Uhawilishaji wa Lafudhi ya Kihehe na Athari zake katika Mawasiliano ya Wajifunzaji wa Kiswahili Sanifu kama Lugha ya Pili

Mwaija Ngenzi
{"title":"Uhawilishaji wa Lafudhi ya Kihehe na Athari zake katika Mawasiliano ya Wajifunzaji wa Kiswahili Sanifu kama Lugha ya Pili","authors":"Mwaija Ngenzi","doi":"10.56279/jk.v86i2.2","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inachunguza uhawilishaji wa lafudhi ya Kihehe na athari zake katika mawasiliano ya wajifunzaji wa Kiswahili sanifu kama lugha ya pili (L2). Sababu iliyochochea kufanyika kwa utafiti huu ni kuwa uhawilishwaji wa lafudhi ya Kihehe umebainika kupotosha maana na kukwamisha mawasiliano miongoni mwa wajifunzaji lugha ya Kiswahili sanifu wa jamii ya Wahehe. Data za makala hii zilikusanywa kutoka kwa wajifunzaji wa lugha ya Kiswahili sanifu wa jamii ya Wahehe ambao Kihehe ni lugha mama yao. Data za msingi za makala hii zilikusanywa kwa mbinu za masimulizi ya hadithi na uchambuzi wa nyaraka. Uchambuzi wa data uliongozwa kwa Nadharia za Usasanyuzi Linganishi na Arifu ya Mawasiliano. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa uhawilishwaji wa lafudhi ya Kihehe katika Kiswahili sanifu husababisha athari za kifonolojia na kisemantiki. Athari zilizobainika ni udondoshaji, uchopekaji, ubadilishanaji na urefushwaji wa fonimu katika maneno ya Kiswahili sanifu. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa michakato ya udondoshaji, uchopekaji, ubadilishanaji na urefushwaji wa fonimu katika maneno ya Kiswahili sanifu husababisha mabadiliko ya maneno kimatamshi na kimaana.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"267 2‐3","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-04-10","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v86i2.2","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala hii inachunguza uhawilishaji wa lafudhi ya Kihehe na athari zake katika mawasiliano ya wajifunzaji wa Kiswahili sanifu kama lugha ya pili (L2). Sababu iliyochochea kufanyika kwa utafiti huu ni kuwa uhawilishwaji wa lafudhi ya Kihehe umebainika kupotosha maana na kukwamisha mawasiliano miongoni mwa wajifunzaji lugha ya Kiswahili sanifu wa jamii ya Wahehe. Data za makala hii zilikusanywa kutoka kwa wajifunzaji wa lugha ya Kiswahili sanifu wa jamii ya Wahehe ambao Kihehe ni lugha mama yao. Data za msingi za makala hii zilikusanywa kwa mbinu za masimulizi ya hadithi na uchambuzi wa nyaraka. Uchambuzi wa data uliongozwa kwa Nadharia za Usasanyuzi Linganishi na Arifu ya Mawasiliano. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa uhawilishwaji wa lafudhi ya Kihehe katika Kiswahili sanifu husababisha athari za kifonolojia na kisemantiki. Athari zilizobainika ni udondoshaji, uchopekaji, ubadilishanaji na urefushwaji wa fonimu katika maneno ya Kiswahili sanifu. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa michakato ya udondoshaji, uchopekaji, ubadilishanaji na urefushwaji wa fonimu katika maneno ya Kiswahili sanifu husababisha mabadiliko ya maneno kimatamshi na kimaana.
在皮利路的斯瓦希里语国家语言学习中心(Mawasiliano ya Wajifunzaji wa Kiswahili Sanifu kama Lugha ya Pili)的 "语言学习"(Lafudhi ya Kihehe na Athari zake)中的 "语言 "部分
Makala hii inachunguza uhawilishaji wa lafudhi ya Kihehe na athari zake katika mawasiliano ya wajifunzaji wa Kiswahili sanifu kama lugha ya pili (L2)。数据与斯瓦希里语词典(L2)的数据相同。Data za makala hii zilikusanywa kutoka kwa wajifunzaji wa lugha ya Kiswahili sanifu wa jamii ya Wahehe ambao Kihehe ni lugha mama yao.Data is the most important part of your life, and it is the most important part of your life.Uchambuzi wa data uliongozwa kwa Nadharia za Usasanyuzi Linganishi na Arifu ya Mawasiliano.在斯瓦希里语的环境中,你可以使用多种语言,包括英语、法语和西班牙语。在斯瓦希里语教育机构中,可提供的服务有:"学习"(udondoshaji)、"学习"(uchopekaji)、"学习"(ubadilishanaji)和 "学习"(urefushwaji)。我们的目标是,在我们的国家里,通过我们的努力,使我们的国家成为世界上最强大的国家之一,使我们的国家成为世界上最强大的国家之一。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信