{"title":"Itikadi na ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi","authors":"R. M. Wafula","doi":"10.4314/kcl.v20i1.4","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi ulipoanza, ilifikiriwa kwamba hatimaye fasihi imefanikiwa kupata silaha za kiuhakiki na kiakademia za kutegemewa. Wahakiki na wananadharia wa Kimagharibi kama Wellek na Warren (1986) walifikiria kwamba nadharia ya uhakiki wa fasihi ilikuwa moja popote fasihi iliposomwa. Hivi sasa katika Karne ya 21, nadharia ni nyingi na zinaendelea kuundwa kuendana na mazingira anuwai ambamo wahakiki wanapatikana. Makala hii inanuia kuonesha kwamba wingi wa nadharia zilizopo unaashiria uchimuzi wa itikadi zinazoratibisha kuwapo kwa nadharia hizo. Japo Wellek na Warren walikuwa wakizungumzia kuhusu nadharia katika umoja wake, walikuwa wakiitikia masuala ya kiitikadi. Jambo hili linahusu fasihi ya Kiswahili vilevile.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"36 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-22","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"1","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Kioo cha Lugha","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.4","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 1
摘要
在 "对妇女的教育"(Ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi ulipoanza)中,"对妇女的教育"(ilifikiriwa kwamba hatimaye fasihi imefanikiwa kupata silaha za kiuhakiki na kiakademia za kutegemewa)。在 Kimagharibi(1986 年)和 Wellek(1986 年)的研究中,作者认为两者之间是有区别的。例如,当 Karne 21 岁的时候,她曾与一个叫 mazingira anuwai ambamo wahakiki wanapatikana 的人有过通奸史。在这种情况下,只有女方才有权知道通奸的真相。贾波-韦勒克告诉沃伦,如果你想摆脱问题,你就需要摆脱问题。Jambo hili linahusu fasihi ya Kiswahili vilevile.
Itikadi na ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi
Ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi ulipoanza, ilifikiriwa kwamba hatimaye fasihi imefanikiwa kupata silaha za kiuhakiki na kiakademia za kutegemewa. Wahakiki na wananadharia wa Kimagharibi kama Wellek na Warren (1986) walifikiria kwamba nadharia ya uhakiki wa fasihi ilikuwa moja popote fasihi iliposomwa. Hivi sasa katika Karne ya 21, nadharia ni nyingi na zinaendelea kuundwa kuendana na mazingira anuwai ambamo wahakiki wanapatikana. Makala hii inanuia kuonesha kwamba wingi wa nadharia zilizopo unaashiria uchimuzi wa itikadi zinazoratibisha kuwapo kwa nadharia hizo. Japo Wellek na Warren walikuwa wakizungumzia kuhusu nadharia katika umoja wake, walikuwa wakiitikia masuala ya kiitikadi. Jambo hili linahusu fasihi ya Kiswahili vilevile.