Taswira ya Distopia katika Riwaya ya Kimajaribio ya Kiswahili: Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu na Dunia Yao

Mwove Phyllis Mwende, Alex Umbima Kevogo
{"title":"Taswira ya Distopia katika Riwaya ya Kimajaribio ya Kiswahili: Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu na Dunia Yao","authors":"Mwove Phyllis Mwende, Alex Umbima Kevogo","doi":"10.37284/jammk.6.1.1556","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Mustakabali wa Bara la Afrika umekuwa suala la msingi katika maudhui ya riwaya ya kisasa ya Kiswahili. Fasihi ya kimajaribio inayoakisi hali za kidistopia inachora taswira hasi za mustakabali wa Bara la Afrika. Mazingira ya kidistopia ni mandhari yanayokabiliwa na kila aina ya matatizo au uovu uliokithiri ambayo huwa ya kiubunifu. Dhana hii hutumiwa kueleza jamii ambayo sheria zake hubadilishwa na kuishia kuwa za kuwadhalilisha wanajamii kupita kiasi. Kwa ujumla, wanajamii wanaojipata kwenye ulimwengu wa aina hii huwa kwenye njiapanda. Wanajamii hao huwa wamekwisha poteza tumaini la kuishi kutokana na dhuluma zinazowakabili. Baadhi yao hutamaushwa na ugumu wa maisha na kutamani kuangamia au kujiangamiza ili kuepuka ulimwengu huo wa shida. Kazi za fasihi zinazofuata mkondo wa kidistopia hudhamiria kutoa tahadhari au kuhamasisha jamii kuwajibika ili kuepuka maangamizi yanayokuja. Kazi hizo ni za utabiri wa mambo yanayoweza kutokea baadaye. Makala hii inakusudia kuonyesha jinsi taswira ya kidistopia inavyojitokeza katika riwaya ya kimajaribio ya Kiswahili kwa kutumia Nadharia ya Usasabaadaye ilioasisiwa na Linda Hutcheon na kufafanuliwa zaidi na Patricia Waugh. Riwaya mbili za kimajaribio; Dunia Yao (2006) ya Said Ahmed Mohamed na Bina-Adamu! (2002) ya Kyallo Wadi Wamitila zilitueliwa kimaksudi ili kuonyesha jinsi taswira ya distopia inavyobainika. Utafiti ulifanywa maktabani. Data ilikusanywa kutokana na usomaji wa kina wa riwaya teule ulioongozwa na mihimili ya Nadharia ya Usasabaadaye. Data iliyokusanywa ilichanganuliwa na kuwasilishwa kwa njia ya kimaelezo kwa mujibu wa Nadharia ya Usasabaadaye. Matokeo ya utafiti yanabainisha kuwa waandishi wana sababu za kimsingi za kusawiri mandhari ya kidistopia ili kutoa taswira kamili ya nchi za Kiafrika katika muktadha wa baada ya ukoloni chini ya utandawazi, mfumo wa soko huria, ubeberu mpya, ubinafsi, taathira za kigeni na uporomokaji wa kasi wa nguzo za maisha ya Kiafrika","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"81 4","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-11-05","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1556","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Mustakabali wa Bara la Afrika umekuwa suala la msingi katika maudhui ya riwaya ya kisasa ya Kiswahili. Fasihi ya kimajaribio inayoakisi hali za kidistopia inachora taswira hasi za mustakabali wa Bara la Afrika. Mazingira ya kidistopia ni mandhari yanayokabiliwa na kila aina ya