{"title":"Athari za Tofauti za Mazingira ya Ujifunzaji wa Kiswahili kati ya Wanafunzi wenye Ulemavu wa Macho wa Shule Jumuishi ya Menengai na Joel Omino","authors":"Lilian Muguche Abunga, Peter Githinji","doi":"10.37284/jammk.5.1.661","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii ililenga kulinganisha athari za tofauti za mazingira ya ujifunzaji wa Kiswahili kati ya wanafunzi wenye ulemavu wa macho wa shule jumuishi ya Menengai na Joel Omino. Pembejeo wanayopata wanafunzi katika shule ya Menengai inayopatikana mjini Nakuru ambapo kuna wingi lugha ililinganishwa na ile ya wanafunzi wa shule ya Joel Omino inayopatikana katika vitongoji vya mji wa Kisumu ambako pembejeo kwa kiasi kikubwa inatokana na lugha moja kuu. Ulinganishaji wetu uliangazia stadi za lugha ambazo huathiriwa zaidi na tofauti za mazingira ya ujifunzaji katika juhudi za kuimarisha ujifunzaji wa Kiswahili kwa wanafunzi wenye ulemavu wa macho. Data ilikusanywa kwa kuhoji wanafunzi wote wenye ulemavu wa macho na baadhi ya walimu wa Kiswahili ilhali hojaji ilijazwa na wanafunzi wote wenye ulemavu wa macho na baadhi ya wanafunzi wasio na ulemavu wa macho. Data nyingine ilitokana na uchunzaji kupitia uhudhuriaji wa vipindi vya Kiswahili. Makala hii iliongozwa na mihimili miwili ya nadharia ya Usomi Tendaji ya Bruner (1966). Mhimili wa kwanza unadai kuwa kujifunza lazima kuanze na masuala yanayopatikana katika mazingira ya wanafunzi wanayojaribu kikamilifu kuunda maana nao mhimili wa pili unadai kuwa, watu huweza kujifunza zaidi wakati wanajifunza na watu wengine kuliko wakati wanajifunza peke yao. Sampuli maksudi ilitumiwa katika kukusanya data nyanjani. Matokeo ya utafiti yalibaini tofauti tano za mazingira kati ya shule ya Menengai na Joel Omino. Tunapendekeza serikali iwaajiri walimu zaidi walio na mafunzo ya kuwashughulikia wanafunzi wenye ulemavu ili kuboresha ujifunzaji wa Kiswahili. Vilevile, shule zinahitaji kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali ili kuboresha upatikanaji wa vifaa vya ujifunzaji. Pia, serikali inapaswa kuhakikisha kuwa wazazi wanapewa mafunzo kuhusu umuhimu wa elimu ya wanafunzi wenye ulemavu wa macho ili kuhakikisha kuwa wanaimarisha mazingira ya nyumbani yatakayowafaa wanafunzi wao katika somo la Kiswahili.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"21 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-05-11","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.661","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
在纳库鲁的乔尔-奥米诺(Joel Omino)的学校里,他的朋友们在基苏木的一个村子里一起玩耍。我们还将继续努力,使我们的工作更上一层楼。数据显示,在与大专院校合作的项目中,有一个与斯瓦希里语有关的项目,该项目与大专院校合作的项目中,有一个与大专院校合作的项目,该项目与大专院校合作的项目中,有一个与大专院校合作的项目,该项目与大专院校合作的项目中,有一个与大专院校合作的项目,该项目与大专院校合作的项目中,有一个与大专院校合作的项目,该项目与大专院校合作的项目中,有一个与大专院校合作的项目,该项目与大专院校合作的项目中,有一个与大专院校合作的项目。在斯瓦希里语中,"Data nyingine ilitokana na uchunzaji kupitia uhudhuriaji wa vipindi vya Kiswahili"。布鲁纳的《Usomi Tendaji ya Bruner》(1966 年)是一部关于 "大男子主义 "的著作。在 "世界语言 "中,"语言 "的含义是 "一种语言"、"一种文化"、"一种社会"、"一种生活方式"、"一种生活方式"、"一种生活方式"、"一种生活方式"、"一种生活方式"、"一种生活方式"、"一种生活方式"、"一种生活方式"、"一种生活方式"、我们将继续努力,以实现我们的目标。在数据方面,Sampuli maksudi ilitumiwa kukusanya data nyanjani.在梅嫩加和乔尔-奥米诺(Joel Omino)的书房里,他们正在讨论如何使用这些数据。我们的目标是,在未来的几年里,让更多的人了解斯瓦希里语,让更多的人学习斯瓦希里语。此外,我们还将继续努力,以实现我们的目标。此外,还可以从 "大男子主义"、"阶级斗争"、"阶级斗争"、"民族主义 "和 "斯瓦希里语 "的角度来看待这些问题。
Athari za Tofauti za Mazingira ya Ujifunzaji wa Kiswahili kati ya Wanafunzi wenye Ulemavu wa Macho wa Shule Jumuishi ya Menengai na Joel Omino
Makala hii ililenga kulinganisha athari za tofauti za mazingira ya ujifunzaji wa Kiswahili kati ya wanafunzi wenye ulemavu wa macho wa shule jumuishi ya Menengai na Joel Omino. Pembejeo wanayopata wanafunzi katika shule ya Menengai inayopatikana mjini Nakuru ambapo kuna wingi lugha ililinganishwa na ile ya wanafunzi wa shule ya Joel Omino inayopatikana katika vitongoji vya mji wa Kisumu ambako pembejeo kwa kiasi kikubwa inatokana na lugha moja kuu. Ulinganishaji wetu uliangazia stadi za lugha ambazo huathiriwa zaidi na tofauti za mazingira ya ujifunzaji katika juhudi za kuimarisha ujifunzaji wa Kiswahili kwa wanafunzi wenye ulemavu wa macho. Data ilikusanywa kwa kuhoji wanafunzi wote wenye ulemavu wa macho na baadhi ya walimu wa Kiswahili ilhali hojaji ilijazwa na wanafunzi wote wenye ulemavu wa macho na baadhi ya wanafunzi wasio na ulemavu wa macho. Data nyingine ilitokana na uchunzaji kupitia uhudhuriaji wa vipindi vya Kiswahili. Makala hii iliongozwa na mihimili miwili ya nadharia ya Usomi Tendaji ya Bruner (1966). Mhimili wa kwanza unadai kuwa kujifunza lazima kuanze na masuala yanayopatikana katika mazingira ya wanafunzi wanayojaribu kikamilifu kuunda maana nao mhimili wa pili unadai kuwa, watu huweza kujifunza zaidi wakati wanajifunza na watu wengine kuliko wakati wanajifunza peke yao. Sampuli maksudi ilitumiwa katika kukusanya data nyanjani. Matokeo ya utafiti yalibaini tofauti tano za mazingira kati ya shule ya Menengai na Joel Omino. Tunapendekeza serikali iwaajiri walimu zaidi walio na mafunzo ya kuwashughulikia wanafunzi wenye ulemavu ili kuboresha ujifunzaji wa Kiswahili. Vilevile, shule zinahitaji kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali ili kuboresha upatikanaji wa vifaa vya ujifunzaji. Pia, serikali inapaswa kuhakikisha kuwa wazazi wanapewa mafunzo kuhusu umuhimu wa elimu ya wanafunzi wenye ulemavu wa macho ili kuhakikisha kuwa wanaimarisha mazingira ya nyumbani yatakayowafaa wanafunzi wao katika somo la Kiswahili.