Riwaya za Euphrase Kezilahabi kama Nyenzo Mwafaka za Ukuzaji wa Stadi ya Tafakuri Tunduizi: Mfano wa Nagona na Mzingile

Wallace Kapele Mlaga, Laurien Tuyishimire
{"title":"Riwaya za Euphrase Kezilahabi kama Nyenzo Mwafaka za Ukuzaji wa Stadi ya Tafakuri Tunduizi: Mfano wa Nagona na Mzingile","authors":"Wallace Kapele Mlaga, Laurien Tuyishimire","doi":"10.56279/jk.v86i2.4","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Lengo kuu la makala hii ni kujadili namna riwaya za Euphrase Kezilahabi zinavyoweza kutumiwa kama nyenzo ya kukuza stadi ya tafakuri tunduizi. Ili kufanikisha lengo hili, makala imeshughulikia malengo mahususi mawili: kwanza, makala inajadili namna stadi ya tafakuri tunduizi inavyosawiriwa katika riwaya teule za Kezilahabi na hivyo kuzifanya riwaya husika kuwa nyenzo mwafaka za ukuzaji wa tafakuri tunduizi. Pili, kubainisha namna riwaya teule zinavyosawiri umuhimu wa stadi ya tafakuri tunduizi. Ili kufanikisha malengo haya, data zilikusanywa kupitia mbinu ya uchambuzi wa matini. Data hizi zilichambuliwa kwa kuongozwa na Nadharia ya Uhalisia na Nadharia ya Semiotiki. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba riwaya za Nagona na Mzingile ni nyenzo mwafaka za kukuza tafakuri tunduizi kwa sababu riwaya hizi zinasawiri matendo mbalimbali yanayofanywa na wahusika kutokana na kutokuwa na stadi ya tafakuri tunduizi: kuyumbayumba kiimani kwa waumini na watu kutotatua changamoto zinazowakabili na badala yake kupendelea kumuachia Mungu. Aidha, umuhimu wa tafakuri tunduizi umesawiriwa katika riwaya teule. Tafakuri tunduizi imeonekana kuwa na umuhimu ufuatao: kuwezesha ufanyaji wa maamuzi sahihi na kusaidia kutengeneza maarifa mapya. Makala inahitimisha kuwa riwaya teule ni nyenzo mwafaka za ukuzaji wa tafakuri tunduizi kwa kuwa zinaonesha sio tu madhara ya kutokuwa na tafakuri tunduizi bali pia umuhimu wake.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"12 2","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-04-10","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v86i2.4","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Lengo kuu la makala hii ni kujadili namna riwaya za Euphrase Kezilahabi zinavyoweza kutumiwa kama nyenzo ya kukuza stadi ya tafakuri tunduizi. Ili kufanikisha lengo hili, makala imeshughulikia malengo mahususi mawili: kwanza, makala inajadili namna stadi ya tafakuri tunduizi inavyosawiriwa katika riwaya teule za Kezilahabi na hivyo kuzifanya riwaya husika kuwa nyenzo mwafaka za ukuzaji wa tafakuri tunduizi. Pili, kubainisha namna riwaya teule zinavyosawiri umuhimu wa stadi ya tafakuri tunduizi. Ili kufanikisha malengo haya, data zilikusanywa kupitia mbinu ya uchambuzi wa matini. Data hizi zilichambuliwa kwa kuongozwa na Nadharia ya Uhalisia na Nadharia ya Semiotiki. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba riwaya za Nagona na Mzingile ni nyenzo mwafaka za kukuza tafakuri tunduizi kwa sababu riwaya hizi zinasawiri matendo mbalimbali yanayofanywa na wahusika kutokana na kutokuwa na stadi ya tafakuri tunduizi: kuyumbayumba kiimani kwa waumini na watu kutotatua changamoto zinazowakabili na badala yake kupendelea kumuachia Mungu. Aidha, umuhimu wa tafakuri tunduizi umesawiriwa katika riwaya teule. Tafakuri tunduizi imeonekana kuwa na umuhimu ufuatao: kuwezesha ufanyaji wa maamuzi sahihi na kusaidia kutengeneza maarifa mapya. Makala inahitimisha kuwa riwaya teule ni nyenzo mwafaka za ukuzaji wa tafakuri tunduizi kwa kuwa zinaonesha sio tu madhara ya kutokuwa na tafakuri tunduizi bali pia umuhimu wake.
在 "Tafakuri Tunduizi "网站的 "Mwafaka "栏目中加入 "Nyenzo Mwafaka":"Mfano wa Nagona na Mzingile"。
我们的目标是,通过我们的努力,让更多的人了解我们的国家,让更多的人了解我们的国家,让更多的人了解我们的国家。在此,我谨代表马乌素西-马维利(Malengo mahususi mawili)表示:"宽扎"(kwanza)、"inajadili"(inajadili namna stadi ya tafakuri tunduizi inavyosawiriwa katika riwaya teule za Kezilahabi na hivyo kuzifanya riwaya husika kuwa nyenzo mwafaka za ukuzaji wa tafakuri tunduizi。此外,我们还将为您提供更多的信息。在数据收集过程中,我们发现了一些问题。数据由 Nadharia ya Uhalisia na Nadharia ya Semiotiki 的 kuongozwa 收集。这些数据由 Nadaria ya Uhalisia 和 Nadaria ya Semiotiki 的 Kuongozwa 收集:我们的目标是:通过我们的努力,使我们的国家成为世界上最强大的国家之一,使我们的人民成为世界上最伟大的人民之一。此外,我们还将在未来的日子里,在我们的国家里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里,在我们的社区里。这也是为什么我们必须要在我们的领土上建立一个新的国家。这就是为什么我们不能忘记,我们正处于一个不可预见的局面之中。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信