Raphael Mwaura Gacheiya, Jonathan Furaha Chai, C. Kitetu
{"title":"“Gari ni Testing”: Uhalalishaji wa Mahusiano ya Kingono Miongoni mwa Wazulufu Nchini Kenya","authors":"Raphael Mwaura Gacheiya, Jonathan Furaha Chai, C. Kitetu","doi":"10.37284/jammk.5.1.878","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"“My friend always tells me of how good it is... how sweet it is... when will I know these things?” \nUlimwenguni, tafiti kuhusu tabia za wazulufu zimebainisha kuwa wazulufu hushiriki ngono za mapema licha ya ujamianaji kabla ya ndoa kukashifiwa. Imegunduliwa kuwa utamaduni, matumizi ya lugha na miktadha ya kijamii huwa na nafasi muhimu katika kuelewa na kuthibiti mahusiano na ushiriki wa ngono. Hata hivyo, ni kweli kuwa kutokana na mabadiliko ya jamii kiuchumi, kisiasa na kijamii, tamaduni hizi zimeasiwa na kupelekea itikadi ya kujihini na ubikira kutozingatiwa na wazulufu. Makala haya yanalenga kuangazia jinsi wazulufu kwa kuegemea peo za kimazungumzo wanavyohalalisha ngono za mapema miongoni mwao. Hili litaafikiwa kupitia Nadharia ya Uchanganuzi wa Peo kama ilivyoasisiwa na E. Goffman mwaka wa 1974. Data inatokana na mazungumzo katika vikundi kiini miongoni mwa wazulufu katika shule za upili nchini Kenya. Kwa kutumia nadharia ya uchanganuzi peo, inabainika kuwa wazulufu huhalalisha tabia za kujamiana na ngono za kabla ya ndoa kupitia  peo nne za mazungumzo: upeo wa udharura, upeo wa kujihini, upeo wa mamlaka na upeo wa uanishi na utambulisho. Peo hizi za mazungumzo zaweza kuwa kiingilio muhimu cha kuwaelewa wazulufu na kuunda mbinu na sera mwafaka za kukabiliana na changamoto zinazowakumba","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"6 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-10-07","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.878","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

摘要

"我的朋友总是告诉我,它有多好......它有多甜......我什么时候才能知道这些事情?在这种情况下,我们所谈论的是 "我们 "与 "我们 "之间的关系。在这种情况下,我们就有能力创造一个没有其他人的世界,我们就有能力创造一个没有其他人的世界,我们就有能力创造一个没有其他人的世界,我们就有能力创造一个没有其他人的世界,我们就有能力创造一个没有其他人的世界。本研究由 Nadharia Uchanganuzi wa Peo kama ilivyoasisiwa na E. Goffman wa 1974 进行。数据基于在肯尼亚进行的一项研究的结果。在 wazulufu huhalalisha tabia za kujamiana na ngono za kabla ya ndoa kupitia peo nne za mazungumzo 的案例中:upeo wa udharura、upeo wa kujihini、upeo wa mamlaka na upeo wa uanishi na utambulisho。我们的目标是:在我们的国家里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,让我们的社区成为一个有活力的社区。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
“Gari ni Testing”: Uhalalishaji wa Mahusiano ya Kingono Miongoni mwa Wazulufu Nchini Kenya
“My friend always tells me of how good it is... how sweet it is... when will I know these things?” Ulimwenguni, tafiti kuhusu tabia za wazulufu zimebainisha kuwa wazulufu hushiriki ngono za mapema licha ya ujamianaji kabla ya ndoa kukashifiwa. Imegunduliwa kuwa utamaduni, matumizi ya lugha na miktadha ya kijamii huwa na nafasi muhimu katika kuelewa na kuthibiti mahusiano na ushiriki wa ngono. Hata hivyo, ni kweli kuwa kutokana na mabadiliko ya jamii kiuchumi, kisiasa na kijamii, tamaduni hizi zimeasiwa na kupelekea itikadi ya kujihini na ubikira kutozingatiwa na wazulufu. Makala haya yanalenga kuangazia jinsi wazulufu kwa kuegemea peo za kimazungumzo wanavyohalalisha ngono za mapema miongoni mwao. Hili litaafikiwa kupitia Nadharia ya Uchanganuzi wa Peo kama ilivyoasisiwa na E. Goffman mwaka wa 1974. Data inatokana na mazungumzo katika vikundi kiini miongoni mwa wazulufu katika shule za upili nchini Kenya. Kwa kutumia nadharia ya uchanganuzi peo, inabainika kuwa wazulufu huhalalisha tabia za kujamiana na ngono za kabla ya ndoa kupitia  peo nne za mazungumzo: upeo wa udharura, upeo wa kujihini, upeo wa mamlaka na upeo wa uanishi na utambulisho. Peo hizi za mazungumzo zaweza kuwa kiingilio muhimu cha kuwaelewa wazulufu na kuunda mbinu na sera mwafaka za kukabiliana na changamoto zinazowakumba
求助全文
通过发布文献求助,成功后即可免费获取论文全文。 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信