USOMAJI-HAKIKI: MKAKATI WA UELEKEZAJI WA MBINU ZA UANDISHI KATIKA RIWAYA

J. N. Maitaria
{"title":"USOMAJI-HAKIKI: MKAKATI WA UELEKEZAJI WA MBINU ZA UANDISHI KATIKA RIWAYA","authors":"J. N. Maitaria","doi":"10.58721/jkal.v1i1.96","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Usomaji-hakiki ni mbinu muhimu kwa watunzi-watarajiwa, wanagenzi na watunzi watajika katika ulingo wa utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usomaji huu unaweza kumsaidia mwenye aria ya kutunga na kuwasilisha miswada yao kwa nia ya kuchapishwa.  Aidha, usomaji huu unahitaji mkakati wa kujitolea kwa hiari. Ingawa kuna aina mbalmbali za usomaji wa riwaya kuna baadhi ambao ni wa kijumla mno na wenye viwingu vya matatizo. Kwa maana hii, hauwezi kumfunulia kumsaidia msomaji mwenye azma ya kujifunza au kuimarisha zaidi mbinu na taratibu za utunzi wa riwaya kusudiwa. Usomaji-hakiki wa riwaya za Kiswahili unaweza kusaidia katika kuwaelekeza wanagenzi na hata vigogowanaweza kujifunza na kunoa kunga zao za uwasilishaji wa riwaya. Makala hii inajaribu kudokeza namna usomaji-hakiki unavyoweza usomaji wa dhati kwa malengo ya kujenga ari ya kutunga, Kuwasilisha na hatimaye uchapishaji wa miswada ya riwaya ya Kiswahili. Isitoshe, Makala hii itapendekezwa namna usomaji-hakiki unaweza kama mbinu ya usomaji wa tanzu nyingine kifasihi kama hadithi fupi, tamthila na ushairi wa Kiswahili.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"23 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-11-28","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.58721/jkal.v1i1.96","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Usomaji-hakiki ni mbinu muhimu kwa watunzi-watarajiwa, wanagenzi na watunzi watajika katika ulingo wa utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usomaji huu unaweza kumsaidia mwenye aria ya kutunga na kuwasilisha miswada yao kwa nia ya kuchapishwa.  Aidha, usomaji huu unahitaji mkakati wa kujitolea kwa hiari. Ingawa kuna aina mbalmbali za usomaji wa riwaya kuna baadhi ambao ni wa kijumla mno na wenye viwingu vya matatizo. Kwa maana hii, hauwezi kumfunulia kumsaidia msomaji mwenye azma ya kujifunza au kuimarisha zaidi mbinu na taratibu za utunzi wa riwaya kusudiwa. Usomaji-hakiki wa riwaya za Kiswahili unaweza kusaidia katika kuwaelekeza wanagenzi na hata vigogowanaweza kujifunza na kunoa kunga zao za uwasilishaji wa riwaya. Makala hii inajaribu kudokeza namna usomaji-hakiki unavyoweza usomaji wa dhati kwa malengo ya kujenga ari ya kutunga, Kuwasilisha na hatimaye uchapishaji wa miswada ya riwaya ya Kiswahili. Isitoshe, Makala hii itapendekezwa namna usomaji-hakiki unaweza kama mbinu ya usomaji wa tanzu nyingine kifasihi kama hadithi fupi, tamthila na ushairi wa Kiswahili.
求助全文
约1分钟内获得全文 求助全文
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
确定
请完成安全验证×
copy
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
右上角分享
点击右上角分享
0
联系我们:info@booksci.cn Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。 Copyright © 2023 布克学术 All rights reserved.
京ICP备2023020795号-1
ghs 京公网安备 11010802042870号
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术官方微信