{"title":"Uchangamani wa Muundo wa Majina ya Watu: Mifano kutoka Lugha ya Kihaya","authors":"A. Buberwa","doi":"10.56279/jk.v85i1.11","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inaangazia muundo wa majina ya watu yanayotokana na lugha ya Kihaya. Mjadala kuhusu muundo wa majina hayo unaongozwa na madai kwamba majina ya pekee si nomino halisi (Coates, 2006). Makala hii inalishughulikia suala hili kwa mkabala wa kimofolojia ili kubainisha wazi muundo wa majina tajwa. Data ya makala hii ilikusanywa kwa njia ya usaili kutoka Wilaya ya Bukoba Vijijini, mkoani Kagera. Matokeo yanaonesha kwamba majina ya watu ni vipashio vyenye muundo changamani ambavyo vikirejelewa kama nomino kimofolojia husababisha mkanganyiko wa kidhana. Hoja hii inathibitishwa na miundo mbalimbali ya majina ya watu iliyobainishwa katika makala hii ambayo ni pamoja na majina yenye muundo wa kitenzi, muundo wa kivumishi, muundo ambatani, muundo wa kishazi kiulizi na muundo wa kishazi cha kusihi. Kwa ujumla, ni wazi kwamba si kila kinachotajwa kuwa nomino kisemantiki ni nomino kimofolojia. Hivyo, makala hii inatoa wito wa kuchunguza vipengele vya kiisimu kwa kuzingatia dhana zinazoendana na mkabala unaohusika ili kuepuka mkanganyiko.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-12-01","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v85i1.11","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Makala hii inaangazia muundo wa majina ya watu yanayotokana na lugha ya Kihaya. Mjadala kuhusu muundo wa majina hayo unaongozwa na madai kwamba majina ya pekee si nomino halisi (Coates, 2006). Makala hii inalishughulikia suala hili kwa mkabala wa kimofolojia ili kubainisha wazi muundo wa majina tajwa. Data ya makala hii ilikusanywa kwa njia ya usaili kutoka Wilaya ya Bukoba Vijijini, mkoani Kagera. Matokeo yanaonesha kwamba majina ya watu ni vipashio vyenye muundo changamani ambavyo vikirejelewa kama nomino kimofolojia husababisha mkanganyiko wa kidhana. Hoja hii inathibitishwa na miundo mbalimbali ya majina ya watu iliyobainishwa katika makala hii ambayo ni pamoja na majina yenye muundo wa kitenzi, muundo wa kivumishi, muundo ambatani, muundo wa kishazi kiulizi na muundo wa kishazi cha kusihi. Kwa ujumla, ni wazi kwamba si kila kinachotajwa kuwa nomino kisemantiki ni nomino kimofolojia. Hivyo, makala hii inatoa wito wa kuchunguza vipengele vya kiisimu kwa kuzingatia dhana zinazoendana na mkabala unaohusika ili kuepuka mkanganyiko.
Makala hii inaangazia muundo wa majina ya watu yanayotokana na lugha ya Kihaya.在这些地区,"pekee "和 "nomino halisi "的名称都是 "majadala kuhusu muundo wa majina"(科茨,2006 年)。在此过程中,我们发现了许多新的问题,例如,如何在国家和地区之间建立联系,以及如何在国家和地区之间建立联系。本数据基于从卡盖拉省布科巴-维吉吉尼地区收集到的数据。在此过程中,我们发现了许多新的问题,其中包括:"我们如何才能更好地利用这些数据"、"我们如何才能更好地利用这些数据"、"我们如何才能更好地利用这些数据"、"我们如何才能更好地利用这些数据"、"我们如何才能更好地利用这些数据"、"我们如何才能更好地利用这些数据"。我们的目标是,在我们的国家里,让更多的人了解我们,让更多的人了解我们,让更多的人了解我们。Hivyo, makala hii inatoa wito wa kuchunguza vipengele vya kiisimu kwa kuzingatia dhana zinazoendana na mkabala unaohusika ili kuepuka mkanganyiko.