{"title":"Uhusiano wa China na Afrika Mashariki kama Ilivyobainishwa katika Fasihi ya Kiswahili","authors":"Wael Nabil Ibrahim Othman","doi":"10.56279/jk.v85i1.14","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inalenga kuangazia uhusiano wa China na Afrika Mashariki kama ilivyobainishwa katika fasihi ya Kiswahili. Ili kufikia lengo hilo, makala hii imegawanywa katika sehemu kuu tano. Sehemu ya kwanza ni utangulizi ambao unaonesha lengo la makala hii na data zake zilizokusanywa kutoka katika fasihi simulizi na andishi ya Kiswahili. Sehemu ya pili inafafanua Nadharia ya Uhistoria Mpya iliyotumika katika makala haya. Sehemu ya tatu inajadili historia ya uhusiano wa China na Afrika Mashariki, vipindi ulivyopitia na nyanja zake kwa jumla. Sehemu ya nne ambayo ndiyo kiini cha makala haya, inaeleza uhusiano wa China na Afrika Mashariki kupitia tanzu za fasihi ya Kiswahili. Sehemu ya tano ni hitimisho ambalo linaelezea kwa muhtasari matokeo ya uchunguzi wa makala hii.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-12-01","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v85i1.14","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Makala hii inalenga kuangazia uhusiano wa China na Afrika Mashariki kama ilivyobainishwa katika fasihi ya Kiswahili. Ili kufikia lengo hilo, makala hii imegawanywa katika sehemu kuu tano. Sehemu ya kwanza ni utangulizi ambao unaonesha lengo la makala hii na data zake zilizokusanywa kutoka katika fasihi simulizi na andishi ya Kiswahili. Sehemu ya pili inafafanua Nadharia ya Uhistoria Mpya iliyotumika katika makala haya. Sehemu ya tatu inajadili historia ya uhusiano wa China na Afrika Mashariki, vipindi ulivyopitia na nyanja zake kwa jumla. Sehemu ya nne ambayo ndiyo kiini cha makala haya, inaeleza uhusiano wa China na Afrika Mashariki kupitia tanzu za fasihi ya Kiswahili. Sehemu ya tano ni hitimisho ambalo linaelezea kwa muhtasari matokeo ya uchunguzi wa makala hii.
在中国和非洲的马哈拉施特拉邦(Makala hii inalenga kuangazia uhusiano wa China na Africa Mashariki),流利的斯瓦希里语让人印象深刻。如果您是一名斯瓦希里语学习者,那么您就需要学习斯瓦希里语。如果您会说斯瓦希里语,您可以使用自己的数据制作自己的斯瓦希里语模拟。您可以使用 Nadharia Uhistoria Mpya iliyotumika katika makala haya。关于中国和非洲马沙利基的历史,有很多东西值得学习。关于中国和非洲马沙利基的历史,我的斯瓦希里语不太流利。我不知道自己能否讲一口流利的斯瓦希里语,但我相信自己一定能讲一口流利的斯瓦希里语。