{"title":"Changamoto katika matumizi ya majina ya lugha za kigeni nchini Tanzania: Mtazamo wa Nadharia ya Ubeberu wa Kiisimu","authors":"A. Buberwa","doi":"10.4314/kcl.v20i1.8","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Wataalamu mbalimbali wameshughulikia suala la uteuzi wa majina ya watu ndani na nje ya Tanzania. Baadhi ya wataalamu (taz. Nyangaywa, 2013; Madila, 2020) wanaeleza kwamba uteuzi wa majina ya watu nchini Tanzania unakabiliwa na changamoto ya kasumba ya kupendelea majina ya lugha za kigeni kuliko majina ya lugha za asili. Pamoja na kudokezwa kwa suala hilo, tafiti husika hazikujishughulisha na uchunguzi zaidi kuhusu kuweka bayana kiwango cha matumizi ya majina husika na changamoto zinazotokana na matumizi ya majina hayo ya kigeni. Suala hili limechochea raghba ya mtafiti kufanya utafiti wa awali kuhusu kiwango cha matumizi ya majina ya lugha za kigeni katika jamii ya Watanzania, mtazamo wa jamii na changamoto zinazotokana na matumizi ya majina hayo nchini Tanzania. Ili kutimiza azma hiyo, makala hii imeongozwa na Nadharia ya Ubeberu wa Kiisimu ambapo kasumba hiyo ya kupendelea majina ya lugha za kigeni inatazamwa kama matokeo ya lugha za kigeni kukandamiza lugha za asili na kutokana na ukandamizaji huo, fikra za jamii ya Watanzania zimeaminishwa kuwa lugha za kigeni ni bora na zina thamani zaidi kuliko lugha za asili.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"95 1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-23","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Kioo cha Lugha","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.8","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Wataalamu mbalimbali wameshughulikia suala la uteuzi wa majina ya watu ndani na nje ya Tanzania. Baadhi ya wataalamu (taz. Nyangaywa, 2013; Madila, 2020) wanaeleza kwamba uteuzi wa majina ya watu nchini Tanzania unakabiliwa na changamoto ya kasumba ya kupendelea majina ya lugha za kigeni kuliko majina ya lugha za asili. Pamoja na kudokezwa kwa suala hilo, tafiti husika hazikujishughulisha na uchunguzi zaidi kuhusu kuweka bayana kiwango cha matumizi ya majina husika na changamoto zinazotokana na matumizi ya majina hayo ya kigeni. Suala hili limechochea raghba ya mtafiti kufanya utafiti wa awali kuhusu kiwango cha matumizi ya majina ya lugha za kigeni katika jamii ya Watanzania, mtazamo wa jamii na changamoto zinazotokana na matumizi ya majina hayo nchini Tanzania. Ili kutimiza azma hiyo, makala hii imeongozwa na Nadharia ya Ubeberu wa Kiisimu ambapo kasumba hiyo ya kupendelea majina ya lugha za kigeni inatazamwa kama matokeo ya lugha za kigeni kukandamiza lugha za asili na kutokana na ukandamizaji huo, fikra za jamii ya Watanzania zimeaminishwa kuwa lugha za kigeni ni bora na zina thamani zaidi kuliko lugha za asili.
Wataalamu mbalimbali wameshughulikia suala la uteuzi wa majina ya watu ndani na nje ya Tanzania.(见 Nyangaywa,2013 年;Madila,2020 年)。在这种情况下,如果不采取相应的措施,就有可能出现以下问题:(a)在"...... "的情况下,(b)在"...... "的情况下,(c)在"...... "的情况下。例如,在坦桑尼亚,有两种类型的 kiwango kiwango cha matumizi ya majina ya lugha za kigeni katika jamii ya Watanzania, mtazamo wa jamii na changamoto zinazotokana na matumizi ya majina hayo nchini Tanzania。在坦桑尼亚,我们将通过 "基西姆岛(Ubeberu wa Kiisimu)"项目,为坦桑尼亚的旅游业发展做出贡献、在坦桑尼亚,有很多人都有这样的经历,他们都有一个共同的梦想,那就是在自己的家乡建立一个自己的国家。