu,情况更是如此。马杜姆尼和他的团队一直在共同努力创建一个数据库。他的团队一直在努力创建一个数据库,其中包括:"我们的语言"(Matokeo ya utafiti yalitolewa kimaelezo katika sura ya nne)、"我们的语言"(tano na sita na hitimisha kutolewa katika sura ya saba)。在这里,我们要提醒大家的是,在我们的工作中,我们的工作是非常重要的。斯瓦希里语中没有 mchango muhimu。
Mabadiliko Ya Hadithi Fupi Teule Za Kiswahili : Mkabala Wa Usasaleo
Makala hii inachunguza mabadiliko katika hadithi fupi kwa mkabala wa usasaleo. Inaangazia athari za usasaleo katika hadithi fupi za kimapokeo. Kwa kuwa athari ya kiusasaleo inaendelea kujitokeza katika hadithi fupi za kisasa kila kukicha, kulikuwepo na haja ya kutafiti juu ya mabadiliko haya. Katika makala hii mtafiti alichunguza vile baadhi ya hadithi zilivyoegemea uhalisia na umapokeo na jinsi waandishi wengine walivyotumia majaribio ya kimuundo, kimtindo na kimaudhui kuandika hadithi fupi za kisasa. Mtafiti alikusanya data katika diwani tatu za hadithi fupi za: Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine, Mizungu ya Manabii na Hadithi Nyingine na Homa ya Nyumbani na Hadithi Nyingine. Data iliteuliwa, kupangwa na kujadiliwa kulingana na maswali na madhumuni ya utafiti. Makala hii iliongozwa na nadharia ya umuundoleo iliyoasisiwa na Jacques Derrida na Michel Foucalt mwaka wa 1960. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa: Kubainisha mabadiliko ya kimuundo ya kiusasaleo katika hadithi fupi teule za Kiswahili, kudhihirisha mabadiliko ya kimtindo yaliyosababishwa na usasaleo katika hadithi fupi teule za Kiswahili na kufafanua mabadiliko ya kimaudhui yaliyotokana na usasaleo katika hadithi fupi teule za Kiswahili. Katika hadithi sita teule zenye mbinu za kiusasaleo waandishi walitumia mabadiliko majaribio na upya katika muundo mtindo na maudhui. Sampuli maksudi ilitumika kuteua hadithi zilizofaa utafiti huu. Madhumuni na maswali ya utafiti yalitumika kuteua kupanga na kueleza data. Matokeo ya utafiti yalitolewa kimaelezo katika sura ya nne, tano na sita na hitimisha kutolewa katika sura ya saba. Matokeo ya utafiti yanatarajiwa kufaa wanafunzi wa fasihi wa shule za upili,watafiti wa baadaye, wahakiki na wasomi wa fasihi kwa kuwapa uelewa mpana wa mabadiliko yanayotokea katika uandikaji wa hadithi fupi za Kisasa. Zaidi ya haya, utafiti huu ulichangia kuziba pengo lililopo katika utafiti juu ya mabadiliko katika hadithi fupi mkabala wa usasaleo. Maarifa yanayotokana na utafiti huu ni mchango muhimu katika fasihi andishi hasa hadithi fupi za Kiswahili.