Iktibasi katika Methali za Waswahili

Lina Akaka, Sheila Wandera-Simwa
{"title":"Iktibasi katika Methali za Waswahili","authors":"Lina Akaka, Sheila Wandera-Simwa","doi":"10.56279/jk.v86i2.3","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inalenga kuchunguza namna iktibasi inavyojitokeza katika methali za Waswahili. Iktibasi ni dhana ya Kiarabu kwa mujibu wa Karisa na Mwinyifaki (2013). Ni mbinu ya kuchota mafundisho ya Kurani Tukufu na Sunnah na kuyatumia katika fasihi bila kuonesha yametoka katika Kurani Tukufu na Sunnah (Karisa na Mwinyifaki, 2013). Maisha ya Waswahili licha ya kuongozwa na maadili yaliyomo katika mafundisho ya dini ya Kiislamu, methali zinazotumiwa na Waswahili hao katika mazungumzo yao ya kila siku pia huchangia kutilia nguvu mafundisho ya dini. Uchunguzi huu umechochewa na methali za jamii ya Waswahili ambazo zinaelekea kusheheni mafundisho ya dini. Makala hii imeongozwa na Nadharia ya Uislamu kwa mujibu wa mawazo ya Hashi (2011) katika kubainisha namna mafundisho ya Kurani na Hadith yanavyojitokeza katika methali za Waswahili. Matokeo ya utafiti yalionesha kwamba methali za Waswahili zilisheheni mafundisho ya maadili ambayo yalipatikana pia katika Kurani na Hadith. Uhusiano mwema kati ya binadamu na binadamu na binadamu na Mungu unapatikana katika methali, na Kurani na Hadith vilevile.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"275 1","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-04-10","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v86i2.3","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala hii inalenga kuchunguza namna iktibasi inavyojitokeza katika methali za Waswahili. Iktibasi ni dhana ya Kiarabu kwa mujibu wa Karisa na Mwinyifaki (2013). Ni mbinu ya kuchota mafundisho ya Kurani Tukufu na Sunnah na kuyatumia katika fasihi bila kuonesha yametoka katika Kurani Tukufu na Sunnah (Karisa na Mwinyifaki, 2013). Maisha ya Waswahili licha ya kuongozwa na maadili yaliyomo katika mafundisho ya dini ya Kiislamu, methali zinazotumiwa na Waswahili hao katika mazungumzo yao ya kila siku pia huchangia kutilia nguvu mafundisho ya dini. Uchunguzi huu umechochewa na methali za jamii ya Waswahili ambazo zinaelekea kusheheni mafundisho ya dini. Makala hii imeongozwa na Nadharia ya Uislamu kwa mujibu wa mawazo ya Hashi (2011) katika kubainisha namna mafundisho ya Kurani na Hadith yanavyojitokeza katika methali za Waswahili. Matokeo ya utafiti yalionesha kwamba methali za Waswahili zilisheheni mafundisho ya maadili ambayo yalipatikana pia katika Kurani na Hadith. Uhusiano mwema kati ya binadamu na binadamu na binadamu na Mungu unapatikana katika methali, na Kurani na Hadith vilevile.
斯瓦希里语学习手册
Makala hii inalenga kuchunguza namna iktibasi inavyojitokeza katika methali za Waswahili.在《卡里萨与姆维尼法基》(2013 年)一书中,我们可以看到 Kiarabu 的相关内容。毫无疑问,《库拉尼-图库夫-先知言行录》(Kurani Tukufu na Sunnah)非常强调口才(Karisa na Mwinyifaki,2013 年)。瓦斯瓦希里语的 "口若悬河"、"口若悬河"、"口若悬河"、"口若悬河"、"口若悬河"、"口若悬河"、"口若悬河"、"口若悬河"、"口若悬河"、"口若悬河"、"口若悬河"、"口若悬河 "等词语,都是对基斯拉穆语的解释。在瓦斯瓦希里语中,"Uchunguzi huu umechochewa na methali za jamii ya Waswahili ambazo zinaelekea kusheheni mafundisho ya dini"。在纳达利亚的伊斯兰研究(2011 年)中,我们发现 "mafundisho "的名称是 "圣训 "中的 "库拉尼",而 "圣训 "是解释华语 "methali "的唯一依据。我们发现,"mafundisho "的名字就是 "圣训 "中的 "库拉尼",而 "圣训 "是唯一解释 "瓦瓦西里语 "的方法。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信