Winnie Musailo Wekesa
{"title":"Mikabala Mbalimbali ya Uchanganuzi wa Sentensi Changamano za Kiswahili katika Vitabu vya Kiada vya Shule za Sekondari","authors":"Winnie Musailo Wekesa","doi":"10.37284/jammk.5.2.886","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Rasimu ya mtalaa mpya wa elimu nchini Kenya imebaini vipengele anavyopaswa kuzingatishwa mwanafunzi ili kuimarisha uwezo na maarifa yake katika ujifunzaji wa Kiswahili. Hali hii imetokana na mpango wa kufanyia mtaala wa elimu mabadiliko ili kumudu mahitaji ya jamii katika karne ya ishirini na moja. Silabasi ya sasa ya Kiswahili kwa shule za upili inaeleza kwa wazi vipengele vya kufundishwa katika sarufi na matumizi ya lugha. Sentensi ni mojawapo ya vipengele vya sarufi vinavyofundishwa katika shule za upili kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Kuna aina tatu kuu za sentensi kimuundo; miongoni mwazo ikiwa ni sentensi changamano Makala haya itaangazia aina hii ya sentensi kwa msingi wa uchanganuzi wake kutumia mikabala mbalimbali. Pengo lililopo ni kwamba vitabu vya kiada vilivyopendekezwa na Taasisi ya Ukuzaji wa Mtaala kisha kuidhinishwa na wizara ya elimu nchini; vimerejelea mada hii kwa mtazamo tofauti tofauti. Hali ambayo inazua mkanganyo na kuathiri mchakato wa ufunzaji na ujifunzaji kwa walimu na wanafunzi. Mada ya uchanganuzi wa sentensi inapasa kutiliwa msingi katika kidato cha kwanza na pili kisha kusisitizwa katika kidato cha tatu na  nne. Kinyume na inavyojitokeza katika vitabu hivi vya kiada ambapo ufundishaji wa mada hii unaanzia kidato ha tatu na kukamilishwa katika kidato cha nne. Masebo (2002), anasema uchanganuzi wa sentensi ni kipengele cha sarufi miundo ambacho ni utanzu unaoshughulikia maneno katika tungo na uhusiano wa vipashio vyake. Ni muhimu mwanafunzi kupata mwelekeo faafu wa mada hii kwa kuelekezwa kwa njia na namna moja sio kwa kuhitilafiana. Lugha kando na kuwa ni chombo muhimu cha kujieleza, pia ina jukumu la kupitisha elimu faafu","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"2002 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-10-14","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.2.886","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

摘要

在肯尼亚,"消除贫困 "的概念被广泛应用于各种不同的领域,其中包括:教育、医疗、卫生和社会服务。斯瓦希里语的 "upili inaeleza "和 "vipengele",以及 "kufundishwa "和 "sarufi "和 "matumizi ya lugha"。我们将继续努力,以确保我们的员工能在最短的时间内获得最大的回报。Makala haya itaangazia aina hii ya sentensi kwa msingi wa uchanganuzi wake kutumia mikabala mbalimbali.我们的目标是,在我们的国家,在我们的社区,在我们的社会,在我们的家庭,在我们的社会,在我们的国家,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会。我们的目标是,在我们的国家,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区。我们的工作是让孩子们在 "宽扎"(kwanza)和 "狩猎"(tatu)之间找到平衡点。在这一过程中,我们发现了许多新的问题,其中包括对儿童的教育问题,以及对儿童的家庭教育问题。马塞波(2002 年)指出,"我们必须在我们的国家里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里"。我们的目标是,在国家、地区和国际层面上,为实现这一目标而不懈努力,并为实现这一目标而不懈努力。如果您有任何疑问,请联系我们,我们将竭诚为您服务。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
Mikabala Mbalimbali ya Uchanganuzi wa Sentensi Changamano za Kiswahili katika Vitabu vya Kiada vya Shule za Sekondari
Rasimu ya mtalaa mpya wa elimu nchini Kenya imebaini vipengele anavyopaswa kuzingatishwa mwanafunzi ili kuimarisha uwezo na maarifa yake katika ujifunzaji wa Kiswahili. Hali hii imetokana na mpango wa kufanyia mtaala wa elimu mabadiliko ili kumudu mahitaji ya jamii katika karne ya ishirini na moja. Silabasi ya sasa ya Kiswahili kwa shule za upili inaeleza kwa wazi vipengele vya kufundishwa katika sarufi na matumizi ya lugha. Sentensi ni mojawapo ya vipengele vya sarufi vinavyofundishwa katika shule za upili kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Kuna aina tatu kuu za sentensi kimuundo; miongoni mwazo ikiwa ni sentensi changamano Makala haya itaangazia aina hii ya sentensi kwa msingi wa uchanganuzi wake kutumia mikabala mbalimbali. Pengo lililopo ni kwamba vitabu vya kiada vilivyopendekezwa na Taasisi ya Ukuzaji wa Mtaala kisha kuidhinishwa na wizara ya elimu nchini; vimerejelea mada hii kwa mtazamo tofauti tofauti. Hali ambayo inazua mkanganyo na kuathiri mchakato wa ufunzaji na ujifunzaji kwa walimu na wanafunzi. Mada ya uchanganuzi wa sentensi inapasa kutiliwa msingi katika kidato cha kwanza na pili kisha kusisitizwa katika kidato cha tatu na  nne. Kinyume na inavyojitokeza katika vitabu hivi vya kiada ambapo ufundishaji wa mada hii unaanzia kidato ha tatu na kukamilishwa katika kidato cha nne. Masebo (2002), anasema uchanganuzi wa sentensi ni kipengele cha sarufi miundo ambacho ni utanzu unaoshughulikia maneno katika tungo na uhusiano wa vipashio vyake. Ni muhimu mwanafunzi kupata mwelekeo faafu wa mada hii kwa kuelekezwa kwa njia na namna moja sio kwa kuhitilafiana. Lugha kando na kuwa ni chombo muhimu cha kujieleza, pia ina jukumu la kupitisha elimu faafu
求助全文
通过发布文献求助,成功后即可免费获取论文全文。 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信