Janet Jepkurui Kibet, Rebecca Wanjiru Omollo, Rose Mavisi
{"title":"Taswira ya Mwanamke katika Kipindi cha Bi. Msafwari Runinga ya Citizen Nchini Kenya.","authors":"Janet Jepkurui Kibet, Rebecca Wanjiru Omollo, Rose Mavisi","doi":"10.37284/jammk.3.1.430","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Utafiti huu unalenga kuchunguza na kutathmini taswira ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen nchini Kenya kwa mtazamo wa kifasihi. Utafiti huu uliongozwa na lengo lifuatalo: Kueleza nafasi ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen nchini Kenya. Nadharia iliyotumika katika utafiti huu ni nadharia ya Ufeministi mathalani Ufeministi wa Kiafrika na nadharia ya mtindo. Nadharia ya Ufeministi ilifaa utafiti huu kwa kuwa inashughulika na masuala ya kijinsia hasa jinsia ya kike. Muundo wa kimfano ulitumika katika uchanganuzi wa utafiti huu. Utafiti huu ulijikita katika maktabani ili kupata maandishi yanayohusiana na mada iliyoshughulikiwa. Kutokana na maelezo haya, kundi lengwa la utafiti ni kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen. Sampuli iliyotumika ni sampuli ya kimaksudi ambayo kipindi cha Bi. Msafwari kiliteuliwa.  Utafiti huu ulitumia mbinu ya kutazama, kusikiliza na kurekodi vipindi katika kukusanya data yake. Matokeo ya utafiti yalijitokeza wazi kuwa, nafasi ya mwanamke ni: kumfurahisha mume wake, kumsaidia mume wake, kutii, kumheshimu na kunyenyekea mbele ya mume. Pia ana nafasi ya kudumisha amani katika ndoa. Ukusanyaji na uchanganuzi wa data, uwasilishaji wa matokeo ulifanywa kwa njia ya maelezo. Utafiti uliofanywa utawafaa watafiti wengine watakaojishughulisha na mada inayohusu mwanamke kwani wataweza kurejelea kazi hii ili kupata habari kuhusu nafasi ya mwanamke. Kwa ujumla, utafiti uliyofanywa ulichunguza taswira ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2021-10-05","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.3.1.430","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

摘要

在肯尼亚,"公民 "一词的含义是 "公民"。肯尼亚公民在肯尼亚的生活方式。Utafiti huu uliongozwa na lengo lifuatalo: Kueleza nafasi ya mwanamke katika kipindi cha Bi.Msafwari Katika runinga ya Citizen nchini Kenya.肯尼亚女权运动的发展与肯尼亚女权运动的关系,以及肯尼亚女权运动的发展与肯尼亚女权运动的关系。女权运动者的工作方式与女权主义者的工作方式是一致的。我们的目标是,在我们的工作中,让我们的生活更美好。我们的目标是,让我们的生活更美好,让我们的未来更美好。Kutokana na maelezo haya, kundi lengwa la utafiti ni kipindi cha Bi.Msafwari Katika runinga ya Citizen.Sampuli iliyotumika ni sampuli ya kimaksudi ambayo kipindi cha Bi.Msafwari kiliteuliwa. 在数据方面,我们将继续努力。我们的目标是:让更多的人了解我们,让更多的人了解我们,让更多的人了解我们,让更多的人了解我们,让更多的人了解我们,让更多的人了解我们。我们还将继续努力。在数据方面,Ukusanyaji na uchanganuzi wa data, uwasilishaji wa matokeo ulifanywa kwa njia ya maelezo.我们的目标是,在全球范围内,通过对数据的分析和利用,帮助人们更好地了解自己的生活。我们的目标是,在比的基平迪地区,让我们的合作伙伴能够更有效地利用我们的资源,为我们的客户提供更好的服务。Msafwari.
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
Taswira ya Mwanamke katika Kipindi cha Bi. Msafwari Runinga ya Citizen Nchini Kenya.
Utafiti huu unalenga kuchunguza na kutathmini taswira ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen nchini Kenya kwa mtazamo wa kifasihi. Utafiti huu uliongozwa na lengo lifuatalo: Kueleza nafasi ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen nchini Kenya. Nadharia iliyotumika katika utafiti huu ni nadharia ya Ufeministi mathalani Ufeministi wa Kiafrika na nadharia ya mtindo. Nadharia ya Ufeministi ilifaa utafiti huu kwa kuwa inashughulika na masuala ya kijinsia hasa jinsia ya kike. Muundo wa kimfano ulitumika katika uchanganuzi wa utafiti huu. Utafiti huu ulijikita katika maktabani ili kupata maandishi yanayohusiana na mada iliyoshughulikiwa. Kutokana na maelezo haya, kundi lengwa la utafiti ni kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen. Sampuli iliyotumika ni sampuli ya kimaksudi ambayo kipindi cha Bi. Msafwari kiliteuliwa.  Utafiti huu ulitumia mbinu ya kutazama, kusikiliza na kurekodi vipindi katika kukusanya data yake. Matokeo ya utafiti yalijitokeza wazi kuwa, nafasi ya mwanamke ni: kumfurahisha mume wake, kumsaidia mume wake, kutii, kumheshimu na kunyenyekea mbele ya mume. Pia ana nafasi ya kudumisha amani katika ndoa. Ukusanyaji na uchanganuzi wa data, uwasilishaji wa matokeo ulifanywa kwa njia ya maelezo. Utafiti uliofanywa utawafaa watafiti wengine watakaojishughulisha na mada inayohusu mwanamke kwani wataweza kurejelea kazi hii ili kupata habari kuhusu nafasi ya mwanamke. Kwa ujumla, utafiti uliyofanywa ulichunguza taswira ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari.
求助全文
通过发布文献求助,成功后即可免费获取论文全文。 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信