Vince Arasa Nyabunga, Miriam Osore, Leonard Chacha Mwita
{"title":"Kutathmini Mafunzo Tafsiri katika Matini za Kidini: Mfano wa Njia Salama","authors":"Vince Arasa Nyabunga, Miriam Osore, Leonard Chacha Mwita","doi":"10.37284/jammk.6.1.1036","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Tafsiri imekuwa njia ya kuhamisha maarifa na ujumbe kutoka lugha moja hadi nyingine kwa muda mrefu lakini imetambuliwa kama taaluma ya kiusomi siyo miaka mingi iliyopita (Munday, 2001). Tafsiri zilizopo zimefanywa kwa kuzingatia mtazamo wa ulinganifu wa visawe vya lugha chanzi na lugha pokezi bila kuhusisha dhana ya uelewaji na ufasiri wa hadhira lengwa. Utafiti huu ulivuka mtazamo huo na kuchunguza uelewaji na ufasiri wa mafunzo tafsiri katika Njia Salama. Matini za kidini hutumiwa katika maeneo ya maabadi ili kuadilisha, kukuza mahusiano na kutangamanisha jamii. Vilevile, huwasilisha mafunzo muhimu ya kihistoria ya kidini ambayo yanafaa kueleweka na kufasirika kwa njia ya wazi. Hata hivyo, uchanganuzi wa awali wa matini tafsiri, unaonyesha kuwepo kwa matatizo ya uelewaji na ufasiri wa ujumbe wa hali ya maisha na uinjilisti. Kwa hivyo, lengo la utafiti huu ni kuthamini mafunzo hayo na kubainisha namna matatizo hayo yanavyojitokeza. Hali kadhalika, utafiti huu unakusudia kuthibitisha iwapo matatizo ya uelewaji na ufasiri wa ujumbe katika matini teule yanasababishwa na tofauti za kiisimu, kimtindo, kimuundo na kitamaduni baina ya lugha asilia na lugha pokezi. Katika kutekeleza jukumu hili, washiriki 140 walishirikishwa kutoa data ya utafiti. Data iliyopatikana ilichanganuliwa kwa njia ya kimaelezo na kitakwimu. Kwa hivyo, viongozi 42 na waumini 98 kutoka kanisa saba teule walishiriki. Washiriki waliojua kusoma na kuandika lugha ya Kiswahili walisailiwa na kuhojiwa. Nadharia ya skopos inayoweka mkazo kwenye matini tafsiri iliongoza utafiti huu. Matokeo ya utafiti huu yalilenga kuchangia uelewaji na ufasiri wa ujumbe katika matini tafsiri za kidini.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"23 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-01-04","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1036","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
这些研究的目的是,通过研究和分析,帮助人们更好地了解自己的生活方式,并在此基础上确定自己的生活方式(Munday,2001 年)。在 "we vya lugha chanzi na lugha pokezi bila kuhusisha dhana ya uelewaji na ufasiri wa hadhira lengwa "中,"Tafsiri zilizopo zimefanywa kwa kuzingatia mtazamo wa ulinganifu wa visawe vya lugha chanzi na lugha pokezi bila kuhusisha dhana ya uelewaji na ufasiri wa hadhira lengwa"。在恩吉娅-萨拉马的 "馈赠 "中,有 "馈赠 "和 "馈赠"。在 "沼泽地 "和 "沼泽地"、"沼泽地 "和 "沼泽地 "之间,还有 "沼泽地 "和 "沼泽地"。此外,在儿童教育方面,还存在着一些新的问题。在今后的日子里,我们将继续加强对儿童的教育,让孩子们学会如何与父母相处、如何与朋友相处、如何与他人相处。在今后的日子里,我们将继续努力,以实现我们的目标。此外,我们还可以通过 "uthibitisha"、"kimtindo"、"kimuundo"、"kitamaduni"、"la lugha asilia na lugha pokezi"、"katika kutekeleza"、"utafiti huu"、"unakusudia kuthibitisha iwapo matatizo ya uelewaji na ufasiri wa ujumbe katika matini teule yanasababishwa na tofauti za kiisimu、kimtindo、kimuundo na kitamaduni baina ya lugha asilia na lugha pokezi。在数据的使用上,有 140 种不同的方法。这些数据可以帮助我们更好地了解自己的工作。在过去几年中,共有 42 项数据和 98 项数据。他们的语言都是斯瓦希里语。我们的工作是在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上,在我们的工作岗位上。在孩子们的课堂教学中,我们会发现更多的问题。
Kutathmini Mafunzo Tafsiri katika Matini za Kidini: Mfano wa Njia Salama
Tafsiri imekuwa njia ya kuhamisha maarifa na ujumbe kutoka lugha moja hadi nyingine kwa muda mrefu lakini imetambuliwa kama taaluma ya kiusomi siyo miaka mingi iliyopita (Munday, 2001). Tafsiri zilizopo zimefanywa kwa kuzingatia mtazamo wa ulinganifu wa visawe vya lugha chanzi na lugha pokezi bila kuhusisha dhana ya uelewaji na ufasiri wa hadhira lengwa. Utafiti huu ulivuka mtazamo huo na kuchunguza uelewaji na ufasiri wa mafunzo tafsiri katika Njia Salama. Matini za kidini hutumiwa katika maeneo ya maabadi ili kuadilisha, kukuza mahusiano na kutangamanisha jamii. Vilevile, huwasilisha mafunzo muhimu ya kihistoria ya kidini ambayo yanafaa kueleweka na kufasirika kwa njia ya wazi. Hata hivyo, uchanganuzi wa awali wa matini tafsiri, unaonyesha kuwepo kwa matatizo ya uelewaji na ufasiri wa ujumbe wa hali ya maisha na uinjilisti. Kwa hivyo, lengo la utafiti huu ni kuthamini mafunzo hayo na kubainisha namna matatizo hayo yanavyojitokeza. Hali kadhalika, utafiti huu unakusudia kuthibitisha iwapo matatizo ya uelewaji na ufasiri wa ujumbe katika matini teule yanasababishwa na tofauti za kiisimu, kimtindo, kimuundo na kitamaduni baina ya lugha asilia na lugha pokezi. Katika kutekeleza jukumu hili, washiriki 140 walishirikishwa kutoa data ya utafiti. Data iliyopatikana ilichanganuliwa kwa njia ya kimaelezo na kitakwimu. Kwa hivyo, viongozi 42 na waumini 98 kutoka kanisa saba teule walishiriki. Washiriki waliojua kusoma na kuandika lugha ya Kiswahili walisailiwa na kuhojiwa. Nadharia ya skopos inayoweka mkazo kwenye matini tafsiri iliongoza utafiti huu. Matokeo ya utafiti huu yalilenga kuchangia uelewaji na ufasiri wa ujumbe katika matini tafsiri za kidini.