Tathmini ya Aina za Ujumbe Unaoibuliwa Kutokana na Matumizi ya Lugha katika Kuwasilisha Habari za Mazingira katika Gazeti la Taifa Leo, Kenya

Nelly Nzula Kitonga
{"title":"Tathmini ya Aina za Ujumbe Unaoibuliwa Kutokana na Matumizi ya Lugha katika Kuwasilisha Habari za Mazingira katika Gazeti la Taifa Leo, Kenya","authors":"Nelly Nzula Kitonga","doi":"10.37284/jammk.7.1.1936","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Utafiti huu unahusu aina za ujumbe unaoibuliwa kutokana na matumizi ya lugha katika kuwasilisha habari za mazingira kwenye gazeti la Taifa Leo nchini Kenya. Gazeti la Taifa Leo huwasilisha habari kwa wasomaji kwa lugha ya Kiswahili. Lugha ya Kiswahili inatambuliwa na Katiba ya Kenya kama lugha ya Taifa na pia lugha rasmi sambamba na lugha ya Kiingereza. Mazingira ni suala mtambuko na nyeti kitaifa na kimataifa. Mazingira yanaathiri maisha ya kila kiumbe kila siku kwa njia moja au nyingine. Jamii hupata takriban kila kitu kinachohusiana na mazingira yake kupitia vyombo vya habari. Moja kati ya njia zinazotumiwa na vyombo vya habari kupitisha ujumbe kuhusu mazingira kwa watu ni lugha. Inatarajiwa kwamba, kwa vile vyombo vya habari, Gazeti la Taifa Leo likiwemo, vimetwikwa jukumu la kuwapasha wanajamii yale yanayoendelea duniani kuhusiana na mazingira, vitafanya hivyo kwa namna ambayo itawawezesha watu kufahamu umuhimu wa mazingira na hivyo kuingiliana nayo kwa njia chanya. Hoja hii inatokana na imani kwamba mtu huelewa ujumbe kulingana na jinsi mwasilishi wa ujumbe husika anavyoteua lugha ili kuwasilisha anachokusudia. Madhumuni ya mwandishi wa matini ndiyo yanamwongoza katika uteuzi wa kipengele cha lugha atakachozingatia katika kuandika anachokusudia kuandika. Aidha, lengo la mwandishi wa matini ndilo huamua jinsi atakavyokiwasilisha kile anachokiandika kwa wasomaji. Kwa hivyo, matumizi ya lugha kwa namna tofauti humwezesha mwandishi wa matini kuibua aina tofauti za ujumbe ili kutimiza madhumuni yake. Uchunguzi huu ulidhamiria kubainisha aina za ujumbe uliowasilishwa na waandishi wa habari katika gazeti la Taifa Leo. Utafiti huu ulifanyika maktabani ambapo taarifa kuhusu habari za mazingira zilizochapishwa katika gazeti la Taifa Leo zilichanganuliwa. Data ilikusanywa kwa kudondoa matumizi ya lugha katika uwasilishaji wa taarifa za mazingira kutoka magazeti ya Taifa Leo teule pamoja na aina za ujumbe uliojitokeza katika habari hizo.Utafiti huu ulibainisha kwamba kuna aina tofauti za ujumbe katika taarifa za mazingira zilizochunguzwa: maana dhamirifu, maana akisifu, maana athirifu, maana kimtindo, maana halisi na maana ashirifu","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"41 2","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-05-21","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1936","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Utafiti huu unahusu aina za ujumbe unaoibuliwa kutokana na matumizi ya lugha katika kuwasilisha habari za mazingira kwenye gazeti la Taifa Leo