Itikadi Katika Tamthilia za Kifo Kisimani (2001) na Maua Kwenye Jua la Asubuhi (2004)

Minyade Sheril Mugaduka, Jessee Murithi
{"title":"Itikadi Katika Tamthilia za Kifo Kisimani (2001) na Maua Kwenye Jua la Asubuhi (2004)","authors":"Minyade Sheril Mugaduka, Jessee Murithi","doi":"10.37284/jammk.6.1.1171","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Itikadi ni mawazo na fikra zinazohalalisha masuala katika kijamii. Fikra hizi huhalalisha mamlaka ya kisiasa na seti za matendo zinazotekeleza vitendo. Itikadi hupata mamlaka na uhalali kwa hiari bila kutumia nguvu. Viongozi wa kisiasa na kidini hujiegemeza katika itikadi fulani ili kufanikisha malengo yao kwa sababu wanafahamu kuwa itikadi hiyo imekubalika na wanajamii. Mabadiliko hayawezi kuepukika, na jinsi sekta tofauti tofauti katika jamii zinapopitia mabadiliko ndivyo viongozi wanavyobadilisha mbinu za uongozi wao. Pia, historia inapobadilika ndivyo itikadi inavyobadilika katika jamii. Makala imeeleza dhana ya itikadi, imefafanua aina za itikadi na kuzibainisha katika tamthilia za Maua kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001). Baadhi ya aina za itikadi ambazo zimebainishwa katika tamthilia teule ni pamoja na; itikadi ya dini, ukombozi, utawala, itikadi ya utamaduni, itikadi ya umwinyi na itikadi ya ubepari. Aina hizi zimebainishwa kutokana na usemi wa wahusika na muktadha mazungumzo. Utafiti wa makala hii umeongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Tahakiki Usemi (UTU) ilioasisiwa na Norman Fairclough (1989). Nadharia hii hueleza uhusiano uliopo kati ya matukio ya kisiasa, kiusemi, kiutamaduni, kimatini na kijamii. Huangazia athari ya itikadi katika matukio haya. Pia, huangazia jinsi usemi huo huathiri matukio haya katika jamii","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-04-14","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1171","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Itikadi ni mawazo na fikra zinazohalalisha masuala katika kijamii. Fikra hizi huhalalisha mamlaka ya kisiasa na seti za matendo zinazotekeleza vitendo. Itikadi hupata mamlaka na uhalali kwa hiari bila kutumia nguvu. Viongozi wa kisiasa na kidini hujiegemeza katika itikadi fulani ili kufanikisha malengo yao kwa sababu wanafahamu kuwa itikadi hiyo imekubalika na wanajamii. Mabadiliko hayawezi kuepukika, na jinsi sekta tofauti tofauti katika jamii zinapopitia mabadiliko ndivyo viongozi wanavyobadilisha mbinu za uongozi wao. Pia, historia inapobadilika ndivyo itikadi inavyobadilika katika jamii. Makala imeeleza dhana ya itikadi, imefafanua aina za itikadi na kuzibainisha katika tamthilia za Maua kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001). Baadhi ya aina za itikadi ambazo zimebainishwa katika tamthilia teule ni pamoja na; itikadi ya dini, ukombozi, utawala, itikadi ya utamaduni, itikadi ya umwinyi na itikadi ya ubepari. Aina hizi zimebainishwa kutokana na usemi wa wahusika na muktadha mazungumzo. Utafiti wa makala hii umeongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Tahakiki Usemi (UTU) ilioasisiwa na Norman Fairclough (1989). Nadharia hii hueleza uhusiano uliopo kati ya matukio ya kisiasa, kiusemi, kiutamaduni, kimatini na kijamii. Huangazia athari ya itikadi katika matukio haya. Pia, huangazia jinsi usemi huo huathiri matukio haya katika jamii
这是了解通奸和性骚扰的好方法。Fikra hizi huhalalisha mamlaka ya kisiasa na seti za matendo zinazotekeleza vitendo.该 mamlaka 有一个 uhalalali mamlaka,可以用于任何形式的性交。在这种情况下,我们所说的 "性 "是指 "性关系"。在这一点上,"我们 "的意思是 "我们",而不是 "我们 "的意思。"我们 "的意思是 "我们",而不是 "我们 "的意思是 "我们"。Pia, historia inapobadilika ndivyo itikadi inavyobadilika katika jamii.Makala imeeleza dhana ya itikadi, imefafanua aina za itikadi na kuzibainisha katika tamthilia za Maua kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001)。在这项研究中,"zimebainisha "主要有两种类型:早期、combozi、utawala、早期、umwinyi 和 ubepari。毫无疑问,kutokana 是一个很好的开始。本研究以 Norman Fairclough(1989 年)的《Uchanganuzi Tahakiki Usemi》(UTU)为基础。在研究过程中,研究人员根据自己的研究经验,对 "Huangazia athari ya itikana "进行了分析。Huangazia athari ya itikadi katika matukio haya.Pia, huangazia jinsi usemi huo huathiri matukio haya katika jamii
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信