Sammy Liana Dimbu
{"title":"Mdhihirisho wa Mahusiano ya Uwezo katika Vikatuni vya Shujaaz: Uchanganuzi Makinifu wa Kidiskosi","authors":"Sammy Liana Dimbu","doi":"10.37284/jammk.5.2.946","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Vikatuni ni chombo muhimu cha mawasiliano katika Karne ya 21. Huenda ndio sababu vimeendelea kukumbatiwa katika uwasilishaji wa masuala yanayohusu vijana. Makala hii inahusu Uchanganuzi Makinifu wa Diskosi katika vikatuni vya Shujaaz ili kubainisha uzalishaji wa mahusiano ya uwezo katika vikatuni hivi. Utafiti huu ni wa kiisimu na ni hatua kutokana na tafiti tangulizi zilizotafitia vikatuni hivi katika taaluma ya fasihi. Nadharia ya Uchanganuzi Makinifu wa Diskosi iliongoza utafiti huu. Kwa mujibu wa nadharia hii changamoto za kijamii hubainika katika uzalishaji wa matumizi mabaya ya mamlaka au udhalimu wa wenye mamlaka katika diskosi. Data ya makala hii ilitokana na sampuli ya nakala 35 za diskosi ya Shujaaz zilizoteuliwa kimakusudi kwa kuzingatia kigezo cha yaliyomo. Mpango wa kimaelezo ulitumika katika kuchanganua na kuwasilisha matokeo ya utafiti. Matokeo ni kuwa mahusiano ya uwezo katika Shujaaz ni baina ya:  wahusika mashujaa na wahusika wa kawaida, wahusika mashujaa na vijana, wadhamini na vijana, hadhira lengwa ambao ni vijana na mtu mashuhuri na mahusiano ya uwezo ya kiuana. Makala hii inatoa mchango katika taaluma ya isimu kwa kubainisha namna mahusiano ya uwezo yanavyotumiwa kuangazia masuala ya kijamii, kiuchumi na kisiasa, na namna yanavyoweza kutumiwa kuwashirikisha vijana katika masuala yanayowakumba katika jamii. Utafiti huu unapendekeza tafiti zaidi za baadaye zifanywe kwa kuzingatia mikakati ya uhalalishaji na uharamishaji inayodhihirika kupitia mahusiano ya uwezo katika diskosi ya Shujaaz","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"28 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-11-08","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.2.946","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

摘要

在 Karne ya 21.Vikatuni ni chombo muhimu cha mawasiliano 中的 "chombo muhimu cha mawasiliano"。我们将继续努力,为我们的客户提供更优质的产品和服务。我们将在 "Diskosi "的 "Uchanganuzi Makinifu "和 "Shujaaz "的 "mahusiano ya uwezo "的 "kubainisha uzalishaji "中选择一个,并在 "hivi "的 "vikatuni "中选择一个。我们的目标是,在未来的日子里,让我们的生活更加美好。在 "世界"(Diskosi)网站上的 "Makinifu Uchanganuzi "栏目中,您可以找到有关 "世界 "的信息。在这些数据的基础上,我们将对这些数据进行分析。数据显示,在 Shujaaz 的第 35 个磁盘中,有大量的磁盘数据。我们的目标是,在国家和国际社会的支持下,通过我们的努力,让更多人受益。在舒佳兹(Shujaaz)的帮助下,我们可以做到:在 "卡瓦伊达"(wahusika wa kawaida)、"维贾纳"(wahusika mashujaa na vijana)、"瓦德哈米尼"(wadhamini na vijana)、"维贾纳"(hadhira lengwa ambao ni vijana)和 "基瓦纳"(kiuana)的 "乌有之乡"(mahusiano ya uwezo)。我们将继续努力,以实现我们的目标。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
Mdhihirisho wa Mahusiano ya Uwezo katika Vikatuni vya Shujaaz: Uchanganuzi Makinifu wa Kidiskosi
Vikatuni ni chombo muhimu cha mawasiliano katika Karne ya 21. Huenda ndio sababu vimeendelea kukumbatiwa katika uwasilishaji wa masuala yanayohusu vijana. Makala hii inahusu Uchanganuzi Makinifu wa Diskosi katika vikatuni vya Shujaaz ili kubainisha uzalishaji wa mahusiano ya uwezo katika vikatuni hivi. Utafiti huu ni wa kiisimu na ni hatua kutokana na tafiti tangulizi zilizotafitia vikatuni hivi katika taaluma ya fasihi. Nadharia ya Uchanganuzi Makinifu wa Diskosi iliongoza utafiti huu. Kwa mujibu wa nadharia hii changamoto za kijamii hubainika katika uzalishaji wa matumizi mabaya ya mamlaka au udhalimu wa wenye mamlaka katika diskosi. Data ya makala hii ilitokana na sampuli ya nakala 35 za diskosi ya Shujaaz zilizoteuliwa kimakusudi kwa kuzingatia kigezo cha yaliyomo. Mpango wa kimaelezo ulitumika katika kuchanganua na kuwasilisha matokeo ya utafiti. Matokeo ni kuwa mahusiano ya uwezo katika Shujaaz ni baina ya:  wahusika mashujaa na wahusika wa kawaida, wahusika mashujaa na vijana, wadhamini na vijana, hadhira lengwa ambao ni vijana na mtu mashuhuri na mahusiano ya uwezo ya kiuana. Makala hii inatoa mchango katika taaluma ya isimu kwa kubainisha namna mahusiano ya uwezo yanavyotumiwa kuangazia masuala ya kijamii, kiuchumi na kisiasa, na namna yanavyoweza kutumiwa kuwashirikisha vijana katika masuala yanayowakumba katika jamii. Utafiti huu unapendekeza tafiti zaidi za baadaye zifanywe kwa kuzingatia mikakati ya uhalalishaji na uharamishaji inayodhihirika kupitia mahusiano ya uwezo katika diskosi ya Shujaaz
求助全文
通过发布文献求助,成功后即可免费获取论文全文。 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信