{"title":"Kuchambua Mbinu za Kiaristotle na Zisizo za Kiaristotle katika Tamthiliya ya Sadaka ya John Okello","authors":"Emmanuel Oscar Msangi","doi":"10.37284/jammk.6.1.1371","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Uandishi wa tamthiliya kwa mwega wa Kiaristotle umekuwa na athari kubwa sana kwa waandishi wa Kiafrika. Katika fasihi ya Kiswahili, baadhi ya waandishi wa mwanzo walioathiriwa na mkabala huo ni Ebrahim Hussein na Penina Mlama (Wafula na wenzake, 2020). Makala haya yanachambua mbinu za Kiaristotle na zisizo za Kiaristotle katika tamthiliya ya Sadaka ya John Okello (Mbogo, 2015). Mbinu ya usomaji makini ndiyo imetumiwa kukusanya data. Data zimewasilishwa kwa Mkabala wa Kimaelezo. Ukusanyaji, uchambuzi na mjadala katika makala haya umeongozwa na Nadharia ya Kiaristotle. Kimsingi, Emmanuel Mbogo, mtunzi teule ametumia mbinu za Kiaristotle na zisizo za Kiaristotle katika tamthiliya ya Sadaka ya John Okello (2015). Mbinu za Kiaristotle zimejidhihirisha kupitia vipengele vya msuko, wahusika, lugha za kishairi, uteuzi wa misamiati, na dhamira. Mbinu zisizo za Kiaristotle zimejidhihirisha kupitia mbinu za monolojia, kuchanganya nathari na ushairi, pamoja na dayalojia. Makala haya yanaeleza kuwa tamthiliya ya Sadaka ya John Okello ni drama tanzia. Drama hii imebeba sifa nyingi za Kiaristotle na sifa chache zisizo za Kiaristotle. Mhusika mkuu John Okello amepitia mambo mazito na magumu ambayo mtu yeyote akikutana na kazi hii lazima ahisi huzuni moyoni mwake na amwonee mhusika huyu huruma kwa mateso na malipo mabaya aliyoyapata. Kutokana na mikondo mbalimbali ambayo drama tanzia inapitia si lazima tena shujaa au mhusika mkuu atoke familia ya tabaka la juu au tabaka tawala. Mhusika mkuu sasa anaweza kutoka tabaka lolote katika jamii yoyote.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"279 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-08-13","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1371","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
在基亚里斯多德(Kiaristotle)的 "塔姆提里亚"(Uandishi wa tamthiliya)一词中,有一个词叫 "基亚弗里亚"(Kiafrika)。在斯瓦希里语中,"芒佐 "一词的含义是 "易卜拉欣-侯赛因(Ebrahim Hussein)和佩尼娜-姆拉玛(Penina Mlama)的名字"(Wafula na wenzake,2020 年)。Makala haya yanachambua mbinu za Kiaristotle na zisizo za Kiaristotle katika tamthiliya ya Sadaka ya John Okello(Mbogo,2015 年)。基拉利士多德的数据是由我们的研究人员提供的。Data zimewasilishwa kwa Mkabala wa Kimaelezo.在基亚里士多德的《国家发展报告》中,我们可以看到大量的数据。Kimsingi, Emmanuel Mbogo, mtunzi teule ametumia mbinu za Kiaristotle na zisizo za Kiaristotle katika tamthiliya ya Sadaka ya John Okello (2015)。基亚里斯多德的著作中包含了对 "谬误"、"谬误"、"错误 "和 "错误 "的解释。在基亚里斯多德的《基米吉多希里沙》中,"我 "是指 "我","我 "是指 "我","我 "是指 "我","我 "是指 "我","我 "是指 "我"。约翰-奥凯洛(John Okello)的《萨达卡》(Sadaka ya John Okello)是一部戏剧。剧中的约翰-奥凯洛是基亚里士多德的妻子,也是基亚里士多德的儿子。约翰-奥凯洛的 "mepitia mambo mazito na magumu ambayo mtu yeyote akikutana na kazi hii lazima ahisi huzuni moyoni mwake na amwonee mhusika huyu huruma kwa mateso na malipo mabaya aliyoyapata"。在 "我的家庭 "和 "我的孩子 "这两部剧中,我们可以看到许多不同的角色,比如 "我的孩子"、"我的孩子"、"我的孩子"、"我的孩子"、"我的孩子"、"我的孩子"、"我的孩子 "等等。他们的家庭也被称为 "小家庭"。
Kuchambua Mbinu za Kiaristotle na Zisizo za Kiaristotle katika Tamthiliya ya Sadaka ya John Okello
Uandishi wa tamthiliya kwa mwega wa Kiaristotle umekuwa na athari kubwa sana kwa waandishi wa Kiafrika. Katika fasihi ya Kiswahili, baadhi ya waandishi wa mwanzo walioathiriwa na mkabala huo ni Ebrahim Hussein na Penina Mlama (Wafula na wenzake, 2020). Makala haya yanachambua mbinu za Kiaristotle na zisizo za Kiaristotle katika tamthiliya ya Sadaka ya John Okello (Mbogo, 2015). Mbinu ya usomaji makini ndiyo imetumiwa kukusanya data. Data zimewasilishwa kwa Mkabala wa Kimaelezo. Ukusanyaji, uchambuzi na mjadala katika makala haya umeongozwa na Nadharia ya Kiaristotle. Kimsingi, Emmanuel Mbogo, mtunzi teule ametumia mbinu za Kiaristotle na zisizo za Kiaristotle katika tamthiliya ya Sadaka ya John Okello (2015). Mbinu za Kiaristotle zimejidhihirisha kupitia vipengele vya msuko, wahusika, lugha za kishairi, uteuzi wa misamiati, na dhamira. Mbinu zisizo za Kiaristotle zimejidhihirisha kupitia mbinu za monolojia, kuchanganya nathari na ushairi, pamoja na dayalojia. Makala haya yanaeleza kuwa tamthiliya ya Sadaka ya John Okello ni drama tanzia. Drama hii imebeba sifa nyingi za Kiaristotle na sifa chache zisizo za Kiaristotle. Mhusika mkuu John Okello amepitia mambo mazito na magumu ambayo mtu yeyote akikutana na kazi hii lazima ahisi huzuni moyoni mwake na amwonee mhusika huyu huruma kwa mateso na malipo mabaya aliyoyapata. Kutokana na mikondo mbalimbali ambayo drama tanzia inapitia si lazima tena shujaa au mhusika mkuu atoke familia ya tabaka la juu au tabaka tawala. Mhusika mkuu sasa anaweza kutoka tabaka lolote katika jamii yoyote.