{"title":"Usawiri Wa Vyanzo Vya Dhuluma Za Kijinsia Katika Riwaya Teule Za Kiswahili","authors":"Pamella Tsiyeli Ngeleso, Alex Umbima Kevogo","doi":"10.37284/jammk.7.1.2024","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ya 2020 inatoa takwimu za kusikitisha kuhusu idadi ya waathiriwa wa dhuluma za kijinsia duniani. Data hii ilichochea utafiti huu kuhusu dhuluma za kijinsia na zinavyosawiriwa katika kazi za fasihi. Kimsingi utafiti huu ulikuwa wa maktabani; ambapo watafiti walisoma na kuhakiki riwaya teule za ‘Nyuso za Mwanamke’ ya Said Ahmed Mohamed na ‘Unaitwa Nani?’ ya Kyalo Wadi Wamitila. Uteuzi wa sampuli wa kimakusudi ulitumika ili kuchagua riwaya moja ya kila mwandishi kwa mujibu wa mada ya dhuluma za kijinsia. Utafiti huu uliongozwa na Nadharia ya Ufeministi Mamboleo iliyoasisiwa na Jacques J. Zephire mwaka wa 1982. Aidha, utafiti huu ulizingatia pia Nadharia ya Hegemonia ya Ubabedume iliyoasisiwa na Raewyn Connell mnamo 1987. Kimsingi, utafiti huu ulilenga kubainisha vyanzo vya dhuluma ya kijinsia na namna vinavyosawiriwa katika riwaya ‘Nyuso za Mwanamke’ na ‘Unaitwa Nani?’. Matokeo ya utafiti yanayohusu data ya kiuthamano yaliwasilishwa kupitia kwa maelezo na ufafanuzi unaotolewa kwa kuegemea mihimili ya Nadharia ya Ufeministi Mamboleo na Nadharia ya Hegemonia ya Ubabedume. Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa riwaya hizi zinasawiri wahusika mbalimbali wanaokuza maudhui ya dhuluma ya kijinsia. Utafiti huu utawafaa wahakiki wengine wa kazi za fasihi kupata maarifa mapya yanayohusu masuala ya kijinsia. Aidha, wanaharakati wanaopambana na suala la dhuluma za kijinsia watapata mapendekezo ya waandishi na watafiti kuhusu njia za kupambana na tatizo hili. Isitoshe, serikali na vyombo visivyo vya kiserikali vinavyoshughulikia suala la dhuluma za kijinsia vitashauriwa kuhusu njia mwafaka za kudumisha utangamano na mahusiano ya kijinsia duniani, Afrika, Afrika Mashariki na hata nchini Kenya","PeriodicalId":504864,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":null,"pages":null},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-07-05","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.2024","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ya 2020 inatoa takwimu za kusikitisha kuhusu idadi ya waathiriwa wa dhuluma za kijinsia duniani. Data hii ilichochea utafiti huu kuhusu dhuluma za kijinsia na zinavyosawiriwa katika kazi za fasihi. Kimsingi utafiti huu ulikuwa wa maktabani; ambapo watafiti walisoma na kuhakiki riwaya teule za ‘Nyuso za Mwanamke’ ya Said Ahmed Mohamed na ‘Unaitwa Nani?’ ya Kyalo Wadi Wamitila. Uteuzi wa sampuli wa kimakusudi ulitumika ili kuchagua riwaya moja ya kila mwandishi kwa mujibu wa mada ya dhuluma za kijinsia. Utafiti huu uliongozwa na Nadharia ya Ufeministi Mamboleo iliyoasisiwa na Jacques J. Zephire mwaka wa 1982. Aidha, utafiti huu ulizingatia pia Nadharia ya Hegemonia ya Ubabedume iliyoasisiwa na Raewyn Connell mnamo 1987. Kimsingi, utafiti huu ulilenga kubainisha vyanzo vya dhuluma ya kijinsia na namna vinavyosawiriwa katika riwaya ‘Nyuso za Mwanamke’ na ‘Unaitwa Nani?’. Matokeo ya utafiti yanayohusu data ya kiuthamano yaliwasilishwa kupitia kwa maelezo na ufafanuzi unaotolewa kwa kuegemea mihimili ya Nadharia ya Ufeministi Mamboleo na Nadharia ya Hegemonia ya Ubabedume. Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa riwaya hizi zinasawiri wahusika mbalimbali wanaokuza maudhui ya dhuluma ya kijinsia. Utafiti huu utawafaa wahakiki wengine wa kazi za fasihi kupata maarifa mapya yanayohusu masuala ya kijinsia. Aidha, wanaharakati wanaopambana na suala la dhuluma za kijinsia watapata mapendekezo ya waandishi na watafiti kuhusu njia za kupambana na tatizo hili. Isitoshe, serikali na vyombo visivyo vya kiserikali vinavyoshughulikia suala la dhuluma za kijinsia vitashauriwa kuhusu njia mwafaka za kudumisha utangamano na mahusiano ya kijinsia duniani, Afrika, Afrika Mashariki na hata nchini Kenya
Usawiri Wa Vyanzo Vya Dhuluma Za Kijinsia Katika Riwaya Teule Za Kiswahili
世界卫生组织(WHO)2020年非洲地区计划(Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ya 2020 inatoa takwimu za kusikitisha kuhusu idadi ya waathiriwa wa dhuluma za kijinsia Duniani)。这些数据将帮助我们更好地了解国家的未来。他们的工作方式是:"我的工作是什么?";"我的工作是什么?";"我的工作是什么?";"我的工作是什么?";"我的工作是什么?";"我的工作是什么?";"我的工作是什么?";"我的工作是什么?";"我的工作是什么?";"我的工作是什么?"。1982年,雅克-J-泽普希尔(Jacques J. Zephire)被任命为女权主义者曼波莱罗协会会长(Nadharia ya Ufeministi Mamboleo iliyoasisiwa na Jacques J. Zephire mwaka wa 1982)。Aidha, utafiti huu ulizingatia pia Nadharia ya Hegemonia ya Ubabedume iliyoasisiwa na Raewyn Connell mnamo 1987.在 "Nyuso za Mwanamke "和 "Unaitwa Nani?在 "Ufeministi Mamboleo "和 "Ubabedume "的 "Hegemonia "中的 "Nyuso za Mwanamke "和 "Unaitwa Nani? "中的 "Nyuso za Mwanamke "和 "Unaitwa Nani?"。我们的目标是,让女性在社会中发挥更大的作用。我们的目标是,在我们的生活中,让我们的生活更美好,让我们的未来更美好。此外,我们还将继续努力,以实现我们的目标。在肯尼亚,非洲、非洲马哈拉施特拉邦和非洲大陆都是非洲人的家园。