{"title":"Mwingilianomatini kama Upekee wa Mtindo wa Emmanuel Mbogo: Mifano Kutoka Ngoma ya Ng’wanamalundi na Fumo Liongo","authors":"H. Jilala","doi":"10.37284/jammk.7.1.1770","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala haya yanahusu mwingilianomatini kama upekee wa mtindo wa Emmanuel Mbogo kwa kurejelea tamthiliya zake mbili: Ngoma ya Ng’wanamalundi (1988) na Fumo Liongo (2009). Lengo la Makala haya ni kuibua upekee wa kimtindo wa Emmanuel Mbogo kupitia matumizi ya mwingilianomatini kwa kuangazia tamthiliya zake mbili alizoandika kwa kupishana muongo mmoja. Data zilikusanywa kwa kutumia mbinu mbili za ukusanyaji data ambazo ni usomaji makini na usaili. Aidha, nadharia ya mwingilianomatini imetumika katika kuchambua na kujadili data. Makala haya yanajadili kuwa matumizi ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo yanadhihirisha upekee wake wa kimtindo katika utunzi wake. Hili linajidhihirisha katika matumizi ya hadithi, ngoma, nyimbo, majigambo, wahusika wa fasihi simulizi, ushairi na nguvu za sihiri. Hivyo, makala haya yanahitimisha kuwa kila mtunzi ana upekee wake katika utunzi na uandishi wa kazi za fasihi, upekee huu hujidhihirisha katika uteuzi wa mtindo ambao unajirudiarudia katika kazi zake","PeriodicalId":504864,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":null,"pages":null},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-02-22","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1770","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Makala haya yanahusu mwingilianomatini kama upekee wa mtindo wa Emmanuel Mbogo kwa kurejelea tamthiliya zake mbili: Ngoma ya Ng’wanamalundi (1988) na Fumo Liongo (2009). Lengo la Makala haya ni kuibua upekee wa kimtindo wa Emmanuel Mbogo kupitia matumizi ya mwingilianomatini kwa kuangazia tamthiliya zake mbili alizoandika kwa kupishana muongo mmoja. Data zilikusanywa kwa kutumia mbinu mbili za ukusanyaji data ambazo ni usomaji makini na usaili. Aidha, nadharia ya mwingilianomatini imetumika katika kuchambua na kujadili data. Makala haya yanajadili kuwa matumizi ya mwingilianomatini katika utunzi wa Emmanuel Mbogo yanadhihirisha upekee wake wa kimtindo katika utunzi wake. Hili linajidhihirisha katika matumizi ya hadithi, ngoma, nyimbo, majigambo, wahusika wa fasihi simulizi, ushairi na nguvu za sihiri. Hivyo, makala haya yanahitimisha kuwa kila mtunzi ana upekee wake katika utunzi na uandishi wa kazi za fasihi, upekee huu hujidhihirisha katika uteuzi wa mtindo ambao unajirudiarudia katika kazi zake
Mwingilianomatini kama Upekee wa Mtindo wa Emmanuel Mbogo:在恩格瓦纳马隆迪和弗莫-莱昂戈之间的米法诺-库托卡-恩戈马
Makala haya yanahusu mwingilianomatini kama upekee wa mtindo wa Emmanuel Mbogo kwa kurejelea tamthiliya zake mbili:Ngoma ya Ng'wanamalundi (1988) 和 Fumo Liongo (2009)。Lengo la Makala haya ni kuibua upekee wa kimtindo wa Emmanuel Mbogo kupitia matumizi ya mwingilianomatini kwa kuangazia tamthiliya zake mbili alizoandika kwa kupishana muongo mmoja.这些数据可以帮助我们更好地了解我们的工作。此外,我们还可以通过数据分析,为我们的工作提供帮助。埃马纽埃尔-姆博戈的名字就是埃马纽埃尔-姆博戈的名字,他是唯一一个有过upekee wake或kimtindo wake的人。他的名字是埃马纽埃尔-姆博戈(Emmanuel Mbogo),他是唯一一个进行过 "唤醒"(upekee wake)或 "金廷多唤醒"(kimtindo wake)的人。在未来,我们将继续努力,使我们的国家更加强大,使我们的人民更加幸福。