{"title":"Tathmini ya Taashira za Wahusika Katika Tamthilia ya Sudana","authors":"Antony Kago Waithiru","doi":"10.37284/jammk.5.2.1010","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala haya yanahusu uhakiki wa taashira za wahusika katika tamthilia ya Sudana. Makala haya yalinuia kubaini wahusika wanaosawiriwa kitaashira na waandishi. Pia, yalinuia kujadili namna waandishi walivyowatumia wahusika kitaashira kuwasilisha ujumbe lengwa. Makala haya yaliyojikita katika nadharia ya umitindo yanadhihirisha kuwa taashira imetumika katika tamthilia husika kama mbinu fiche na kwepi ya kuikosoa na kuielekeza jamii. Baadhi ya masuala ambayo yameangazia ni pamoja na viongozi dhalimu, ubaguzi, ukabila, tamaa na ubinafsi. Kadhalika, yanaeleza kuwa taashira imetumika vyema katika tamthilia hii madhali imeauni waandishi kuepuka uwezekano wa kusawiri masuala yanayokumba jamii paruwanja, jambo ambalo lingenyima kazi yenyewe mnato. Badala yake, kazi yenyewe imeonyesha kuwa waandishi walifinyanga lugha na kuwasawiri wahusika wa kawaida kwa njia mpya na ya kutendesa kupitia taashira. Yanaonyesha tadi na inda zinazotumiwa na baadhi ya watawala katika mataifa yanayoinuka kiuchumi kujinufaisha kibinafsi pamoja na vikaragosi wao. Isitoshe, makala haya yamedhihirisha jinsi viongozi wa mataifa hayo hudhibitiwa na watawala katika mataifa yaliyoinuka kiuchumi na kusababisha ulofa wa wananchi katika mahusiano yanayofichika katika ukoloni mamboleo. Yaliongozwa na nguzo kuu za nadharia ya umitindo. Nadharia ya umitindo ina nguzo kadhaa muhimu lakini makala haya yaliongozwa na nguzo tatu kuu ambazo ni ile ya kiwango cha umbo, ya kiwango cha kisemantiki, pamoja na ile ya mazungumzo na mbinu za uwasilishaji usemi na mawazo baina ya wahusika","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"54 4 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-12-16","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.2.1010","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
在苏达纳河上的 "羚羊"(taashira za wahusika)中的 "羚羊"(taashira za wahusika)。我们还将继续努力,使我们的工作更有成效。在这里,我们可以看到,我们的工作与我们的生活息息相关。在印度,有许多人都在为自己的未来而努力,他们都在为自己的未来而奋斗,他们都在为自己的未来而努力。我们的目标是,在我们的工作中,让我们的工作与我们的生活紧密联系在一起,让我们的工作与我们的生活紧密联系在一起,让我们的工作与我们的生活紧密联系在一起。我们还将继续努力,使我们的国家更加强大,使我们的人民更加幸福。巴达拉(Badala yake),"我们的未来"(kazi yenyewe imeonyesha kuwa waandishi walifinyanga lugha na kuwasawiri wahusika wa kawaida kwa njia mpya na ya kutendesa kupitia taashira)。我们的目标是:在全球范围内,使我们的国家成为世界上最强大的国家之一。在这里,我们要强调的是,我们要对我们的工作负责,我们要对我们的工作负责,我们要对我们的工作负责,我们要对我们的工作负责。我们的目标是,在全球范围内,通过我们的努力,实现我们的目标。我们的目标是,在我们的国家,在我们的民族,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会,在我们的社会。
Tathmini ya Taashira za Wahusika Katika Tamthilia ya Sudana
Makala haya yanahusu uhakiki wa taashira za wahusika katika tamthilia ya Sudana. Makala haya yalinuia kubaini wahusika wanaosawiriwa kitaashira na waandishi. Pia, yalinuia kujadili namna waandishi walivyowatumia wahusika kitaashira kuwasilisha ujumbe lengwa. Makala haya yaliyojikita katika nadharia ya umitindo yanadhihirisha kuwa taashira imetumika katika tamthilia husika kama mbinu fiche na kwepi ya kuikosoa na kuielekeza jamii. Baadhi ya masuala ambayo yameangazia ni pamoja na viongozi dhalimu, ubaguzi, ukabila, tamaa na ubinafsi. Kadhalika, yanaeleza kuwa taashira imetumika vyema katika tamthilia hii madhali imeauni waandishi kuepuka uwezekano wa kusawiri masuala yanayokumba jamii paruwanja, jambo ambalo lingenyima kazi yenyewe mnato. Badala yake, kazi yenyewe imeonyesha kuwa waandishi walifinyanga lugha na kuwasawiri wahusika wa kawaida kwa njia mpya na ya kutendesa kupitia taashira. Yanaonyesha tadi na inda zinazotumiwa na baadhi ya watawala katika mataifa yanayoinuka kiuchumi kujinufaisha kibinafsi pamoja na vikaragosi wao. Isitoshe, makala haya yamedhihirisha jinsi viongozi wa mataifa hayo hudhibitiwa na watawala katika mataifa yaliyoinuka kiuchumi na kusababisha ulofa wa wananchi katika mahusiano yanayofichika katika ukoloni mamboleo. Yaliongozwa na nguzo kuu za nadharia ya umitindo. Nadharia ya umitindo ina nguzo kadhaa muhimu lakini makala haya yaliongozwa na nguzo tatu kuu ambazo ni ile ya kiwango cha umbo, ya kiwango cha kisemantiki, pamoja na ile ya mazungumzo na mbinu za uwasilishaji usemi na mawazo baina ya wahusika