Sayansi katika Tamthiliya ya Kiswahili: Uchunguzi Kifani wa Tamthiliya ya Orodha

Deogratius Francis Mkawe, Mohamed Omary Maguo
{"title":"Sayansi katika Tamthiliya ya Kiswahili: Uchunguzi Kifani wa Tamthiliya ya Orodha","authors":"Deogratius Francis Mkawe, Mohamed Omary Maguo","doi":"10.37284/jammk.5.2.1003","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inahusu uhakiki wa Sayansi katika Tamthiliya ya Kiswahili, mifano kutoka tamthiliya ya Orodha. Ni moja ya makala chache katika mfululizo wa uchambuzi wa masuala ya kisayansi katika Tamthiliya na Fasihi ya Kiswahili kwa ujumla. Lengo la makala hii ya utafiti ni kueleza sifa fumbatwa za kisayansi zitakazopelekea kuundwa kwa mtindo mpya wa uhakiki. Mitindo ya uhalisia, uhistoria, sosiolojia, umuundo, saikolojia, falsafa, uhalisia mazingaombwe kutaja chache, imetumika kwa muda mrefu katika ulimwengu wa uhakiki. Nadharia ya mwingiliano matini imeongoza uchambuzi huu hususani kupitia usemezano wa matini. Maelezo ya ufafanuzi wa masuala ya sayansi kutoka katika taaluma za fizikia, baiolojia na kemia yalitumika kumuongoza mwandishi kuweka alama na kudondoa nukuu zilizofumbata sayansi. Data kuhusu masuala ya sayansi kutoka taaluma za sayansi kavu na taarifu ya tamthiliya zilikusanywa kupitia mbinu ya usomaji makini. Matokeo yameonesha kuwa, juhudi za kuisaka orodha au barua iliyoelezwa na mtunzi, mfasiri na wahakiki wa tamthiliya kuwa ya kuchekesha ni ya kisayansi. Wahusika Padri James, Bw. Chaka Ecko, Salimu, Juma na Kitunda wanaisaka orodha kwa kutumia mbinu ya sayansi ya utatuzi wa tatizo. Wahusika hawa wanahaha kutatua tatizo la kuipata orodha iliyoandikwa na Furaha, binti waliyetembea naye kimapenzi. Msako unatokana na hofu yao kubwa ya kutajwa kwa majina kuwa walimuambukiza ugonjwa wa UKIMWI. Mwanasayansi hufanya uchunguzi hatua kwa hatua pindi anapokabiliwa na tatizo ili kulitatua, hivyo Padri James, Bw. Chaka Ecko, Salimu, Bw. Juma na Kitunda ni wanasayansi. Sayansi hii haitajwi wazi na wahusika, mwandishi, mfasiri au wachambuzi tangulizi. Tamthiliya hii pia haikupewa sifa ya kuwa na sayansi, hadhi inayopewa na makala hii. Makala imeuweka katika ujaribizi uchambuzi wa mtindo wa usayansi kupitia mbinu ya sayansi ya utatuzi wa tatizo. Tabia hii jaribizi ya uchambuzi inasaidia wasomaji kuelewa wahusika wanavyotatua matatizo binafsi na, au jamii ambayo kwa kiasi kikubwa ni malengo ya uandishi wa kazi ya fasihi.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"134 3 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-12-12","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.2.1003","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala hii inahusu uhakiki wa Sayansi katika Tamthiliya ya Kiswahili, mifano kutoka tamthiliya ya Orodha. Ni moja ya makala chache katika mfululizo wa uchambuzi wa masuala ya kisayansi katika Tamthiliya na Fasihi ya Kiswahili kwa ujumla. Lengo la makala hii ya utafiti ni kueleza sifa fumbatwa za kisayansi zitakazopelekea kuundwa kwa mtindo mpya wa uhakiki. Mitindo ya