Baadhi ya Mbinu za Kifani katika Riwaya ya Kiswahili "Riwaya ya Kiu ya Mohamed Suleiman kama mfano"

Q2 Medicine
Jalhgam Abu Azuom
{"title":"Baadhi ya Mbinu za Kifani katika Riwaya ya Kiswahili \"Riwaya ya Kiu ya Mohamed Suleiman kama mfano\"","authors":"Jalhgam Abu Azuom","doi":"10.51984/johs.v22i1.2521","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Kazi ya fasihi ikiwemo riwaya huundwa na fani na maudhui, ambavyo kwa pamoja ndivyo hutupatia kazi inayoitwa fasihi. Fani huundwa na vipengele kama vile wahusika, mtindo, mandhari, muundo na matumizi ya lugha. Vipengele hivi hutumiwa na waandishi kwa namna tofauti tofauti kulingana na ujuzi na welei wao. Kwa upande wa maudhui ni jumla ya mawazo makuu yanayoelezwa na mwandishi au msimulizi wa kazi ya fasihi na kutaka hadhira yake ipate .\nkazi huu ulikusudiwa kufanywa kwa nia ya kuchunguza dhamira mbalimbali ambazo zinawasilishwa na Mohamed Suleiman katika riwaya yake ya Kiu. Kupita riwaya hii tumeainisha na mbinu za kifani zilizotumiwa na mwandishi katika kuibua dhamira ndani ya riwaya hiyo.\nKiu ni riwaya ya Kiswahili inayoelezea hadithi ya Bahati, kijana mwanamke aliyelelewa akaleleka na sasa anakutana na Idi, mwanaume laghai. Iddi hakawii kumzonga Bahati kwa kamba ya mapenzi ya uwongo. Bahati akiwa kalowa mapenzi hajijui hajitambui, anang’amua kuwa Iddi kwa kweli hampendi yeye, bali nafsi yake mwenyewe, na yeye Bahati ni chombo tu cha kutimiza shauku zake za kilimwengu. Kama ndege aliyenaswa katika ulimbo, jitihada zake za kujipatia nusura zinamletea angamio.","PeriodicalId":15975,"journal":{"name":"Journal of Human Reproductive Sciences","volume":"27 1","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-06-30","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Journal of Human Reproductive Sciences","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.51984/johs.v22i1.2521","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"Q2","JCRName":"Medicine","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Kazi ya fasihi ikiwemo riwaya huundwa na fani na maudhui, ambavyo kwa pamoja ndivyo hutupatia kazi inayoitwa fasihi. Fani huundwa na vipengele kama vile wahusika, mtindo, mandhari, muundo na matumizi ya lugha. Vipengele hivi hutumiwa na waandishi kwa namna tofauti tofauti kulingana na ujuzi na welei wao. Kwa upande wa maudhui ni jumla ya mawazo makuu yanayoelezwa na mwandishi au msimulizi wa kazi ya fasihi na kutaka hadhira yake ipate . kazi huu ulikusudiwa kufanywa kwa nia ya kuchunguza dhamira mbalimbali ambazo zinawasilishwa na Mohamed Suleiman katika riwaya yake ya Kiu. Kupita riwaya hii tumeainisha na mbinu za kifani zilizotumiwa na mwandishi katika kuibua dhamira ndani ya riwaya hiyo. Kiu ni riwaya ya Kiswahili inayoelezea hadithi ya Bahati, kijana mwanamke aliyelelewa akaleleka na sasa anakutana na Idi, mwanaume laghai. Iddi hakawii kumzonga Bahati kwa kamba ya mapenzi ya uwongo. Bahati akiwa kalowa mapenzi hajijui hajitambui, anang’amua kuwa Iddi kwa kweli hampendi yeye, bali nafsi yake mwenyewe, na yeye Bahati ni chombo tu cha kutimiza shauku zake za kilimwengu. Kama ndege aliyenaswa katika ulimbo, jitihada zake za kujipatia nusura zinamletea angamio.
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
Journal of Human Reproductive Sciences
Journal of Human Reproductive Sciences Medicine-Reproductive Medicine
CiteScore
2.60
自引率
0.00%
发文量
50
审稿时长
23 weeks
期刊介绍: The Journal of Human Reproductive Sciences (JHRS) (ISSN:0974-1208) a Quarterly peer-reviewed international journal is being launched in January 2008 under the auspices of Indian Society of Assisted Reproduction. The journal will cover all aspects human reproduction including Andrology, Assisted conception, Endocrinology, Physiology and Pathology, Implantation, Preimplantation Diagnosis, Preimplantation Genetic Diagnosis, Embryology as well as Ethical, Legal and Social issues. The journal will publish peer-reviewed original research papers, case reports, systematic reviews, meta-analysis, and debates.
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信