Linnah Apondi Okeyo, John N. Kimemia, Sophia M. Ndethiu
{"title":"Uchunguzi wa Changamoto za Walimu na Wanafunzi wa Kiswahili katika Shule za Upili Nchini Kenya","authors":"Linnah Apondi Okeyo, John N. Kimemia, Sophia M. Ndethiu","doi":"10.37284/jammk.6.1.1538","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Lengo la utafiti ni kuchunguza changamoto walizokabiliana nazo walimu na wanafunzi wa Kiswahili katika shule za upili nchini. Kiswahili ni lugha rasmi na ya taifa nchini Kenya tena ni somo la lazima linalofundishwa na kutahiniwa katika shule za msingi na za upili. Kimataifa, ni lugha inayotambuliwa kama chombo cha mawasiliano. Kuimudu lugha hubainika kupitia ujuzi wa mtu katika stadi zake kuu; kusoma, kuandika, kusikiliza, na kuongea. Umilisi na utendaji katika lugha hata hivyo huweza kuathiriwa pakubwa na mambo kadhaa. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Utabia na Utambuzi. Muundo wa utafiti ulikuwa usoroveya na ulinganishi, vifaa vilivyotumiwa kukusanya data vilikuwa hojaji, mahojiano, mtihani wa insha na uchunguzi darasani. Sampuli lengwa ilifikiwa kwa kutumia usampulishaji maksuudi na nasibu. Data ilichanganuliwa kitakwimu kwa kutumia uchanganuzi wa tarakimu na maelezo. Utafiti huu uligundua kuwa wanafunzi pamoja na walimu walipata shida kadhaa hali iliyoathiri kwa njia hasi ufunzaji na ujifunzaji wao. Licha ya kutambua umuhimu wa mwelekeo mseto katika ufunzaji, walimu wengi hawakutumia mbinu hii kufunza kutokana na ukosefu wa vifaa na nyenzo za kufunzia, uhaba wa muda, idadi kubwa ya wanafunzi madarasani mwao, uhaba wa walimu pamoja na ukosefu wa ujuzi maalum katika mbinu mseto. Pana haja kuu walimu waelekezwe vilivyo katika mbinu mwafaka za kufunzia, wanafunzi wahamasishwe kuhusu umuhimu wa somo hili, wachapishaji kuelekezwa vilivyo katika maswala yanayofunzwa katika kila kiwango na ukaguzi wa kina kufanywa ili kuondoa mambo yanayoweza kuwakanganya walimu na wanafunzi. Utafiti zaidi unaweza kufanywa katika vipengele vya Lugha na Fasihi ya Kiswahili ili kutambua changamoto zinazoshuhudiwa katika ufunzaji wao ili kuzitatua ipasaavyo","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"22 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-10-26","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1538","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Lengo la utafiti ni kuchunguza changamoto walizokabiliana nazo walimu na wanafunzi wa Kiswahili katika shule za upili nchini. Kiswahili ni lugha rasmi na ya taifa nchini Kenya tena ni somo la lazima linalofundishwa na kutahiniwa katika shule za msingi na za upili. Kimataifa, ni lugha inayotambuliwa kama chombo cha mawasiliano. Kuimudu lugha hubainika kupitia ujuzi wa mtu katika stadi zake kuu; kusoma, kuandika, kusikiliza, na kuongea. Umilisi na utendaji katika lugha hata hivyo huweza kuathiriwa pakubwa na mambo kadhaa. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Utabia na Utambuzi. Muundo wa utafiti ulikuwa usoroveya na ulinganishi, vifaa vilivyotumiwa kukusanya data vilikuwa hojaji, mahojiano, mtihani wa insha na uchunguzi darasani. Sampuli lengwa ilifikiwa kwa kutumia usampulishaji maksuudi na nasibu. Data ilichanganuliwa kitakwimu kwa kutumia uchanganuzi wa tarakimu na maelezo. Utafiti huu uligundua kuwa wanafunzi pamoja na walimu walipata shida kadhaa hali iliyoathiri kwa njia hasi ufunzaji na ujifunzaji wao. Licha ya kutambua umuhimu wa mwelekeo mseto katika ufunzaji, walimu wengi hawakutumia mbinu hii kufunza kutokana na ukosefu wa vifaa na nyenzo za kufunzia, uhaba wa muda, idadi kubwa ya wanafunzi madarasani mwao, uhaba wa walimu pamoja na ukosefu wa ujuzi maalum katika mbinu mseto. Pana haja kuu walimu waelekezwe vilivyo katika mbinu mwafaka za kufunzia, wanafunzi wahamasishwe kuhusu umuhimu wa somo hili, wachapishaji kuelekezwa vilivyo katika maswala yanayofunzwa katika kila kiwango na ukaguzi wa kina kufanywa ili kuondoa mambo yanayoweza kuwakanganya walimu na wanafunzi. Utafiti zaidi unaweza kufanywa katika vipengele vya Lugha na Fasihi ya Kiswahili ili kutambua changamoto zinazoshuhudiwa katika ufunzaji wao ili kuzitatua ipasaavyo
Uchunguzi wa Changamoto za Walimu na Wanafunzi wa Kiswahili katika Shule za Upili Nchini Kenya
Lengo la utafiti ni kuchunguza changamoto walizokabiliana nazo walimu na wanafunzi wa Kiswahili katika shule za upili nchini.肯尼亚的斯瓦希里语和肯尼亚的塔伊法语是两种不同的语言,在肯尼亚的斯瓦希里语和肯尼亚的塔伊法语是两种不同的语言,在肯尼亚的斯瓦希里语和肯尼亚的塔伊法语是两种不同的语言,在肯尼亚的斯瓦希里语和肯尼亚的塔伊法语是两种不同的语言。在肯尼亚,有很多人都在寻找新的资金来源。我们的目标是:让我们的生活更加美好;让我们的生活更加美好;让我们的生活更加美好;让我们的生活更加美好;让我们的生活更加美好。在未来的日子里,我们将继续努力,让我们的生活更加美好。在乌塔比亚和乌塔姆布齐,都有一个共同的目标。我们的目标是:通过数据、信息、知识和经验,帮助人们更好地了解自己的命运。这些数据将帮助我们更好地理解我们的工作。数据的使用将影响到对数据的使用。我们的目标是,通过对这些数据的分析和分析,使我们能够更好地理解这些数据的含义。在 "妇女 "的概念中,"妇女 "的意思是 "妇女",而 "妇女 "的意思是 "妇女","妇女 "的意思是 "妇女","妇女 "的意思是 "妇女"、我们的工作、我们的生活、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式、我们的生活方式。如果你想了解更多信息,请点击此处、我们的目标是,通过对这些问题的深入研究和分析,使我们能够更好地理解这些问题,并在此基础上提出解决方案。在 Lugha 和斯瓦希里语国家的语言中,有一种新的语言,即 "ufunzaji wao "和 "kuzitatua ipasaavyo"。