{"title":"Uolezi1 katika Kujenga Utambulisho wa Wahusika katika Riwaya za Nagona na Mzingile za Euphrase Kezilahabi","authors":"Leonard Flavian Ilomo","doi":"10.4314/kcl.v20i2.1","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Uolezi ni mbinu muhimu ya kinaratolojia katika kueleza mtazamo au mwono. Hii ni mbinu inayotofautisha baina ya nani anaona na nani anasimulia. Kimsingi, mbinu hii hutumika katika kujenga uelewa na mtazamo juu ya masuala mbalimbali katika matini simulizi (Flavian, 2021). Dhima mojawapo ya mbinu hii inayojitokeza kwa uwazi ni kumfanya msomaji aone jambo fulani na kisha achukue mtazamo ambao utamwezesha kuyatazama mambo kwa mwelekeo fulani. Hata hivyo, kutokana na uchambuzi wa riwaya za Nagona (Kezilahabi, 1990; 2011) na Mzingile (Kezilahabi, 1991; 2011) ambao tumeufanya katika makala hii, uolezi unaonekana kutumika kujenga utambulisho wa wahusika. Katika makala hii wahusika ambao wameshughulikiwa ni Paa kutoka katika riwaya ya Nagona na Mzee kutoka katika riwaya ya Mzingile. Uchambuzi umeonesha kuwa utambulisho wa wahusika, Paa na Mzee, umejengwa kupitia uolezi wa mazingira yanayowazunguka, mwonekano wao pamoja na kupitia fikra za wahusika wengine. Kwa ujumla, makala hii imebainisha kuwa uolezi, zaidi ya kuwa mbinu ya kujenga mtazamo kinaratolojia, pia umetumika kujenga utambulisho wa wahusika katika riwaya za Nagona na Mzingile.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"24 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-24","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Kioo cha Lugha","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i2.1","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
你必须确保自己的生活达到最佳状态。这是你生命中最重要的部分。在这种情况下,我们要讨论的是 "在你的生活中"(Kumfanya msomaji aone jambo fuli)和 "在你的生活中"(Kumfanya msomaji aone jambo fuli)。在这种情况下,我们正在谈论的是 "富拉尼人的沼泽"(kumfanya msomaji aone jambo fulani na kisha achukue mtazamo ambao utamwezesha kuyatazama mambo kwa mwelekeo fulani)。在今后的日子里,由于对 Nagona(Kezilahabi,1990 年;2011 年)和 Mzingile(Kezilahabi,1991 年;2011 年)的了解,我们可以在 "makala hii "中使用 "utuolezi unaonekana kutumika kujenga utambulisho wa wahusika"。在 "我 "的情况下,"爸爸 "和 "妈妈 "都是 "我",而 "爸爸 "和 "妈妈 "都是 "我"。在这个问题上,爸爸和妈妈都有自己的看法,他们都有自己的想法,都有自己的计划,都有自己的目标。在此背景下,我们需要对我们的工作、我们的生活、我们的工作方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式等进行深入的研究。
Uolezi1 katika Kujenga Utambulisho wa Wahusika katika Riwaya za Nagona na Mzingile za Euphrase Kezilahabi
Uolezi ni mbinu muhimu ya kinaratolojia katika kueleza mtazamo au mwono. Hii ni mbinu inayotofautisha baina ya nani anaona na nani anasimulia. Kimsingi, mbinu hii hutumika katika kujenga uelewa na mtazamo juu ya masuala mbalimbali katika matini simulizi (Flavian, 2021). Dhima mojawapo ya mbinu hii inayojitokeza kwa uwazi ni kumfanya msomaji aone jambo fulani na kisha achukue mtazamo ambao utamwezesha kuyatazama mambo kwa mwelekeo fulani. Hata hivyo, kutokana na uchambuzi wa riwaya za Nagona (Kezilahabi, 1990; 2011) na Mzingile (Kezilahabi, 1991; 2011) ambao tumeufanya katika makala hii, uolezi unaonekana kutumika kujenga utambulisho wa wahusika. Katika makala hii wahusika ambao wameshughulikiwa ni Paa kutoka katika riwaya ya Nagona na Mzee kutoka katika riwaya ya Mzingile. Uchambuzi umeonesha kuwa utambulisho wa wahusika, Paa na Mzee, umejengwa kupitia uolezi wa mazingira yanayowazunguka, mwonekano wao pamoja na kupitia fikra za wahusika wengine. Kwa ujumla, makala hii imebainisha kuwa uolezi, zaidi ya kuwa mbinu ya kujenga mtazamo kinaratolojia, pia umetumika kujenga utambulisho wa wahusika katika riwaya za Nagona na Mzingile.