uhalisia, uhistoria, sosiolojia, umuundo, saikolojia, falsafa, uhalisia mazingaombwe kutaja chache, imetumika kwa muda mrefu katika ulimwengu wa uhakiki. Nadharia ya mwingiliano matini imeongoza uchambuzi huu hususani kupitia usemezano wa matini. Maelezo ya ufafanuzi wa masuala ya sayansi kutoka katika taaluma za fizikia, baiolojia na kemia yalitumika kumuongoza mwandishi kuweka alama na kudondoa nukuu zilizofumbata sayansi. Data kuhusu masuala ya sayansi kutoka taaluma za sayansi kavu na taarifu ya tamthiliya zilikusanywa kupitia mbinu ya usomaji makini. Matokeo yameonesha kuwa, juhudi za kuisaka orodha au barua iliyoelezwa na mtunzi, mfasiri na wahakiki wa tamthiliya kuwa ya kuchekesha ni ya kisayansi. Wahusika Padri James, Bw. Chaka Ecko, Salimu, Juma na Kitunda wanaisaka orodha kwa kutumia mbinu ya sayansi ya utatuzi wa tatizo. Wahusika hawa wanahaha kutatua tatizo la kuipata orodha iliyoandikwa na Furaha, binti waliyetembea naye kimapenzi. Msako unatokana na hofu yao kubwa ya kutajwa kwa majina kuwa walimuambukiza ugonjwa wa UKIMWI. Mwanasayansi hufanya uchunguzi hatua kwa hatua pindi anapokabiliwa na tatizo ili kulitatua, hivyo Padri James, Bw. Chaka Ecko, Salimu, Bw. Juma na Kitunda ni wanasayansi. Sayansi hii haitajwi wazi na wahusika, mwandishi, mfasiri au wachambuzi tangulizi. Tamthiliya hii pia haikupewa sifa ya kuwa na sayansi, hadhi inayopewa na makala hii. Makala imeuweka katika ujaribizi uchambuzi wa mtindo wa usayansi kupitia mbinu ya sayansi ya utatuzi wa tatizo. Tabia hii jaribizi ya uchambuzi inasaidia wasomaji kuelewa wahusika wanavyotatua matatizo binafsi na, au jamii ambayo kwa kiasi kikubwa ni malengo ya uandishi wa kazi ya fasihi.
在斯瓦希里语的 Tamthiliya 中,"Sayansi "一词的意思是 "奥罗达",而在斯瓦希里语的 Tamthiliya 中,"Sayansi "一词的意思是 "萨扬西"。毫无疑问,《塔姆西里亚语和斯瓦希里语》中的 "chfululizo wa uchambuzi wa masuala ya kisayansi katika Tamthiliya na Fasihi ya Kiswahili kwa ujumla "的意思是 "chache"。我们将继续努力,使我们的语言更加丰富多彩。他是一个 "糊涂虫",不知道自己在做什么,也不知道自己在做什么。Maelezo is the leader in the field of health and wellness,and he is the leader in the field of health and wellness,and he is the leader in the field of health and wellness,and he is the leader in the field of health and wellness,and he is the leader in the field of health and wellness。数据以研究结果为基础,数据以研究结果为基础。In the Padri James, he was the first recognized as a leader, and he was the first recognized as a leader in his own right.Wahusika Padri James、Bw.Chaka Ecko, Salimu, Juma na Kitunda wanaisaka orodha kwa kutumia mbinu ya sayansi ya utatuzi wa tatizo.我们的目标是,在我们的国家里,让更多的人了解我们的国家,让更多的人认识我们的国家,让更多的人了解我们的国家。这是了解 UKIMWI 人员的好方法。我们将与帕德里-詹姆斯(Padri James)、查卡-埃科(Bw. Chaka Ecko)、萨利姆(Salim.Chaka Ecko、Salimu、Bw.Juma 和 Kitunda ni wanasayansi。他们的名字分别是 "wahusika"、"mwandishi"、"mfasiri "和 "wachambuzi tangulizi"。如果你想了解更多信息,请联系我们。在这种情况下,我们所讨论的是 "我们 "与 "我们 "之间的关系,而不是 "我们 "与 "我们 "之间的关系。在这种情况下,我们谈论的是 "wasomaji kuelewa wahusika wanavyotatua matatizo binafsi na, au jamii ambayo kwa kiasi kikubwa ni malengo ya uandishi wa kazi ya fasihi"。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信