matatizo au uovu uliokithiri ambayo huwa ya kiubunifu. Dhana hii hutumiwa kueleza jamii ambayo sheria zake hubadilishwa na kuishia kuwa za kuwadhalilisha wanajamii kupita kiasi. Kwa ujumla, wanajamii wanaojipata kwenye ulimwengu wa aina hii huwa kwenye njiapanda. Wanajamii hao huwa wamekwisha poteza tumaini la kuishi kutokana na dhuluma zinazowakabili. Baadhi yao hutamaushwa na ugumu wa maisha na kutamani kuangamia au kujiangamiza ili kuepuka ulimwengu huo wa shida. Kazi za fasihi zinazofuata mkondo wa kidistopia hudhamiria kutoa tahadhari au kuhamasisha jamii kuwajibika ili kuepuka maangamizi yanayokuja. Kazi hizo ni za utabiri wa mambo yanayoweza kutokea baadaye. Makala hii inakusudia kuonyesha jinsi taswira ya kidistopia inavyojitokeza katika riwaya ya kimajaribio ya Kiswahili kwa kutumia Nadharia ya Usasabaadaye ilioasisiwa na Linda Hutcheon na kufafanuliwa zaidi na Patricia Waugh. Riwaya mbili za kimajaribio; Dunia Yao (2006) ya Said Ahmed Mohamed na Bina-Adamu! (2002) ya Kyallo Wadi Wamitila zilitueliwa kimaksudi ili kuonyesha jinsi taswira ya distopia inavyobainika. Utafiti ulifanywa maktabani. Data ilikusanywa kutokana na usomaji wa kina wa riwaya teule ulioongozwa na mihimili ya Nadharia ya Usasabaadaye. Data iliyokusanywa ilichanganuliwa na kuwasilishwa kwa njia ya kimaelezo kwa mujibu wa Nadharia ya Usasabaadaye. Matokeo ya utafiti yanabainisha kuwa waandishi wana sababu za kimsingi za kusawiri mandhari ya kidistopia ili kutoa taswira kamili ya nchi za Kiafrika katika muktadha wa baada ya ukoloni chini ya utandawazi, mfumo wa soko huria, ubeberu mpya, ubinafsi, taathira za kigeni na uporomokaji wa kasi wa nguzo za maisha ya Kiafrika
Taswira ya Dystopia katika Riwaya ya Kimajaribio ya Kiswahili:Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu na Dunia Yao
Mustakabali wa Bara la Afrika(非洲语言的必修课)是一门以斯瓦希里语为基础的语言课程。在 "非洲之友 "网站上的 "非洲之友 "栏目中,您可以找到有关 "非洲之友 "的信息。在非洲,孩子们的生活方式与其他国家的孩子们的生活方式大相径庭。我们的目标是,通过对这些问题的深入研究和分析,使我们能够更好地了解这些问题,并在此基础上提出解决方案。在这些方面,我们要做的是,在我们的国家,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是。我们的目标是,让我们的孩子成为一个有能力的人。在这个问题上,我们需要的是 "唤醒",而不是 "唤醒"。Kazi za fasihi zinazofuata mkondo wa kidistopia hudhamiria kutoa tahadhari au kuhamasisha jamii kuwajibika ili kuepuka maangamizi yanayokuja。Kazi hizo ni za utabiri wa mambo yanayoweza kutokea baadaye.在 "我们的祖国 "中,琳达-胡琴(Linda Hutcheon)和帕特里夏-沃(Patricia Waugh)的名字与 "我们的祖国 "中的 "我们的祖国 "中的 "我们的祖国 "一字之差。在《金字塔》中,Dunia Yao(2006 年)是赛义德-艾哈迈德-穆罕默德(Said Ahmed Mohamed),比纳-阿达姆(Bina-Adamu!(2002) ya Kyallo Wadi Wamitila zilitueliwa kimaksudi ili kuonyesha jinsi taswira ya distopia inavyobainika.我们将继续努力。Data ilikusanywa kutokana na usomaji wa kina wa riwaya teule ulioongozwa na mihimili ya Nadharia ya Usasabaadaye.Data iliyokusanywa ilichanganuliwa na kuwasilishwa kwa njia ya kimaelezo kwa mujibu wa Nadharia ya Usasabaadaye.在肯尼亚,"孩子们 "被称为 "孩子的祖国"、"孩子的母亲"、"孩子的父亲"、"孩子的母亲"。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信