Uhakiki Linganishi wa Kanuni za Mifanyiko ya Vivumishi vya Luganda na Kiswahili Sanifu

Martin Mulei
{"title":"Uhakiki Linganishi wa Kanuni za Mifanyiko ya Vivumishi vya Luganda na Kiswahili Sanifu","authors":"Martin Mulei","doi":"10.37284/jammk.6.1.1206","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Uwiano  na tofauti za kanuni za matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia baina ya lugha asili na Kiswahili umeripotiwa kusababisha athari za mwingiliana katika matumizi ya Kiswahili. Luganda na Kiswahili ni lugha za Kibantu ambazo huzingatia kanuni katika matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia. Lugha hizi za Kibantu, hudhihirisha upekee wa mfumo katika matumizi ya vivumishi kimofosintaksia. Utambuzi wa kanuni za kimofosintaksia ni msingi katika matumizi ya vivumishi vya Luganda na Kiswahili sanifu. Kwa hiyo, makala hii inadhamiria kueleza jinsi kanuni za mifanyiko ya vivumishi vya Luganda hufanana na kutofautiana na za Kiswahili kimatumizi. Kwa kuzingatia mihimili ya Ubia na Upatanifu ya Chomsky (1981), data za matumizi ya kanuni za vivumishi zilikusanywa maktabani kupitia kwa usomaji na uhakiki wa maandishi. Inatarajiwa kuwa utambuzi wa kanuni za mifanyiko ya vivumishi, michango ya kanuni za lugha asili katika ujifunzaji wa Kiswahili, utaweka mikakati ya ujifunzaji ya kuepukana na athari za mwingiliano wa vipashio vya lugha asili katika matumizi ya Kiswahili sanifu","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"466 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-05-08","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1206","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Uwiano  na tofauti za kanuni za matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia baina ya lugha asili na Kiswahili umeripotiwa kusababisha athari za mwingiliana katika matumizi ya Kiswahili. Luganda na Kiswahili ni lugha za Kibantu ambazo huzingatia kanuni katika matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia. Lugha hizi za Kibantu, hudhihirisha upekee wa mfumo katika matumizi ya vivumishi kimofosintaksia. Utambuzi wa kanuni za kimofosintaksia ni msingi katika matumizi ya vivumishi vya Luganda na Kiswahili sanifu. Kwa hiyo, makala hii inadhamiria kueleza jinsi kanuni za mifanyiko ya vivumishi vya Luganda hufanana na kutofautiana na za Kiswahili kimatumizi. Kwa kuzingatia mihimili ya Ubia na Upatanifu ya Chomsky (1981), data za matumizi ya kanuni za vivumishi zilikusanywa maktabani kupitia kwa usomaji na uhakiki wa maandishi. Inatarajiwa kuwa utambuzi wa kanuni za mifanyiko ya vivumishi, michango ya kanuni za lugha asili katika ujifunzaji wa Kiswahili, utaweka mikakati ya ujifunzaji ya kuepukana na athari za mwingiliano wa vipashio vya lugha asili katika matumizi ya Kiswahili sanifu
在斯瓦希里语的语言环境中,我们可以通过"'...斯瓦希里语的卢干达语的 "基班图"(Kibantu)与 "维帕希奥"(vipashio)和 "基莫福辛塔克西亚"(kimofosintaksia)的发音相近。如果您想了解更多信息,请联系我们。在卢干达语和斯瓦希里语环境下,我们需要的是一种新的生活方式。在这种情况下,我们正在寻找解决卢干达语中的 mifanyiko 与 kutofautiana 和斯瓦希里语句子的问题。在乔姆斯基(1981 年)的 Upatanifu 中,没有关于句子活力的数学数据。在此基础上,乔姆斯基利用这些数据分析了斯瓦希里语、斯瓦希里语、斯瓦希里语、斯瓦希里语、斯瓦希里语、斯瓦希里语、斯瓦希里语、斯瓦希里语、斯瓦希里语、斯瓦希里语、斯瓦希里语、斯瓦希里语、斯瓦希里语和斯瓦希里语。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信