{"title":"Uchanganuzi wa Sitiari Muono katika Mashairi Ruwaza ya Kiswahili","authors":"Nabeta K. N. Sangili","doi":"10.37284/jammk.5.1.861","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Mashairi ruwaza ni dhana tunayotumia kurejela mashairi ya ‘kimaajabu’ katika taaluma ya ushairi wa Kiswahili. Mashairi haya yamekuwepo tangu miaka ya elfu mbili, hasa katika diwani za Kithaka wa Mberia. Yakilinganishwa na mashairi ya kawaida, mashairi ruwaza yanadhihirisha uchangamano mkubwa katika uwasilishaji maudhui na ufumbuaji wa maana. Hii ni kwa sababu yanatumia vipengele kama vile picha zinazoruwazwa kwa upekee wa maneno, taipografia na sitiari muono kinyume na mashairi ya kawaida yanayotumia maneno pekee na sitiari za kiisimu. Vipengele hivi vinatatiza ufasiri na welewa wa maana ya shairi ruwaza. Hivyo, kazi hii inanuia kuyajadili kwa undani huku tukichanganua mashairi teule ambayo yanapatikana katika diwani za kimapinduzi. Lengo la uchanganuzi huu ni kutajirisha stadi za usomaji na ufasiri wa mashairi ruwaza miongoni mwa wanafunzi na walimu wa ushairi wa Kiswahili. Kazi hii inalenga kujadili namna au mbinu za kufasiri sitiari muono katika mashairi haya","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"59 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-09-26","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.861","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
Mashairi ruwaza ni dhana tunayotumia kurejela mashairi ya 'kimaajabu' katika taaluma ya ushairi wa Kiswahili。在基萨卡和姆贝利亚,马沙伊里是唯一一个具有强烈幽默感的人。在 mashairi ya kawaida,mashairi ruwaza yanadhihirisha uchangamano mkubwa katika uwasilishaji maudhui na ufumbuaji wa maana。Vipengele hivi vinatatiza ufasiri na welewa wa maana ya shairi ruwaza.在未来,我们还将继续努力,让我们的生活更加美好。在斯瓦希里语中,这是我第一次听说斯瓦希里语。这是我第一次听说斯瓦希里语。
Uchanganuzi wa Sitiari Muono katika Mashairi Ruwaza ya Kiswahili
Mashairi ruwaza ni dhana tunayotumia kurejela mashairi ya ‘kimaajabu’ katika taaluma ya ushairi wa Kiswahili. Mashairi haya yamekuwepo tangu miaka ya elfu mbili, hasa katika diwani za Kithaka wa Mberia. Yakilinganishwa na mashairi ya kawaida, mashairi ruwaza yanadhihirisha uchangamano mkubwa katika uwasilishaji maudhui na ufumbuaji wa maana. Hii ni kwa sababu yanatumia vipengele kama vile picha zinazoruwazwa kwa upekee wa maneno, taipografia na sitiari muono kinyume na mashairi ya kawaida yanayotumia maneno pekee na sitiari za kiisimu. Vipengele hivi vinatatiza ufasiri na welewa wa maana ya shairi ruwaza. Hivyo, kazi hii inanuia kuyajadili kwa undani huku tukichanganua mashairi teule ambayo yanapatikana katika diwani za kimapinduzi. Lengo la uchanganuzi huu ni kutajirisha stadi za usomaji na ufasiri wa mashairi ruwaza miongoni mwa wanafunzi na walimu wa ushairi wa Kiswahili. Kazi hii inalenga kujadili namna au mbinu za kufasiri sitiari muono katika mashairi haya