Dosari za Kisarufi katika Maandishi ya Kiswahili Sanifu ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Nchini Burundi

Dieudonné Butoyi, Zelda Elisifa
{"title":"Dosari za Kisarufi katika Maandishi ya Kiswahili Sanifu ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Nchini Burundi","authors":"Dieudonné Butoyi, Zelda Elisifa","doi":"10.56279/jk.v86i2.1","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Utafiti huu ulichunguza utamalaki wa dosari za kisarufi zinazofanywa na wanafunzi wanaojifunza Kiswahili kwenye vyuo vikuu vya Burundi. Uchunguzi huu uliozingatia matini za kimaandishi ulifanyika kwa kutumia Nadharia ya Uchanganuzi Makosa (UM) ya Corder (1967) ambayo imeboreshwa na wanaisimu wa siku za karibuni kama Gass na Selinker (2008), Mahmoodzadeh (2012) na Al-khreshen (2015) ili kuchunguza na kutathmini makosa. Sampuli ya wanafunzi mia moja (100) ilitumika na data ilikusanywa kwa kutumia mbinu ya uchunguzi matini. Matokeo ya uchunguzi huu yamedhihirisha jumla ya dosari za kisarufi 981 zilizogawanyika katika aina nne ambazo ni: (a) dosari za kifonolojia kwa kiasi cha 37.2%, (b) dosari za kimaumbo kwa kiasi cha 21.8%, (c) dosari za kisintaksia na kimofosintakisia kwa kiasi cha 30.1%, na (d) dosari za kimsamiati 10.9%. Viwango vya utamalaki wa dosari katika matumizi ya kimaandishi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Burundi hasa ya kifonolojia na kimofosintaksia vimedhihirisha kuwa kunahitajika hatua za haraka za uboreshaji wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia, walimu na mbinu thabiti katika ufundishaji wa somo la Kiswahili.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"14 1","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-04-10","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v86i2.1","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Utafiti huu ulichunguza utamalaki wa dosari za kisarufi zinazofanywa na wanafunzi wanaojifunza Kiswahili kwenye vyuo vikuu vya Burundi. Uchunguzi huu uliozingatia matini za kimaandishi ulifanyika kwa kutumia Nadharia ya Uchanganuzi Makosa (UM) ya Corder (1967) ambayo imeboreshwa na wanaisimu wa siku za karibuni kama Gass na Selinker (2008), Mahmoodzadeh (2012) na Al-khreshen (2015) ili kuchunguza na kutathmini makosa. Sampuli ya wanafunzi mia moja (100) ilitumika na data ilikusanywa kwa kutumia mbinu ya uchunguzi matini. Matokeo ya uchunguzi huu yamedhihirisha jumla ya dosari za kisarufi 981 zilizogawanyika katika aina nne ambazo ni: (a) dosari za kifonolojia kwa kiasi cha 37.2%, (b) dosari za kimaumbo kwa kiasi cha 21.8%, (c) dosari za kisintaksia na kimofosintakisia kwa kiasi cha 30.1%, na (d) dosari za kimsamiati 10.9%. Viwango vya utamalaki wa dosari katika matumizi ya kimaandishi ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Burundi hasa ya kifonolojia na kimofosintaksia vimedhihirisha kuwa kunahitajika hatua za haraka za uboreshaji wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia, walimu na mbinu thabiti katika ufundishaji wa somo la Kiswahili.
Dosari za Kisarufi katika Maandishi ya Kiswahili Sanifu ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Nchini Burundi
布隆迪的斯瓦希里语语言在世界范围内被广泛使用。Nadharia's Uchanganuzi Makosa (UM) and Corder's (1967) imeboreshwa na wanaisimu wa siku za karibuni kama Gass na Selinker (2008), Mahmoodzadeh (2012) na Al-khreshen (2015) ili kuchunguza na kutathmini makosa.为收集数据,共分析了 100 组数据。数据收集的结果显示,共有 981 个数据集:(a) kifonolojia kwa kiasi cha 37.2%,(b) kimaumbo kwa kiasi cha 21.8%,(c) kisintaksia na kimofosintakisia kwa kiasi cha 30.1%,(d) kimsamiati 10.9%。在布隆迪,有许多人认为,布隆迪是一个 "不平等的国家",他们认为布隆迪是一个 "不平等的国家",他们认为布隆迪是一个 "不平等的国家"。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信