Viashiria vya Kujiua: Uchunguzi wa Mhusika Kazimoto katika Riwaya ya Kichwamaji

Adria Fuluge
{"title":"Viashiria vya Kujiua: Uchunguzi wa Mhusika Kazimoto katika Riwaya ya Kichwamaji","authors":"Adria Fuluge","doi":"10.58721/jkal.v2i1.548","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Wahusika katika kazi za fasihi huumbwa kwa ustadi mkubwa kwa lengo la kubeba tafakuri na fikra za mtunzi kuhusu maisha ya jamii. Katika uumbaji huo, aghalabu, binadamu husawiriwa kama kiumbe anayeteseka na anayeishi katika ulimwengu usiomjali, aliyezungukwa na mateso na ubwege[1], na anayeshindwa kukabiliana vyema na uhalisia wake (Wamitila, 2002). Mambo hayo, ndiyo huweza kusababisha afanye maamuzi fulani kama vile kujiua. Hivi ndivyo anavyofanya Euphrase Kezilahabi katika riwaya ya Kichwamaji (1974) anapomuumba mhusika anayejiua. Hata hivyo, kwa kuwa kujiua huambatana na viashiria mbalimbali, makala haya yanajadili viashiria vya kujiua kwa mhusika mkuu katika riwaya teule tu. Riwaya hiyo imeteuliwa kwa sababu ina mawanda ya kutosha yaliyowezesha kupata data zilizolengwa katika makala haya. Pia, riwaya hiyo imeteuliwa kama sampuli ya kuwakilisha riwaya nyingine zenye viashiria vya kujiua. Misingi ya Nadharia ya Udhanaishi imetumika katika uchunguzi, uchanganuzi na uwasilishaji wa matokeo. Data zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya uchambuzi wa matini. Mjadala umebainisha kwamba katika riwaya ya Kichwamaji vipo viashiria vinne vya kujiua vilivyomkumba Kazimoto kabla ya kujiua kwake. Viashiria hivyo ni kukata tamaa, kujitenga kijamii, kuzungumzia masuala ya kujiua na mabadiliko ya tabia. Makala yanahitimisha kwamba jamii inahitaji kupewa elimu ya kutosha kuhusu kujiua kwa wahusika pamoja na viashiria vyake ili iweze kumtambua na kumsaidia mtu mwenye viashiria vya kujiua. \n  \n[1]Mtazamo wa kidhanaishi unaopinga kuwepo kwa maana na ufahamu katika maisha ya binadamu, kutokana na kukata tamaa na kukosa tumaini la kuishi. Kwa mujibu wa Esslin (2001), ubwege ni hali ya kukosa nia ya kufanya jambo fulani na kutengwa katika imani za kidini, tabia za kiungu na mizizi ya akili na mawazo ya mtu. Hii ina maana kwamba ubwege ni kitendo cha kudadisi hali ya binadamu ya kuendelea kuishi ilhali maisha hayana maana tena.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"116 17","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-05-19","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.58721/jkal.v2i1.548","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Wahusika katika kazi za fasihi huumbwa kwa ustadi mkubwa kwa lengo la kubeba tafakuri na fikra za mtunzi kuhusu maisha ya jamii. Katika uumbaji huo, aghalabu, binadamu husawiriwa kama kiumbe anayeteseka na anayeishi katika ulimwengu usiomjali, aliyezungukwa na mateso na ubwege[1], na anayeshindwa kukabiliana vyema na uhalisia wake (Wamitila, 2002). Mambo hayo, ndiyo huweza kusababisha afanye maamuzi fulani kama vile kujiua. Hivi ndivyo anavyofanya Euphrase Kezilahabi katika riwaya ya Kichwamaji (1974) anapomuumba mhusika anayejiua. Hata hivyo, kwa kuwa kujiua huambatana na viashiria mbalimbali, makala haya yanajadili viashiria vya kujiua kwa mhusika mkuu katika riwaya teule tu. Riwaya hiyo imeteuliwa kwa sababu ina mawanda ya kutosha yaliyowezesha kupata data zilizolengwa katika makala haya. Pia, riwaya hiyo imeteuliwa kama sampuli ya kuwakilisha riwaya nyingine zenye viashiria vya kujiua. Misingi ya Nadharia ya Udhanaishi imetumika katika uchunguzi, uchanganuzi na uwasilishaji wa matokeo. Data zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya uchambuzi wa matini. Mjadala umebainisha kwamba katika riwaya ya Kichwamaji vipo viashiria vinne vya kujiua vilivyomkumba Kazimoto kabla ya kujiua kwake. Viashiria hivyo ni kukata tamaa, kujitenga kijamii, kuzungumzia masuala ya kujiua na mabadiliko ya tabia. Makala yanahitimisha kwamba jamii inahitaji kupewa elimu ya kutosha kuhusu kujiua kwa wahusika pamoja na viashiria vyake ili iweze kumtambua na kumsaidia mtu mwenye viashiria vya kujiua.   [1]Mtazamo wa kidhanaishi unaopinga kuwepo kwa maana na ufahamu katika maisha ya binadamu, kutokana na kukata tamaa na kukosa tumaini la kuishi. Kwa mujibu wa Esslin (2001), ubwege ni hali ya kukosa nia ya kufanya jambo fulani na kutengwa katika imani za kidini, tabia za kiungu na mizizi ya akili na mawazo ya mtu. Hii ina maana kwamba ubwege ni kitendo cha kudadisi hali ya binadamu ya kuendelea kuishi ilhali maisha hayana maana tena.
Viashiria vya Kujiua:风本木须贺与吉祥寺的联系
我们的目标是,通过我们的努力,让更多的人受益,让更多的人受益,让更多的人受益,让更多的人受益。Mambo hayo, ndiyo huweza kusababisha afanye maamuzi fulani kama vile kujiua.在 Kichwamaji(1974 年)的研究中,我们发现了 "Euphrase Kezilahabi "这个词。在过去的日子里,我们的生活充满了变化,我们的生活方式也发生了变化,我们的生活方式也发生了变化,我们的生活方式也发生了变化。我们还将继续努力,以确保数据的准确性。此外,我们还将继续努力,以实现我们的目标。Udhanaishi Nadharia Misingi ya imetumika katika uchunguzi, uchanganuzi na uwasilishaji wa matokeo.数据可用于对母婴的监测。我们的目标是,在未来的几年里,让更多的人了解我们的国家,让更多的人了解我们的国家,让更多的人了解我们的国家。卡齐姆巴-卡齐姆巴(Kazimoto Kazimoto)是一个在非洲和亚洲都有声望的人,他的名字叫 "卡齐姆巴"(Kazimoto Kazimoto)。我们还将继续努力,使我们的国家更加强大,使我们的人民更加幸福。 [1]Mtazamo wa kidhanaishi unaopinga kuwepo kwa maana na ufahamu katika maisha ya binadamu, kutokana na kukata tamaa na kukosa tumaini la kuishi.在埃斯林的著作(2001 年)中,"库克萨 "的意思是 "库房",而 "孩子 "的意思是 "孩子"、"孩子 "和 "孩子 "的意思是 "孩子"、"孩子 "和 "孩子 "的意思是 "孩子"、"孩子 "和 "孩子 "的意思是 "孩子 "和 "孩子"。我们还将继续努力,以实现我们的目标。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信