nchini Kenya. Gazeti la Taifa Leo huwasilisha habari kwa wasomaji kwa lugha ya Kiswahili. Lugha ya Kiswahili inatambuliwa na Katiba ya Kenya kama lugha ya Taifa na pia lugha rasmi sambamba na lugha ya Kiingereza. Mazingira ni suala mtambuko na nyeti kitaifa na kimataifa. Mazingira yanaathiri maisha ya kila kiumbe kila siku kwa njia moja au nyingine. Jamii hupata takriban kila kitu kinachohusiana na mazingira yake kupitia vyombo vya habari. Moja kati ya njia zinazotumiwa na vyombo vya habari kupitisha ujumbe kuhusu mazingira kwa watu ni lugha. Inatarajiwa kwamba, kwa vile vyombo vya habari, Gazeti la Taifa Leo likiwemo, vimetwikwa jukumu la kuwapasha wanajamii yale yanayoendelea duniani kuhusiana na mazingira, vitafanya hivyo kwa namna ambayo itawawezesha watu kufahamu umuhimu wa mazingira na hivyo kuingiliana nayo kwa njia chanya. Hoja hii inatokana na imani kwamba mtu huelewa ujumbe kulingana na jinsi mwasilishi wa ujumbe husika anavyoteua lugha ili kuwasilisha anachokusudia. Madhumuni ya mwandishi wa matini ndiyo yanamwongoza katika uteuzi wa kipengele cha lugha atakachozingatia katika kuandika anachokusudia kuandika. Aidha, lengo la mwandishi wa matini ndilo huamua jinsi atakavyokiwasilisha kile anachokiandika kwa wasomaji. Kwa hivyo, matumizi ya lugha kwa namna tofauti humwezesha mwandishi wa matini kuibua aina tofauti za ujumbe ili kutimiza madhumuni yake. Uchunguzi huu ulidhamiria kubainisha aina za ujumbe uliowasilishwa na waandishi wa habari katika gazeti la Taifa Leo. Utafiti huu ulifanyika maktabani ambapo taarifa kuhusu habari za mazingira zilizochapishwa katika gazeti la Taifa Leo zilichanganuliwa. Data ilikusanywa kwa kudondoa matumizi ya lugha katika uwasilishaji wa taarifa za mazingira kutoka magazeti ya Taifa Leo teule pamoja na aina za ujumbe uliojitokeza katika habari hizo.Utafiti huu ulibainisha kwamba kuna aina tofauti za ujumbe katika taarifa za mazingira zilizochunguzwa: maana dhamirifu, maana akisifu, maana athirifu, maana kimtindo, maana halisi na maana ashirifu
Tathmini ya Aina za Ujumbe Unaoibuliwa Kutokana na Matumizi ya Lugha katika Kuwasilisha Habari za Mazingira katika Gazeti la Taifa Leo,肯尼亚
在肯尼亚的塔伊法-利奥(Taifa Leo)地名录中,您可以找到各种地名录。Taifa Leo 的地名录是一部斯瓦希里语地名录。在肯尼亚,有一个名为 "塔伊法"(Taifa)的地方,也有一个名为 "基因格雷扎"(Kiingereza)的地方。我们为您提供服务。我们为您提供两全其美的解决方案。我们将为您提供两全其美的服务。在这里,我们可以了解到,《塔伊法利奥政府公报》(Gazeti la Taifa Leo likiwemo)、《库瓦帕夏政府公报》(jukumu la kuwapasha wanajamii yale yanayoendelea duniani kuhusiana na mazingira)、《未来政府公报》(itawawezesha watu kufahamu umuhimu wa mazingira)以及《未来政府公报》(kuingiliana nayo kwa njia chanya)。在这里,你将了解到信仰的重要性,以及如何在你的生活中做出改变。我们的信仰与我们的生活息息相关,我们的信仰与我们的生活息息相关,我们的信仰与我们的生活息息相关。此外,我们还将继续努力,帮助更多的人。在今后的日子里,我们将继续努力,为我们的社区提供更多的服务。在《泰法-利奥公报》中,我们发现了许多与 "生境 "相关的问题。下表总结了此次研究的结果。这些数据的依据是《利奥塔法公报》(Taifa Leo teule pamoja na aina za ujumbe uliojitokeza katika habari hizo)。这些数据包括:(a) "dhamirifu"、(b) "akisifu"、(c) "athirifu"、(d) "kimtindo"、(e) "halisi "和(f) "ashirifu"。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信