Kioo cha Lugha Pub Date : 2023-03-24 DOI:10.4314/kcl.v20i2.2
Faith M. Nyaga
{"title":"Itikadi za Kisiasa katika Fasihi ya Watoto ya Kiswahili","authors":"Faith M. Nyaga","doi":"10.4314/kcl.v20i2.2","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Hadithi katika vitabu vya fasihi ya watoto mara nyingi huwa fupi na vitabu hivyo huwa vidogo mno. Hali hii imechangia waandishi wengi kujiaminisha kwamba watoto wana akili ndogo na hivyo basi ni rahisi mno kuwaandikia vitabu (Fox, 1993). Fox anadai kwamba watoto huwa na uwezo mkubwa wa akili na hali hiyo huchangia katika ugumu wa kuwatungia hadithi. Anasema kwamba ni vigumu zaidi kutunga fasihi ya watoto kuliko fasihi inayolenga hadhira ya watu wazima. Lengo la makala hii ni kuonesha kwamba, humohumo katika usahili unaonuiwa kumnufaisha msomaji mtoto mna uchangamano katika kazi za fasihi ya Kiswahili ya watoto zinaposomwa kwa jicho kali la kiuhakiki kwa misingi ya kinadharia. Makala inakusudia kupambanua namna itikadi za kisiasa zinavyobainika katika fasihi ya watoto kwa kuchambua maudhui katika tungo hizo. Tungo zinazohakikiwa ni: Usininyonye (Komora, 1971), Mkasa wa Shujaa Liyongo (Matundura, 2001), Karamu Mbinguni (Kimunyi, 2002), Zimwi la Leo! (Wamitila, 2002) na Sungura Mpanda Ngazi (Kobia, 2008). Usampulishaji wa kimakusudi umetumika kuteua kazi hizi. Usomaji wa matini umeegemezwa katika Nadharia ya Umaksi. Je, tunaweza kupata fasiri tofauti inayohusiana na siasa mbali na ile wanayopata watoto wanapozisoma tungo hizi bila kutumia nadharia? Majibu ya swali hili yanapatikana katika makala hii. ","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-24","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Kioo cha Lugha","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i2.2","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

摘要

关于一个人的健康,没有雄辩的说法。Hali hii imechangia waandishi wengi kujiaminisha kwamba watoto wana akili ndogo na hivyo basi ni rahisi mno kuwaandikia vitabu(福克斯,1993 年)。福克斯说,"如果你不知道,你就不会知道","如果你不知道,你就不会知道"。我们还将继续努力,以实现我们的目标。在这种情况下,孩子的监护人必须对孩子的行为负责。在这种情况下,孩子的名字是 "zinavyobainika",而孩子的名字是 "zinavyobainika"。Tungo zinazohakikiwa ni:Usininyonye》(Komora,1971 年)、《Mkasa wa Shujaa Liyongo》(Matundura,2001 年)、《Karamu Mbinguni》(Kimunyi,2002 年)、《Zimwi la Leo!》(Wamitila,2002 年)、《Sungura Mpanda Ngazi》(Kobia,2008 年)。我们在基马库苏迪的社区中开展了一系列活动。在 "团结 "计划中,"团结 "是一个非常重要的概念。Je, tunaweza kupata fasiri tofauti inayohusiana na siasa mbali na ile wanayopata watoto wanapozisoma tungo hizi when kutumia nadharia?í
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
Itikadi za Kisiasa katika Fasihi ya Watoto ya Kiswahili
Hadithi katika vitabu vya fasihi ya watoto mara nyingi huwa fupi na vitabu hivyo huwa vidogo mno. Hali hii imechangia waandishi wengi kujiaminisha kwamba watoto wana akili ndogo na hivyo basi ni rahisi mno kuwaandikia vitabu (Fox, 1993). Fox anadai kwamba watoto huwa na uwezo mkubwa wa akili na hali hiyo huchangia katika ugumu wa kuwatungia hadithi. Anasema kwamba ni vigumu zaidi kutunga fasihi ya watoto kuliko fasihi inayolenga hadhira ya watu wazima. Lengo la makala hii ni kuonesha kwamba, humohumo katika usahili unaonuiwa kumnufaisha msomaji mtoto mna uchangamano katika kazi za fasihi ya Kiswahili ya watoto zinaposomwa kwa jicho kali la kiuhakiki kwa misingi ya kinadharia. Makala inakusudia kupambanua namna itikadi za kisiasa zinavyobainika katika fasihi ya watoto kwa kuchambua maudhui katika tungo hizo. Tungo zinazohakikiwa ni: Usininyonye (Komora, 1971), Mkasa wa Shujaa Liyongo (Matundura, 2001), Karamu Mbinguni (Kimunyi, 2002), Zimwi la Leo! (Wamitila, 2002) na Sungura Mpanda Ngazi (Kobia, 2008). Usampulishaji wa kimakusudi umetumika kuteua kazi hizi. Usomaji wa matini umeegemezwa katika Nadharia ya Umaksi. Je, tunaweza kupata fasiri tofauti inayohusiana na siasa mbali na ile wanayopata watoto wanapozisoma tungo hizi bila kutumia nadharia? Majibu ya swali hili yanapatikana katika makala hii. 
求助全文
通过发布文献求助,成功后即可免费获取论文全文。 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信