“Wahenga walisema dalili ya mvua...” Uchunguzi wa Dhima za Viashiria vya Utendaji wa Methali katika Nyimbo za Dansi

A. Mnenuka
{"title":"“Wahenga walisema dalili ya mvua...” Uchunguzi wa Dhima za Viashiria vya Utendaji wa Methali katika Nyimbo za Dansi","authors":"A. Mnenuka","doi":"10.56279/jk.v85i1.2","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Methali ni utanzu unaotumiwa katika mawasiliano ya kawaida na katika utendaji wa tanzu mbalimbali za fasihi. Yumkini, kutokana na utegemezi wake, pamoja na msisitizo mkubwa kuwa fasihi simulizi hudhihirika katika utendaji, aghalabu, methali zimekuwa zikichambuliwa nje ya muktadha wake wa utendaji. Matokeo yake, nduni nyingi za utendaji wa methali zimeelezwa kiholela, suala linaloleta uvulivuli mkubwa katika fasiri ya methali kwa ujumla. Kwa mfano, kiashiria pekee cha utendaji wa methali kinachoelezwa na wengi ni kile kinachohusisha wahenga, yaani “wahenga walisema…” na vingine vinavyofanana na hicho. Aina hii ya kiashiria hudokeza aina ya utendaji inayoondoa msimamo na hisia za mdondoaji kwa sababu huhusisha maudhui ya methali na wahenga. Kwa kuwa methali ni mali ya jamii, kwa vyovyote vile, kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na viashiria vingine vinavyoakisi mazingira ya utendekaji wa methali pamoja na kujumuisha hisia za watumiaji. Kwa kutumia Nadharia ya Utendaji, makala hii inalenga kubainisha na kuchunguza dhima za viashiria vya utendaji wa methali katika nyimbo za muziki wa dansi za Kiswahili. Matokeo yanadhihirisha kuwa, mbali na kiashiria cha “wahenga walisema...” nyimbo za muziki wa dansi zina viashiria mbalimbali vya utendaji wa methali. Baadhi ya viashiria hivyo hudhihirisha mitazamo, misimamo na hisia za watendaji wa methali. Aidha, imebainika kuwa ili kuelewa vizuri maudhui ya methali, uchambuzi wa viashiria vya utendaji haukwepeki.","PeriodicalId":411809,"journal":{"name":"Jarida la Kiswahili","volume":"24 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-06-01","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Kiswahili","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.56279/jk.v85i1.2","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Methali ni utanzu unaotumiwa katika mawasiliano ya kawaida na katika utendaji wa tanzu mbalimbali za fasihi. Yumkini, kutokana na utegemezi wake, pamoja na msisitizo mkubwa kuwa fasihi simulizi hudhihirika katika utendaji, aghalabu, methali zimekuwa zikichambuliwa nje ya muktadha wake wa utendaji. Matokeo yake, nduni nyingi za utendaji wa methali zimeelezwa kiholela, suala linaloleta uvulivuli mkubwa katika fasiri ya methali kwa ujumla. Kwa mfano, kiashiria pekee cha utendaji wa methali kinachoelezwa na wengi ni kile kinachohusisha wahenga, yaani “wahenga walisema…” na vingine vinavyofanana na hicho. Aina hii ya kiashiria hudokeza aina ya utendaji inayoondoa msimamo na hisia za mdondoaji kwa sababu huhusisha maudhui ya methali na wahenga. Kwa kuwa methali ni mali ya jamii, kwa vyovyote vile, kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na viashiria vingine vinavyoakisi mazingira ya utendekaji wa methali pamoja na kujumuisha hisia za watumiaji. Kwa kutumia Nadharia ya Utendaji, makala hii inalenga kubainisha na kuchunguza dhima za viashiria vya utendaji wa methali katika nyimbo za muziki wa dansi za Kiswahili. Matokeo yanadhihirisha kuwa, mbali na kiashiria cha “wahenga walisema...” nyimbo za muziki wa dansi zina viashiria mbalimbali vya utendaji wa methali. Baadhi ya viashiria hivyo hudhihirisha mitazamo, misimamo na hisia za watendaji wa methali. Aidha, imebainika kuwa ili kuelewa vizuri maudhui ya methali, uchambuzi wa viashiria vya utendaji haukwepeki.
我们的工作是在 "卡瓦伊达"(kawaida)和 "坦祖"(tanzu)的 "家庭"(fasihi)之间进行的,而不是在 "家庭"(fasihi)与 "家庭"(tanzu)之间进行的。在 "唤醒 "的概念中,"唤醒 "与 "被唤醒"、"被唤醒 "与 "被唤醒"、"被唤醒 "与 "被唤醒 "是不同的概念。因此,我们需要在我们的工作岗位上,为我们的工作做出贡献。在此情况下,我们需要做的是,让我们的朋友们一起努力,让我们的朋友们一起努力,让我们的朋友们一起努力,让我们的朋友们一起努力...... "我们的朋友们一起努力,让我们的朋友们一起努力,让我们的朋友们一起努力,让我们的朋友们一起努力。我们的工作就是要让人们知道,我们的工作就是要让人们知道,我们的工作就是要让人们知道,我们的工作就是要让人们知道,我们的工作就是要让人们知道,我们的工作就是要让人们知道,我们的工作就是要让人们知道,我们的工作就是要让人们知道,我们的工作就是要让人们知道,我们的工作就是要让人们知道,我们的工作就是要让人们知道,我们的工作就是要让人们知道。在 "乌坦达吉之谜 "中,我们将在斯瓦希里语的音乐会上,为乌坦达吉的新朋友们提供更多的帮助。在 "我的朋友 "一栏中,"wahenga walisema...... "的意思是 "我的朋友",而在 "我的朋友 "一栏中,"我的朋友 "的意思是 "我的朋友"。我们的生活中会有很多事情需要我们去做。在这方面,我们需要的是,在我们的工作中,我们要做的是,在我们的工作中,我们要做的是,在我们的工作中,我们要做的是,在我们的工作中,我们要做的是,在我们的工作中,我们要做的是,在我们的工作中,我们要做的是,在我们的工作中,我们要做的是。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信