{"title":"Dhima ya Kialami Pragmatiki ‘Hivi’ katika Mawasiliano ya Kiswahili","authors":"Magreth J. Kibiki","doi":"10.56279/jk.v85i1.16","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inahusu dhima za kialami pragmatiki hivi katika mawasiliano ya Kiswahili. Data za makala hii zimekusanywa kutoka katika mazungumzo yanayofanywa katika vijiwe vya mamalishe, vipindi vya televisheni na kutoka katika soga za mtandao wa WhatsApp. Uchambuzi wa data umeongozwa na Nadharia ya Umuktadhaishaji ya Gumperz (1982) na kwa kutumia mbinu ya uchambuzi kilongo. Matokeo ya uchunguzi huu yanaonesha kwamba kialami pragmatiki hivi kina dhima tofautitofauti kinapotumiwa katika mawasiliano. Miongoni mwa dhima hizo ni kutumika kama kianzilishi cha swali, kusisitiza jambo, kunukuu mazungumzo, kuashiria wakati uliopo au muda si mrefu, kudokeza makadirio au kutokuwa na hakika ya jambo na kutumika kama kiolezi. Kwa ujumla, makala hii inadokeza kwamba lugha ya Kiswahili ina utajiri wa kimaana unaotokana na matumizi ya vialami pragmatiki. Hivyo, tafiti zaidi zinaweza kufanyika kuchunguza dhima za vialami pragmatiki vingine katika lugha hii.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"102 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-12-01","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v85i1.16","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Makala hii inahusu dhima za kialami pragmatiki hivi katika mawasiliano ya Kiswahili. Data za makala hii zimekusanywa kutoka katika mazungumzo yanayofanywa katika vijiwe vya mamalishe, vipindi vya televisheni na kutoka katika soga za mtandao wa WhatsApp. Uchambuzi wa data umeongozwa na Nadharia ya Umuktadhaishaji ya Gumperz (1982) na kwa kutumia mbinu ya uchambuzi kilongo. Matokeo ya uchunguzi huu yanaonesha kwamba kialami pragmatiki hivi kina dhima tofautitofauti kinapotumiwa katika mawasiliano. Miongoni mwa dhima hizo ni kutumika kama kianzilishi cha swali, kusisitiza jambo, kunukuu mazungumzo, kuashiria wakati uliopo au muda si mrefu, kudokeza makadirio au kutokuwa na hakika ya jambo na kutumika kama kiolezi. Kwa ujumla, makala hii inadokeza kwamba lugha ya Kiswahili ina utajiri wa kimaana unaotokana na matumizi ya vialami pragmatiki. Hivyo, tafiti zaidi zinaweza kufanyika kuchunguza dhima za vialami pragmatiki vingine katika lugha hii.
Makala hii inahusu dhima za kialami pragmatiki hivi katika mawasiliano ya Kiswahili.使用 WhatsApp 对数据进行了分析。纳达利亚、乌穆克塔达海沙吉和甘珀斯(1982 年)的数据被用来分析本研究的结果。Matokeo(1982 年)指出,Yanaonesha kwamba kialami pragmatiki hivi kina dhima tofautitofauti kinapotumiwa katika mawasiliano。因此,我们需要在斯瓦希里语中加入 "unaotokana "和 "vialami pragmatiki"。今后,我们将继续加强语言的实用性。