James Mwangi, Nabea Wendo, Sheila Wandera
{"title":"Mikakati ya Ushawishi katika Jumbe za Kihalifu kwenye Facebook na Baruapepe","authors":"James Mwangi, Nabea Wendo, Sheila Wandera","doi":"10.37284/jammk.6.1.1252","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Mawasiliano yameimarika sana katika karne ya ishirini na moja kufuatia uvumbuzi wa teknolojia ya mawasiliano. Namna uvumbuzi unavyoendelea kuwepo ndivyo visa vya uhalifu wa mitandaoni vinavyozidi kuongezeka. Wahalifu hutumia baruapepe, Instagram, Twitter, WhatsApp, Facebook na njia nyinginezo za mitandaoni kuwadanganya watu, kuwaibia watu hela, kusambaza jumbe chafu za kiponografia, kuingilia data za wenyewe bila ruhusa na kusambaza jumbe za vitisho kwa watumiaji wa mitandao hii. Wahalifu hutumia ushawishi kutuma jumbe kama vile za ushindi wa pesa, ugawaji urithi, masuala ya kibiashara, jumbe za uhusiano wa kimapenzi na udukuzi wa pesa katika benki huku lengo kuu likiwa kuwaibia watu hela. Utafiti huu ulilenga kuchanganua mikakati ya ushawishi inayotumiwa na wahalifu hawa wa mitandaoni ili kufaulisha uovu wao. Nadharia ya Ubalagha ya Ushawishi iliyoasisiwa na Aristotle kisha kuendelezwa na wasomi wengine ilitumiwa pamoja na nadharia ya Mawasiliano ya Kiupatanishi ya Kitarakilishi iliyoasisiwa na Herring (2001). Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kimakusudi. Data ya utafiti ilikusanywa katika mitandao ya kijamii kwa njia ya upakuaji halafu kuhifadhiwa katika maandishi kisha ufafanuzi wake ulifanywa kwa njia ya maelezo. Mbinu ya uhakiki matini ilitumiwa katika uchanganuzi wa data. Utafiti huu ulibainisha kuwa wahalifu wa mitandao ya kijamii hutumia mikakati ya imani na dini, hisia, utoaji wa hoja zenye mantiki ili kuwashawishi watumiaji wa mitandao. Utafiti huu ni wa manufaa kwa watafiti wa lugha hasa katika nyanja ya Isimu kwa kuwapa ari ya kuchambua diskosi na kauli tofauti tofauti kama zinavyotumiwa katika mitandao ya kijamii.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"40 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-06-15","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1252","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

摘要

我们的工作是在我们的工作岗位上,在我们的工作环境中,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上。我们的签证制度与其他国家的签证制度不同。Wahalifu hutumia baruapepe、Instagram、Twitter、WhatsApp、Facebook na njia nyinginezo za mitandaoni kuwadanganya watu、kuwaibia watu hela、kusambaza jumbe chafu za kiponografia、kuingilia data za wenyewe bila ruhusa na kusambaza jumbe za vitisho kwa watumiaji wa mitandao hii。在我们的社区中,有很多人都有自己的生活习惯,有的人有自己的工作,有的人有自己的生活方式,有的人有自己的生活方式,有的人有自己的生活方式,有的人有自己的生活方式,有的人有自己的生活方式。我们的目标是,在我们的社会中,让更多的人参与到社会活动中来,让更多的人参与到社会活动中来,让更多的人参与到社会活动中来,让更多的人参与到社会活动中来。亚里士多德的 Ubalaghaya Ushawishi iliyoasisiwa na Aristotle kisha kuendelezwa na wasomi wengine ilitumiwa pamoja na nadharia ya Mawasiliano ya Kiupatanishi ya Kitarakilishi iliyoasisiwa na Herring(2001 年)。实用工具数据(Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kimakusudi)。实用程序的数据可用于对各种不同类型的数据进行分析,并可用于对各种不同类型的数据进行分析,并可用于对各种不同类型的数据进行分析,并可用于对各种不同类型的数据进行分析。在数据分析方面,我们也在不断努力。我们的目标是,通过我们的努力,让更多的人参与到我们的工作中来,让更多的人参与到我们的工作中来,让更多的人参与到我们的工作中来。在伊西姆的国家计划中,有一项重要的内容,即 "在国家计划的框架内",其中包括 "在国家计划的框架内",以及 "在国家计划的框架内"。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
Mikakati ya Ushawishi katika Jumbe za Kihalifu kwenye Facebook na Baruapepe
Mawasiliano yameimarika sana katika karne ya ishirini na moja kufuatia uvumbuzi wa teknolojia ya mawasiliano. Namna uvumbuzi unavyoendelea kuwepo ndivyo visa vya uhalifu wa mitandaoni vinavyozidi kuongezeka. Wahalifu hutumia baruapepe, Instagram, Twitter, WhatsApp, Facebook na njia nyinginezo za mitandaoni kuwadanganya watu, kuwaibia watu hela, kusambaza jumbe chafu za kiponografia, kuingilia data za wenyewe bila ruhusa na kusambaza jumbe za vitisho kwa watumiaji wa mitandao hii. Wahalifu hutumia ushawishi kutuma jumbe kama vile za ushindi wa pesa, ugawaji urithi, masuala ya kibiashara, jumbe za uhusiano wa kimapenzi na udukuzi wa pesa katika benki huku lengo kuu likiwa kuwaibia watu hela. Utafiti huu ulilenga kuchanganua mikakati ya ushawishi inayotumiwa na wahalifu hawa wa mitandaoni ili kufaulisha uovu wao. Nadharia ya Ubalagha ya Ushawishi iliyoasisiwa na Aristotle kisha kuendelezwa na wasomi wengine ilitumiwa pamoja na nadharia ya Mawasiliano ya Kiupatanishi ya Kitarakilishi iliyoasisiwa na Herring (2001). Sampuli ya utafiti huu iliteuliwa kimakusudi. Data ya utafiti ilikusanywa katika mitandao ya kijamii kwa njia ya upakuaji halafu kuhifadhiwa katika maandishi kisha ufafanuzi wake ulifanywa kwa njia ya maelezo. Mbinu ya uhakiki matini ilitumiwa katika uchanganuzi wa data. Utafiti huu ulibainisha kuwa wahalifu wa mitandao ya kijamii hutumia mikakati ya imani na dini, hisia, utoaji wa hoja zenye mantiki ili kuwashawishi watumiaji wa mitandao. Utafiti huu ni wa manufaa kwa watafiti wa lugha hasa katika nyanja ya Isimu kwa kuwapa ari ya kuchambua diskosi na kauli tofauti tofauti kama zinavyotumiwa katika mitandao ya kijamii.
求助全文
通过发布文献求助,成功后即可免费获取论文全文。 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信