Ubainikaji wa aina za ukatili wa watoto katika fasihi ya Kiswahili ya watoto: Mifano kutoka riwaya teule

Kioo cha Lugha Pub Date : 2023-03-22 DOI:10.4314/kcl.v20i1.3
Enock N. Nyariki, P. Ngugi
{"title":"Ubainikaji wa aina za ukatili wa watoto katika fasihi ya Kiswahili ya watoto: Mifano kutoka riwaya teule","authors":"Enock N. Nyariki, P. Ngugi","doi":"10.4314/kcl.v20i1.3","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii imeangazia aina za ukatili wa watoto katika riwaya za Siku Njema (Walibora, 1996), Tumaini (Momanyi, 2006) na Lulu ya Maisha (Habwe, 2013) ambazo zinalenga hadhira ya watoto na vijana. Wachambuzi wengi wa fasihi ya Kiswahili ya watoto wamemwangazia mtoto kama mwathiriwa wa matendo ya ukatili. Kipengele cha mtoto kama mhusika katili ambaye matendo yake yanaweza kuwaathiri wanajamii wengine hakijahakikiwa kwa kina. Katika misingi hii makala iliangazia aina za matendo ya ukatili wa watoto katika vitabu teule vya fasihi ya watoto. Nadharia ya Uhalisia ambayo waasisi wake ni pamoja na Gustav Flaubert (1850), Rene Wellek (1963) na Lazaro Carreter (1970) ilitumika ili kuonesha jinsi ukatili wa watoto ulivyoakisiwa na waandishi. Data za msingi zilipatikana kwa kusoma vitabu teule. Aidha, makala ilinufaishwa kwa kuzisoma na kuzihakiki kazi zinazohusiana na mada hii kwenye majarida, magazeti, tasnifu, vitabu na machapisho mbalimbali. Maelezo ya kina yalitumiwa kuwasilisha matokeo ya utafiti. Aina tatu za ukatili zilijitokeza katika riwaya. Aina hizo ni ukatili wa kimatendo unaojibainisha katika matendo kama vile uvamizi, wizi na unyang‟anyi; ukatili wa kimatamshi, ambao hubainika katika vitisho na matamshi ya kudhalilisha; na ukatili wa kifikra, ambao hujidhihirisha kwa ishara za maandishi, matamshi na kuwaandamaandama waathiriwa kwa nia ya kuwadhuru.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"570 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-22","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Kioo cha Lugha","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.3","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala hii imeangazia aina za ukatili wa watoto katika riwaya za Siku Njema (Walibora, 1996), Tumaini (Momanyi, 2006) na Lulu ya Maisha (Habwe, 2013) ambazo zinalenga hadhira ya watoto na vijana. Wachambuzi wengi wa fasihi ya Kiswahili ya watoto wamemwangazia mtoto kama mwathiriwa wa matendo ya ukatili. Kipengele cha mtoto kama mhusika katili ambaye matendo yake yanaweza kuwaathiri wanajamii wengine hakijahakikiwa kwa kina. Katika misingi hii makala iliangazia aina za matendo ya ukatili wa watoto katika vitabu teule vya fasihi ya watoto. Nadharia ya Uhalisia ambayo waasisi wake ni pamoja na Gustav Flaubert (1850), Rene Wellek (1963) na Lazaro Carreter (1970) ilitumika ili kuonesha jinsi ukatili wa watoto ulivyoakisiwa na waandishi. Data za msingi zilipatikana kwa kusoma vitabu teule. Aidha, makala ilinufaishwa kwa kuzisoma na kuzihakiki kazi zinazohusiana na mada hii kwenye majarida, magazeti, tasnifu, vitabu na machapisho mbalimbali. Maelezo ya kina yalitumiwa kuwasilisha matokeo ya utafiti. Aina tatu za ukatili zilijitokeza katika riwaya. Aina hizo ni ukatili wa kimatendo unaojibainisha katika matendo kama vile uvamizi, wizi na unyang‟anyi; ukatili wa kimatamshi, ambao hubainika katika vitisho na matamshi ya kudhalilisha; na ukatili wa kifikra, ambao hujidhihirisha kwa ishara za maandishi, matamshi na kuwaandamaandama waathiriwa kwa nia ya kuwadhuru.
在斯瓦希里语语言环境中的语言能力:"我的"(Mifano) kutoka riwaya teule
在《Siku Njema》(Walibora, 1996 年)、《Tumaini》(Momanyi, 2006 年)和《Lulu ya Maisha》(Habwe, 2013 年)等书籍中,我们都看到了关于水的知识。在斯瓦希里语中,"水 "的意思是 "水",而 "火 "的意思是 "火"。如果有问题,我们可以向当地政府寻求帮助。如果有问题,那就是你找不到适合你的人。Nadharia、Uhalisia,以及古斯塔夫-福楼拜(1850 年)、雷内-韦勒克(1963 年)和拉扎罗-卡雷特(1970 年)的作品都因缺乏理解而受到批评。这些数据非常有趣。我们可以从这些数据中了解到:"我们可以从我们的研究中了解到:"我们可以从我们的研究中了解到:"我们可以从我们的研究中了解到:"我们可以从我们的研究中了解到:"我们可以从我们的研究中了解到:"(《世界文化多样性》,第 2 卷,第 2 期,第 2 页)。我们的目标是,在国家和地区之间建立联系。我们的目标是,让我们的生活更加美好。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信