{"title":"Ishara Bwege Katika Diwani ya Kichomi","authors":"Chibayi Jason Poyi","doi":"10.37284/jammk.4.1.446","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Wasomi na watafiti wanadai kwamba ishara ni sehemu muhimu ya mtindo. Wanakubaliana kwamba ishara ni kigezo muhimu katika kufasiri maisha bwege. Ishara huonyesha hali halisi ya maisha bwege ya binadamu. Kwa hivyo, makala haya yananuia kuhakiki ishara zilizotumika kuashiria ubwege wa maisha katika diwani ya Kichomi. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Mtindo iliyoasisiwa na Leech ambayo itasaidia katika kuhakiki ishara zilizotumika kuibua ubwege wa maisha katika mashairi teule ya diwani ya Kichomi. Ishara zilifafanuliwa na kuwasilishwa kwa njia ya maelezo yaliyoegemezwa kwenye mihimili teule ya nadharia ya Mtindo. Uchanganuzi wa ishara uliongozwa na mbinu ya uhakiki matini. Katika diwani ya Kichomi, Kezilahabi anaangazia ubwege kwa njia ya kifalsafa na usanii wa hali ya juu kwa kutumia ishara maalumu. Mtafiti alihakiki matumizi ya ishara kwa namna ambavyo yalitumika kuangazia ubwege. Makala haya yatawafaa waandishi wa fasihi hasa ushairi kwani yatawawezesha kuelewa mbinu mbalimbali za kuandika matini zenye mvuto wa kisanaa ili kuwasilishia jamii ujumbe kwa ubunifu mkubwa.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2021-10-26","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.4.1.446","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Wasomi na watafiti wanadai kwamba ishara ni sehemu muhimu ya mtindo. Wanakubaliana kwamba ishara ni kigezo muhimu katika kufasiri maisha bwege. Ishara huonyesha hali halisi ya maisha bwege ya binadamu. Kwa hivyo, makala haya yananuia kuhakiki ishara zilizotumika kuashiria ubwege wa maisha katika diwani ya Kichomi. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Mtindo iliyoasisiwa na Leech ambayo itasaidia katika kuhakiki ishara zilizotumika kuibua ubwege wa maisha katika mashairi teule ya diwani ya Kichomi. Ishara zilifafanuliwa na kuwasilishwa kwa njia ya maelezo yaliyoegemezwa kwenye mihimili teule ya nadharia ya Mtindo. Uchanganuzi wa ishara uliongozwa na mbinu ya uhakiki matini. Katika diwani ya Kichomi, Kezilahabi anaangazia ubwege kwa njia ya kifalsafa na usanii wa hali ya juu kwa kutumia ishara maalumu. Mtafiti alihakiki matumizi ya ishara kwa namna ambavyo yalitumika kuangazia ubwege. Makala haya yatawafaa waandishi wa fasihi hasa ushairi kwani yatawawezesha kuelewa mbinu mbalimbali za kuandika matini zenye mvuto wa kisanaa ili kuwasilishia jamii ujumbe kwa ubunifu mkubwa.
重要的是要知道自己在做什么以及如何做。当你掌管你的妈妈时,你就是那个掌管你妈妈的人。Ishara huonyesha haliisi ya maisha bwege ya binadamu.在未来的日子里,我们要做的就是让自己成为一个有责任感的人。在利奇大使的案例中,我们必须认识到 "在基乔米语中使用"(zilizotumika kuibua ubwege wa maisha)的重要性。 这就要求我们必须认识到,在基乔米州的 "沼泽地 "项目中,"沼泽地 "的重要性。我相信你们都知道这一点。在 Kichomi 案中,Kezilahabi 是决定离开家的人。Mtafiti alihakiki matumizi ya ishara kwa namna ambavyo yalitumika kuangazia ubwege.他还说,"我不知道他是谁,但我知道他是我的朋友"。