{"title":"Usawiri wa Mabadiliko ya Ujumi Mweusi katika Nyimbo za Muziki wa Dansi wa Tanzania: 1990-2000","authors":"Elihaki Yonazi, Julius Edmund Frank","doi":"10.37284/jammk.6.1.1255","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Kila jamii ina ujumi wake. Ujumi wa Afrika huitwa ujumi mweusi. Ujumi wa jamii huweza kupaka mabadiliko kulingana na mpito wa wakati na mwingiliano wa jamii nyingine. Mabadiliko ya ujumi wa kijamii husawiriwa kwenye kazi za kifasihi za jamii hiyo. Makala haya yamechunguza usawiri wa mabadiliko ya ujumi mweusi kwenye nyimbo za muziki wa dansi wa Tanzania. Data ya maktabani ndiyo iliyotumika. Jumla ya nyimbo 20 za kuanzia mwaka 1990-2000 zilikusanywa, ambapo zimetumika nyimbo 5 tu, zilizoteuliwa kimakusudi, kwa kuangalia dhima kuu, na ya kipekee inayojitokeza zaidi kwenye wimbo husika. Nyimbo hizo ndizo zilizotumika katika mjadala wa makala haya. Nadharia ya Unegritudi na Uhalisia zimetumika katika uchambuzi wa data ya utafiti. Nadharia ya Unegritudi ilituongoza katika kuchambua vipengele vya ujumi mweusi vinavyojitokeza kwenye nyimbo teule. Naharia ya Uhalisia ilituongoza katika kujadili uhalisia wa jamii ya Watanzania na nyimbo za muziki wa dansi wa Tanzania. Aidha, katika kubainisha mabadiliko ya ujumi mweusi, na jinsi mabadilko hayo yanavyosawiriwa kwenye nyimbo teule. Matokeo ya utafiti yanabainisha kuwepo kwa mabadiliko mengi ya ujumi mweusi yaliyosawiriwa na nyimbo za muziki wa dansi wa Tanzania kwa mawanda mapana. Mabadiliko hayo ni kama vile, kukosekana/kupungua kwa; maadili mema, umoja na ushirika, utu; heshima, na adabu na utii. Kutokana hayo, watunzi wa nyimbo hizi wanashauriwa kutunga nyimbo zinazosawiri ujumi mweusi, na kuepuka athari hasi za utamaduni wa nje, ili nyimbo hizo ziweze kukubalika na jamii yote, na kuwa na manufaa endelevu katika jamii yao.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"26 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-06-16","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1255","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Kila jamii ina ujumi wake. Ujumi wa Afrika huitwa ujumi mweusi. Ujumi wa jamii huweza kupaka mabadiliko kulingana na mpito wa wakati na mwingiliano wa jamii nyingine. Mabadiliko ya ujumi wa kijamii husawiriwa kwenye kazi za kifasihi za jamii hiyo. Makala haya yamechunguza usawiri wa mabadiliko ya ujumi mweusi kwenye nyimbo za muziki wa dansi wa Tanzania. Data ya maktabani ndiyo iliyotumika. Jumla ya nyimbo 20 za kuanzia mwaka 1990-2000 zilikusanywa, ambapo zimetumika nyimbo 5 tu, zilizoteuliwa kimakusudi, kwa kuangalia dhima kuu, na ya kipekee inayojitokeza zaidi kwenye wimbo husika. Nyimbo hizo ndizo zilizotumika katika mjadala wa makala haya. Nadharia ya Unegritudi na Uhalisia zimetumika katika uchambuzi wa data ya utafiti. Nadharia ya Unegritudi ilituongoza katika kuchambua vipengele vya ujumi mweusi vinavyojitokeza kwenye nyimbo teule. Naharia ya Uhalisia ilituongoza katika kujadili uhalisia wa jamii ya Watanzania na nyimbo za muziki wa dansi wa Tanzania. Aidha, katika kubainisha mabadiliko ya ujumi mweusi, na jinsi mabadilko hayo yanavyosawiriwa kwenye nyimbo teule. Matokeo ya utafiti yanabainisha kuwepo kwa mabadiliko mengi ya ujumi mweusi yaliyosawiriwa na nyimbo za muziki wa dansi wa Tanzania kwa mawanda mapana. Mabadiliko hayo ni kama vile, kukosekana/kupungua kwa; maadili mema, umoja na ushirika, utu; heshima, na adabu na utii. Kutokana hayo, watunzi wa nyimbo hizi wanashauriwa kutunga nyimbo zinazosawiri ujumi mweusi, na kuepuka athari hasi za utamaduni wa nje, ili nyimbo hizo ziweze kukubalika na jamii yote, na kuwa na manufaa endelevu katika jamii yao.