Usawiri wa Unyanyasaji wa Kiuchumi dhidi ya Wanawake katika Riwaya ya Kiswahili

Ernesta S. Mosha
{"title":"Usawiri wa Unyanyasaji wa Kiuchumi dhidi ya Wanawake katika Riwaya ya Kiswahili","authors":"Ernesta S. Mosha","doi":"10.56279/jk.v85i1.13","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inajadili unyanyasaji wa kiuchumi kwa wanawake kama ulivyosawiriwa katika riwaya ya Kiswahili. Makala inatumia dhana ya vilongo zoeleka katika unyanyasaji wa wanawake ili kuweka bayana namna unyanyasaji wa kiuchumi unavyochochewa na mambo kama vile ubabedume na mila na desturi. Data za makala hii zimekusanywa kutoka katika riwaya teule tatu za Kiswahili ambazo ziliteuliwa kutokana na kusawiri aina mbalimbali za unyanyasaji wa kiuchumi kwa wanawake. Makala inabainisha namna vilongo zoeleka katika unyanyasaji wa wanawake vilivyotumika kuonesha jinsi baadhi ya wanaume wanavyofanikisha azma yao ya kuwanyanyasa wanawake kiuchumi. Aidha, makala imebainisha jinsi kilongo cha mfumo wa kijamii na ujifunzaji kitabularasa kilivyotumiwa na waandishi kuonesha kuwa wanaume wanyanyasaji hawana makosa kwa kuwa hawakufanya unyanyasaji huo kwa makusudi. Makala inaweka wazi kuwa usawiri wa aina hii una athari ya kuchochea unyanyasaji wa kiuchumi dhidi ya wanawake na kuimarisha mtazamo kuwa unyanyasaji wa aina hii ni jambo la kawaida na haliwezi kuepukika. Kwa upande mwingine, kilongo cha ukombozi wa binadamu wa kiharakati kimetumiwa kuonesha wazi kuwa baaadhi ya wanaume wanawanyanyasa wanawake kiuchumi kwa makusudi kwa hiyo wanastahili kuwajibishwa kutokana na unyanyasaji huo. Kwa kuwa riwaya zina nafasi kubwa ya kutambulisha njia mbadala za kukabiliana na aina mbalimbali za unyanyasaji, ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa kiuchumi, ni muhimu vilongo mbadala vikatumika katika riwaya ya Kiswahili ili kusaidia kubadili tabia za wanaume wanyanyasaji pamoja na mtazamo kuhusu unyanyasaji wa kiuchumi dhidi ya wanawake.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"28 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-12-01","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v85i1.13","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala hii inajadili unyanyasaji wa kiuchumi kwa wanawake kama ulivyosawiriwa katika riwaya ya Kiswahili. Makala inatumia dhana ya vilongo zoeleka katika unyanyasaji wa wanawake ili kuweka bayana namna unyanyasaji wa kiuchumi unavyochochewa na mambo kama vile ubabedume na mila na desturi. Data za makala hii zimekusanywa kutoka katika riwaya teule tatu za Kiswahili ambazo ziliteuliwa kutokana na kusawiri aina mbalimbali za unyanyasaji wa kiuchumi kwa wanawake. Makala inabainisha namna vilongo zoeleka katika unyanyasaji wa wanawake vilivyotumika kuonesha jinsi baadhi ya wanaume wanavyofanikisha azma yao ya kuwanyanyasa wanawake kiuchumi. Aidha, makala imebainisha jinsi kilongo cha mfumo wa kijamii na ujifunzaji kitabularasa kilivyotumiwa na waandishi kuonesha kuwa wanaume wanyanyasaji hawana makosa kwa kuwa hawakufanya unyanyasaji huo kwa makusudi. Makala inaweka wazi kuwa usawiri wa aina hii una athari ya kuchochea unyanyasaji wa kiuchumi dhidi ya wanawake na kuimarisha mtazamo kuwa unyanyasaji wa aina hii ni jambo la kawaida na haliwezi kuepukika. Kwa upande mwingine, kilongo cha ukombozi wa binadamu wa kiharakati kimetumiwa kuonesha wazi kuwa baaadhi ya wanaume wanawanyanyasa wanawake kiuchumi kwa makusudi kwa hiyo wanastahili kuwajibishwa kutokana na unyanyasaji huo. Kwa kuwa riwaya zina nafasi kubwa ya kutambulisha njia mbadala za kukabiliana na aina mbalimbali za unyanyasaji, ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa kiuchumi, ni muhimu vilongo mbadala vikatumika katika riwaya ya Kiswahili ili kusaidia kubadili tabia za wanaume wanyanyasaji pamoja na mtazamo kuhusu unyanyasaji wa kiuchumi dhidi ya wanawake.
我们将在斯瓦希里语的语言环境中继续努力。这些数据可以帮助我们更好地理解斯瓦希里语的含义。在斯瓦希里语中,"数据 "是一个非常重要的词,因为它可以帮助人们更好地理解斯瓦希里语。我们的目标是,在所有的国家中,将 "不屈不挠的精神 "转化为 "不屈不挠的信念",并将 "不屈不挠的精神 "转化为 "不屈不挠的信念"。此外,我们还注意到,在一些情况下,一些人可能会因为不了解情况而被误认为是 "不受欢迎的人",而另一些人则会因为不了解情况而被误认为是 "不受欢迎的人"。我们的目标是,在全球范围内,让更多的人了解不屈不挠的人,让更多的人了解不屈不挠的人,让更多的人了解不屈不挠的人,让更多的人了解不屈不挠的人,让更多的人了解不屈不挠的人。在未来的日子里,我们还将继续努力,让我们的生活更加美好。如果您想了解更多有关 "不屈不挠的精神 "的信息,请点击此处、在斯瓦希里语中,"unyanyasaji wa kiuchumi "的意思是 "不屈不挠的人",而在斯瓦希里语中,"unyanyasaji wa kiuchumi "的意思是 "不屈不挠的人"。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信